KAPTENI KOMBA AFUNGUKIA NYUMBA YAKE KUPIGWA MNADA
![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT1ePQsfa9AOokVE6RIW8oxFgc*7KyWSQJstmtSfJD-qgiJyCgz83-xe8mTLl34zGqpA5MWQWGNYVtMK4y*tvtqP/1.png?width=650)
Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba. Stori: SHANI RAMADHANI Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kundi la Sanaa la Tanzania One Theatre (TOT), amekanusha habari zinazoendelea kuzagaa kwamba nyumba yake iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam imepigwa mnada na benki moja kutokana na madai ya kushindwa kulipa deni alilokuwa akidaiwa. “Mheshimiwa anadaiwa na benki kama...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Jan
Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-nZLq0tbQgEc/VL0JuHCuIEI/AAAAAAAAmwc/_Cy_HHW4j4Q/s72-c/john%2Bkomba.jpg)
Nyumba ya Capt.John Komba iliyopo Dar es Salaam yapigwa Mnada Baada ya Kushindwa Kulipa Deni
![](http://4.bp.blogspot.com/-nZLq0tbQgEc/VL0JuHCuIEI/AAAAAAAAmwc/_Cy_HHW4j4Q/s640/john%2Bkomba.jpg)
10 years ago
CloudsFM03 Mar
Kapt.John Komba awekwa kwenye nyumba yake ya milele
Makada wa chama cha Mapinduzi na baadhi ya wananchi wakiandaa makazi ya milele ya marehemu Kapt.John Komba kijijini kwao Lituhi,Nyasa,mkoani Ruvuma.
10 years ago
Habarileo01 Mar
Buriani Kapteni John Komba
NI huzuni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jimbo la Mbinga Magharibi, Taifa, marafiki na familia, baada ya kufikwa na msiba mkubwa wa kiongozi, Mbunge, Kapteni wa Jeshi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na msanii mashuhuri wa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni John Komba.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIM5ZSWhuBYXuQS0FL5UF6wjxCUhu1U4qR9co3I9uPQWDNggTNFn4XYFplphhUWqwKPas-Y4Wk-PFb-SVQr1r9461vVD3mpi/FRONTRISASI.jpg?width=650)
KAPTENI JOHN KOMBA KIMYA MILELE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
KAPTENI JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Jengo la Maliasili lanusurika kupigwa mnada
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Moshi imetoa zuio la kutouzwa jengo la Ushirika wa Watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii lililopo chini ya mradi wa shamba la miti la Rongai...
10 years ago
VijimamboRais Kikwete aongoza mazishi ya Kapteni Komba
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Kapteni Komba afariki, aacha mjane na watoto 11