Rais Kikwete aongoza mazishi ya Kapteni Komba
Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimboakiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwekaudongo katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziRais Kikwete aongoza mazishi ya Kapteni Komba,kijijini lituhi leo
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA KAPTENI DAMIANO KOMBA KIJIJINI LITUHI LEO
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-vwv0splDMeg/VPX8qsumKqI/AAAAAAAAXZk/P64U4HHVFcc/s72-c/1.jpg)
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA KAPTENI JOHN KOMBA KIJIJINI KWAKE LITUHI
![](http://3.bp.blogspot.com/-vwv0splDMeg/VPX8qsumKqI/AAAAAAAAXZk/P64U4HHVFcc/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-LzHplbpto68/VPX8ybFLTEI/AAAAAAAAXaU/-WA0Xp_szPU/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-gCx3n0hvDVw/VPX80ka9eqI/AAAAAAAAXac/OnXYPz4U0io/s1600/3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-4OFHzLJ7-Xo/VPX85s0qLoI/AAAAAAAAXak/glmFHfCI9CI/s1600/6.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5qWldsM4JQc/VPX9CojehAI/AAAAAAAAXas/UeW92pNm57Y/s1600/9.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-CupcltNCSMc/VPRGBpwuwjI/AAAAAAAHG9Q/5rvQhqtSRWA/s72-c/unnamed%2B(72).jpg)
Rais Kikwete aongoza maelfu ya waombolezaji kuaga mwili wa Kapteni John Komba
![](http://2.bp.blogspot.com/-CupcltNCSMc/VPRGBpwuwjI/AAAAAAAHG9Q/5rvQhqtSRWA/s1600/unnamed%2B(72).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-XbytSok9hO4/VPRGBq1EH7I/AAAAAAAHG9U/tjP3GLogk00/s1600/unnamed%2B(73).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
Rais Kikwete aongoza mazishi ya mbunge
RAIS Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya wakazi wa Chalinze, Pwani kwenye mazishi ya mbunge wao, Said Bwanamdogo, aliyezikwa kwenye Kata ya Mioni, Bagamoyo. Bwanamdogo alifariki dunia Januari 22 mwaka huu...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Rais Kikwete aongoza mazishi ya Liundi
RAIS Jakaya Kikwete amewaongoza waombolezaji wakiwemo mawaziri na viongozi mbalimbali wa serikali na wa kidini kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Msajili wa kwanza wa Vyama vya Siasa nchini,...
10 years ago
Michuzi03 Mar
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWASILI MKOANI RUVUMA KUSHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU KAPTENI KOMBA
![kn1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/kn1.jpg)
![kn2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/kn2.jpg)
10 years ago
Vijimambo08 Feb
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA BI.TAJIRI TANGA
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/jk1.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/jk2.jpg)
9 years ago
Mtanzania14 Aug
Rais Kikwete aongoza waombolezaji mazishi ya Kisumo
Na Upendo Mosha, Mwanga
RAISI Jakaya Kikwete jana aliongoza maelfu ya wananchi katika mazishi wa mwasisi wa chama cha TANU na baadaye Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Kisumo yaliyofanyika katika Kijiji cha Kirongwe wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Ibada ya mazishi ilifanyika katika Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Pare ambako ibada ya mazishi iliongozwa na aliyekuwa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini, Dk. Marth Shao.
Rais Kikwete aliwasili kijijini hapo saa...