Nyumba ya Capt.John Komba iliyopo Dar es Salaam yapigwa Mnada Baada ya Kushindwa Kulipa Deni
![](http://4.bp.blogspot.com/-nZLq0tbQgEc/VL0JuHCuIEI/AAAAAAAAmwc/_Cy_HHW4j4Q/s72-c/john%2Bkomba.jpg)
Nyumba ya Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni Mstaafu, John Komba (CCM), yapigwa mnada. Nyumba hiyo ipo Kinondoni Maeneo ya Mbezi katika Jimbo la Kawe. Nyumba hiyo ipo katika kitalu namba 1030. Habari hii imechapishwa kwenye Gazeti la The Guardian la leo ukurasa wa 11.Siku za nyuma Komba alikua anadaiwa na bank ya CRDB millioni 900 aloshindwa kulipa. Hapo nyuma alijenga Shule inayooitwa Bakil Muluzi kule maeneo ya Mbweni, lakini biashara haikwenda vizuri. Ile Shule haifanyi vyema sana...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog04 Mar
SHIWATA waombeleza kifo cha Capt. John Komba
Na Mwandishi wetu
MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) unaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha Makamu Mwenyekiti wao, John Komba aliyefariki Jumamosi na kuzikwa jana nyumbani kwao kijiji cha Litui, Mbinga mkoa wa Ruvuma.
Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib katika salamu zake za rambirambi alisema mtandao huo umempoteza kiongozi mwadilifu aliyetumia kipaji chake cha usanii kuwaunganisha makundi ya wanamichezo,waigizaji, wasanii wa luninga, bongo movie,wacheza sarakasi na waandishi...
10 years ago
Dewji Blog02 Mar
JK aongoza mamia kuaga mwili wa Capt. John Komba Karimjee leo
Kada wa CCM Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa wakati shughuli za kutoa heshima za mwisho msiba wa Captain John Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Rais mtsaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin William Mkapa akisalimiana na Mzee Kingunge alipowasili kwenye viwanja hivyo.
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mtungi (kulia) akiteta jambo na Mwenyekiti Mtendaji wa makapuni ya IPP, Dkt....
10 years ago
Dewji Blog02 Mar
Ratiba ya kuaga rasmi mwili wa marehemu Capt. John Damiano Komba leo
Marehemu Capt. John Damiano Komba enzi za uhai wake.
257298487-Ratiba-Ya-Kuaga-Rasmi-Mwili-Wa-Marehemu-Capt-John-Damiano-Komba-Mb-Siku-Ya-Jumatatu-Tarehe-2-Mach… by moblog
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-EhxwFc-RS2Q/VPNPxQw62KI/AAAAAAAC0wI/IjrOTsEgYXY/s72-c/komba.gif)
RATIBA YA KUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU MHE. CAPT. JOHN KOMBA ITAKUWA KAMA IFUATAVYO:
![](http://1.bp.blogspot.com/-EhxwFc-RS2Q/VPNPxQw62KI/AAAAAAAC0wI/IjrOTsEgYXY/s1600/komba.gif)
Kesho tarehe 02/3/2015 saa 1 asubuhi misa parokia ya Mt. Bikira Maria Mpalizwa iliopo mbezi , saa 4 asubuhi mwili utaelekea Karimjee kwa ajili ya kuagwa, na saa 8 mchana mwili utaelekea airport tayari kwa safari ya Songea. Mazishi yatafanyika tarehe 3/3/2015 kijijini kwake Lituhi.
Kufuatia Msiba huu shughuli za kamati hazitakuwepo kwa kesho tarehe 2/3/2015. Ukipata taarifa hii tafadhali mjulishe na mwingine.
IMETOLEWA NA;OFISI KATIBU WA BUNGE1.3.2015
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT1ePQsfa9AOokVE6RIW8oxFgc*7KyWSQJstmtSfJD-qgiJyCgz83-xe8mTLl34zGqpA5MWQWGNYVtMK4y*tvtqP/1.png?width=650)
KAPTENI KOMBA AFUNGUKIA NYUMBA YAKE KUPIGWA MNADA
10 years ago
Vijimambo02 Mar
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wsx9hl5zZF8/VSr7BZK4MBI/AAAAAAAHQzM/IC7twqgbJkM/s72-c/download.jpg)
NAMNA YA KUOKOA NYUMBA ISIUZWE KWA KUSHINDWA KULIPA MKOPO
![](http://3.bp.blogspot.com/-wsx9hl5zZF8/VSr7BZK4MBI/AAAAAAAHQzM/IC7twqgbJkM/s1600/download.jpg)
Uwepo wa sababu za kibinadamu zinazoweza ...
10 years ago
Michuzi01 Mar
RATIBA YA KUAGA RASMI MWILI WA MAREHEMU CAPT. JOHN DAMIANO KOMBA, (MB.) KESHO JUMATATU TAREHE 2 MACHI, 2015 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE NA UTARATIBU WA SAFARI
NA. MUDA TUKIO MHUSIKA
1. 12:00 - 01:00
Familia na Waombolezaji kupata chai nyumbani
Kaimu Katibu wa Bunge 2. 01:00 - 04:00 Misa ya kuaga mwili wa Marehemu
Kanisa Katoliki,Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa
3. 04:00 - 04:30 · Ndugu, Jamaa na Wananchi kuwasili katika Viwanja vya Karimjee
· Viongozi wa Vyama vya Siasa, Waheshimiwa Wabunge, Manaibu Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi katika nafasi zao
Katibu wa Bunge
4. 04:33 Kiongozi ...
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-EhxwFc-RS2Q/VPNPxQw62KI/AAAAAAAC0wI/IjrOTsEgYXY/s1600/komba.gif)
RATIBA YA KUAGA RASMI MWILI WA MAREHEMU CAPT. JOHN DAMIANO KOMBA, (MB.) LEO JUMATATU TAREHE 2 MACHI, 2015 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE NA UTARATIBU WA SAFARI