Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BIBI AFARIKI, AACHA GUMZO

Bibi Bhoke Rigamba Igenga enzi za uhai wake.
Stori: Igenga Mtatiro, Butiama
Unaweza kusema Bibi Bhoke Rigamba Igenga wa Kijiji cha (pichani), Mmazami, Kata ya Bukabwa, Tarafa ya Makongoro, wilayani Tarime amezikwa na ndugu waliotokana na tumbo lake 175 licha ya waombolezaji wengine.Mazishi hayo yamezua gumzo baada ya kushindikana ndugu zake wote hao kuweka mashada ya maua kaburini kwani kulikuwa na watoto wake 15, wajukuu 48,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Diamond aacha gumzo Kusini

MSANII mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platinumz ameahidi kuwatendea haki wakazi wa mikoa ya Kusini kwa kufanya ziara kila mwaka kama shukrani, kwani safari yake ya kimuziki...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais wa Ujerumani aacha gumzo,aenda Zanzibar kwa boti

>Ziara ya rais wa Shirikisho la Ujerumani, Joachim Gauck imeacha mjadala mzito kisiwani hapa kutokana na kitendo chake cha kutumia usafiri wa boti kuja Unguja na kutembea kwa miguu hadi Hoteli ya Serena ya Zanzibar.

 

11 years ago

Michuzi

snoop dogg aacha gumzo uingereza kwa kufikia hoteli ya kawaida ya bei poa

Na Sultani KipingoAnajulikana kwa kutumbua maraha na kuishi kifahari, lakini rapa milionea Snoop Dogg ameacha gumzo huko Uingereza kwa kukaa katika hoteli ya bei ya chini ya Holiday Inn Express wakati wa onesho lake katika kitongoji cha Devon, Exeter, wikiendi ilopita  Msanii huyu wa Marekani, ambaye alilipwa pauni za Uingereza 22,000 (sawa na 60,236,000/- za madafu) kwa onesho hilo la masa mawwili katiika ukumbi wa klabu ndogo ya usiku ya Timepiece, alikaa kwenye hoteli hiyo kwa bei ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Kapteni Komba afariki, aacha mjane na watoto 11

Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mkurugenzi wa Kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) Kepteni John Komba amefariki dunia leo alipokuwa akipelekwa katika hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam baada ya kuzidiwa.

 

11 years ago

GPL

BIBI KANUMBA AFARIKI DUNIA

BIBI wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Suzan Mtegoa amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa. Marehemu Suzan alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa miguu. Msiba upo nyumbani kwa Mama Kanumba, Flora Mtegoa ambapo mipango ya kuusafirisha kwenda Bukoba inafanyika. MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA...

 

10 years ago

Habarileo

Mwandosya aacha wosia

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark MwandosyaWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Mark Mwandosya ameaga rasmi ubunge na kutoa wosia kwa mawaziri watakaoteuliwa katika Serikali ijayo, kuwa wasikivu kwa wabunge, ili taifa lifikie maendeleo.

 

9 years ago

GPL

MAUREEN AACHA MKOROGO

Mshiriki wa Miss Tanzania 2005, Maureen Gislary. Mshiriki wa Miss Tanzania 2005, Maureen Gislary ambaye pia ni mcheza filamu, baada ya kujichubua na kubadili ngozi yake ameamua kuacha mkorogo kutokana na marafiki kumuonya kila kukicha. Rafiki wa karibu na Maureen alisema kuwa sasa ameamua kuacha mkorogo kwani hakuna aliyekuwa akimsapoti kutokana na kujichubua kwake.“Yaani marafiki tumesababisha mpaka Maureen ameacha mkorogo...

 

10 years ago

GPL

SHILOLE AACHA AIBU ULAYA!

Erick Evarist
STAA wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameacha aibu ya aina yake barani Ulaya baada ya gauni lake kuvuka na kuacha ‘nido’ zake hadharani, Risasi Mchanganyiko lina stori kamili. Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiimba kwa hisia. Tukio hilo lililozua gumzo katika mitandao mbalimbali ya kijamii, lilijiri usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita katika Jiji la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani