KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWASILI MKOANI RUVUMA KUSHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU KAPTENI KOMBA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma Helena Shumbusho mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea mkoani humo tayari kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Kada wa CCM na Mbunge wa jimbo la Mbiga Magharibi Marehemu Kapteni John Damiano Komba aliyefariki hivi karibuni katika hospitali ya TMJ jijini Dar es salaam, mwili wa Kapteni John Komba unazikwa leo huko kijijini kwao Lituhi mkoani Ruvuma.
Katibu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana awasili Mkoani Iringa kwa ziara ya siku sita
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili mkoani Iringa kuanza ziara ya siku sita ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo ikiwa ni pamoja na kukagua uhai wa chama. Katika ziara hiyo Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi, Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Jesca Msambatavangu na katikati ni Katibu...
10 years ago
Dewji Blog04 Mar
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana awasili Dodoma na kuanza ziara wilaya ya Mpwapwa
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea mkoani Ruvuma ambako alihudhuria mazishi ya Kada wa CCM na Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi Marehemu John Damiano Komba aliyefariki hivi karibuni, Chama cha Mapinduzi kilikuwa na maombolezo ya kitaifa ya siku tatu mpaka mazishi ya kiongozi huyo yalipofanyika jana yakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Jakaya Kikwete
Ndugu Abdulrahman Kinana...
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/110.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWASILI DODOMA NA KUANZA ZIARA WILAYA YA MPWAPWA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yJMoWlswT04/U2uqLhgkxQI/AAAAAAACghM/5BAXjEtr1DA/s72-c/1.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI IGUNGA MKOANI TABORA JIONI LEO,KUANZA ZIARA YA SIKU 10 MKOANI HUMO.
![](http://1.bp.blogspot.com/-yJMoWlswT04/U2uqLhgkxQI/AAAAAAACghM/5BAXjEtr1DA/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-jwzjC0jcNE0/U2uqMu4fbNI/AAAAAAACghQ/DLBJVfNN8MA/s1600/10.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ftapAN1YYuw/U3plm0oVI7I/AAAAAAAChl0/ooLwJhHs6tg/s72-c/1.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI MKOANI SINGIDA KUANZA ZIARA YAKE SIKU NANE
![](http://1.bp.blogspot.com/-ftapAN1YYuw/U3plm0oVI7I/AAAAAAAChl0/ooLwJhHs6tg/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-ymTtqx0NpOA/U3pl37hjo4I/AAAAAAAChmE/i8P9GWKOiOk/s1600/2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hSs9eH3xhfY/VPa__SNAeMI/AAAAAAAHHf0/f-N5ZwbEz7c/s72-c/2.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE AWASILI MKOANI DODOMA KUANZA ZIARA YA SIKU TISA
![](http://1.bp.blogspot.com/-hSs9eH3xhfY/VPa__SNAeMI/AAAAAAAHHf0/f-N5ZwbEz7c/s1600/2.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-B1LTxA_7O18/U4cACO2XSII/AAAAAAACicA/2ou1KsNdnRg/s72-c/3.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI BABATI LEO, AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI MANYARA
![](http://3.bp.blogspot.com/-B1LTxA_7O18/U4cACO2XSII/AAAAAAACicA/2ou1KsNdnRg/s1600/3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-k_HQcb7u2Hw/U4b_8aT-OPI/AAAAAAACibY/uTi3goEjv0A/s1600/1.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0ITA-89MWs0/U23fd8kTIrI/AAAAAAACgrQ/m7T0TUtlmTU/s72-c/IMG_8957.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI NZEGA KUENDELEA NA ZIARA YAKE YA SIKU KUMI MKOANI TABORA
![](http://2.bp.blogspot.com/-0ITA-89MWs0/U23fd8kTIrI/AAAAAAACgrQ/m7T0TUtlmTU/s1600/IMG_8957.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Zij790m46Ls/U23jobEnlAI/AAAAAAACgrs/SqWsqyqwfyI/s1600/DSC_1528.jpg)