RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA KAPTENI JOHN KOMBA KIJIJINI KWAKE LITUHI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Ndugu Sixtus Mapunda pamoja na wananchi kutoka maeneo mbali mbali ya Tanzania kwenda kumzika marehemu Kapteni John Komba kijijini kwake Lituhi.
Mke wa Marehemu Kapteni John Komba ,Salome (kushoto) akiweka shada la maua juu ya kaburi la marehemu.
Watoto wa marehemu Kapteni John Komba wakiweka shada la maua juu ya kaburi la Baba yao.
Watoto wa marehemu wakilia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziRais Kikwete aongoza mazishi ya Kapteni Komba,kijijini lituhi leo
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA KAPTENI DAMIANO KOMBA KIJIJINI LITUHI LEO
10 years ago
VijimamboRais Kikwete aongoza mazishi ya Kapteni Komba
10 years ago
MichuziRais Kikwete aongoza maelfu ya waombolezaji kuaga mwili wa Kapteni John Komba
10 years ago
Dewji Blog04 Mar
Rais Kikwete aungana na mamia ya waombolezaji kumzika Kepteni Komba kijijini Lituhi
Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimbo akiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma jana.(picha na Freddy Maro).
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake...
10 years ago
CloudsFM03 Mar
Marehemu Kapt. John Komba kuzikwa leo kijijini kwao Lituhi,Nyasa,Ruvuma
Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi na mjumbe wa NEC,Marehemu Kapt.John Komba unatarajiwa kuzikwa leo kijijini kwao Lituhi,Nyasa mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Mrisho Kikwete, akiongoza maelfu ya Watanzania kuuaga mwili wa Kapteni John Komba, katika viwanja vya Karimjee jana jijini Dar es Salaam.
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AONGOZA SHUGHULI YA MAZISHI YA JAJI LEWIS MAKAME KIJIJINI KWAKE HUKO TONGWE - MUHEZA
10 years ago
Habarileo01 Mar
Buriani Kapteni John Komba
NI huzuni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jimbo la Mbinga Magharibi, Taifa, marafiki na familia, baada ya kufikwa na msiba mkubwa wa kiongozi, Mbunge, Kapteni wa Jeshi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na msanii mashuhuri wa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni John Komba.
9 years ago
Mtanzania26 Oct
Rais Kikwete apiga kura kijijini kwake
NA PATRICIA KIMELEMETA, CHALINZE
RAIS Jakaya Kikwete jana alipiga kura kijijini kwake Msoga, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
Rais Kikwete ambaye anamaliza muda wake wa uongozi wa miaka 10 tangu alipoingia madarakani Novemba 2005, aliwasili kijijini hapo katika Kituo cha Zahanati ya Msoga, jana saa 12:25 na kupanga foleni ya kupiga kura kama ilivyo kwa wananchi wengine.
Baada ya kumaliza kupiga kura, alisema amejitokeza kutumia haki yake ya msingi ya kuwapigia kura viongozi wanaotarajiwa...