Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kapteni Komba afariki, aacha mjane na watoto 11

Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mkurugenzi wa Kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) Kepteni John Komba amefariki dunia leo alipokuwa akipelekwa katika hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam baada ya kuzidiwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAPTENI JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA

MSIBA MZITO: Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba (pichani), amefariki dunia jioni hii katika hospitali ya TMJ jiijini Dar, mtoto wa marehemu Herman Komba amethibitisha huku akilia. HABARI ZAIDI  KUWAJIA HIVI PUNDE.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Kapteni John Komba afariki dunia jioni hii katika hospitali ya TMJ

KOMBA

Kutoka chumba cha habari cha modewjiblog , aliyekuwa Mkurugenzi wa TOT na Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi, mkoa wa Ruvuma, Kapteni John Komba (pichani) amefariki dunia jioni hii katika hospitali ya TMJ Mikocheni jijini Dar alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

Mtoto wake Jerry Komba amesema chanzo cha kifo chake ni Kushuka kwa Sukari akiwa nyumbani kwake Mbezi, na kumpeleka Hospitali ambako mauti yalimkuta.

Chanzo cha habari chetu kinasema taratibu za kuhamisha mwili wa marehemu...

 

10 years ago

Habarileo

Buriani Kapteni John Komba

John Komba enzi za uhai wakeNI huzuni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jimbo la Mbinga Magharibi, Taifa, marafiki na familia, baada ya kufikwa na msiba mkubwa wa kiongozi, Mbunge, Kapteni wa Jeshi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na msanii mashuhuri wa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni John Komba.

 

10 years ago

Mwananchi

Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada

Mali za Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba zimetangazwa kupigwa mnada kutokana na kushindwa kulipa deni analodaiwa na Benki ya CRDB.

 

10 years ago

GPL

KAPTENI JOHN KOMBA KIMYA MILELE

Waandishi wetu/mchanganyiko11 NIKIMYA Milele. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya msiba mkubwa uliotingisha nchi, kufuatia kufariki ghafla, kuagwa na hatimaye kufanyika kwa mazishi ya Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteini Mstaafu wa Jeshi, John Damian Komba katika Kijiji cha Lituhi, kilichopo katika mwambao wa Ziwa Nyasa wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, Risasi Mchanganyiko lina habari kamili. Mwili wa Kapteini John Damian...

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete aongoza mazishi ya Kapteni Komba

Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimboakiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma leoRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwekaudongo katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi...

 

10 years ago

GPL

KAPTENI KOMBA AFUNGUKIA NYUMBA YAKE KUPIGWA MNADA

Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba. Stori: SHANI RAMADHANI
Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kundi la Sanaa la Tanzania One Theatre (TOT), amekanusha habari zinazoendelea kuzagaa kwamba nyumba yake iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam imepigwa mnada na benki moja kutokana na madai ya kushindwa kulipa deni alilokuwa akidaiwa. “Mheshimiwa anadaiwa na benki kama...

 

10 years ago

GPL

YALIYOJIRI JIONI YA LEO MSIBANI KWA KAPTENI KOMBA

Mkurugenzi wa bendi ya African Stars, Asha Baraka, akisaini kitabu cha rambirambi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani