Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAMNA YA KUOKOA NYUMBA ISIUZWE KWA KUSHINDWA KULIPA MKOPO

Na   Bashir  Yakub.

Wakopaji  nao  wana  haki  zao.  Yapo  mambo  ya  msingi  ambayo  wanapaswa  kuyajua    ili  yawalinde  iwapo  mambo  yamewaendea    vibaya.  Ukweli  ni  kuwa    ni  busara  unapokopa  kulipa deni    lakini    iwapo sababu   za  kibinadamu  zimejitokeza  ambazo  ziko  nje  ya uwezo  wa mkopaji  na  ambazo  kwa  namna  yoyote  hawezi  kuzizuia  basi   ni  vema  mkopaji  awe  na  njia ya  kujiokoa  yeye  pamoja  na  mali  yake.


 Uwepo  wa  sababu  za  kibinadamu  zinazoweza ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Nyumba ya Capt.John Komba iliyopo Dar es Salaam yapigwa Mnada Baada ya Kushindwa Kulipa Deni

Nyumba ya Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni Mstaafu, John Komba (CCM), yapigwa mnada. Nyumba hiyo ipo Kinondoni Maeneo ya Mbezi katika Jimbo la Kawe. Nyumba hiyo ipo katika kitalu namba 1030. Habari hii imechapishwa kwenye Gazeti la The Guardian la leo ukurasa wa 11.Siku za nyuma Komba alikua anadaiwa na bank ya CRDB millioni 900 aloshindwa kulipa. Hapo nyuma alijenga Shule inayooitwa Bakil Muluzi kule maeneo ya Mbweni, lakini biashara haikwenda vizuri. Ile Shule haifanyi vyema sana...

 

11 years ago

Habarileo

Auawa kwa kushindwa kulipa 500/-

MATUKIO ya mauaji ya kikatili yameendelea kutokea wilayani hapa, ambapo mtu mmoja, mkazi wa kijiji cha Kazila, ameuawa na mdai wake kwa kushindwa kulipa deni la Sh 500 baada ya kula nyama ya nguruwe, maarufu kama ‘kitimoto’. Charles Abel (20) aliuawa kwa kupigwa na kipande cha kuni tumboni na muuzaji wa nyama hiyo, Gosbert Frednand (19).

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi watimuliwa kwa kushindwa kulipa kodi

Polisi wa Kituo cha Nkome wilayani Geita, hawana mahala pa kuishi wala kufanyia shughuli zao za kiofisi, baada ya kutimuliwa na mmiliki wa nyumba waliyopanga kutokana na Serikali ya Kijji cha Nkome kushindwa kulipa kodi kwa miaka mitatu ya Sh3.3 milioni.

 

10 years ago

GPL

KIGOGO IKULU AZUIA NYUMBA YA JIDE ISIUZWE

Deogratius Mongela na Chande Abdallah KISMATI! Ile nyumba ya nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyopo Mivumoni, Kinondoni jijini Dar es Salaam, iliyowekwa mnadani zaidi ya mwezi mmoja uliopita, imezuiwa kupigwa bei na kigogo mmoja wa ikulu, Risasi Mchanganyiko lina full data. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1OPGuh8 ...

 

10 years ago

Michuzi

news alert: bondia floyd mayweather avuliwa mkanda kwa kushindwa kulipa ada ya pambano wake na Manny Pacquiao

 Na Sultani KipingoBingwa wa dunia wa masumbi Floyd Mayweather (kushoto) amevuliwa mkanda wa WBO alioupata baada ya kumshinda Manny (kulia)
Pacquiao mwezi Mei Mwaka huu.Uamuzi huo umekuja baada ya bondia huyo mwenye umri wa miaka 38 kushindwa kuilipa shirikisho la ndondi la WBO ada ya dola laki mbili kabla ya Julai 3, mwaka huu.Hata hivyo Mayweather mwenyewe alitegemewa kuutema mkanda huo, kufuatia ushindi wa pointi dhidi ya Pacquiao. Mmarekami mwenzie Timothy Bradley ndiye ataepewa mkanda...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: BENKI HAIWEZI KUUZA NYUMBA KWA MKOPO AMBAO MMOJA WA WANANDOA HAKUSHIRIKI

Na  Bashir   Yakub.
Ukisoma  kichwa  cha  habari  utaona  nimeongelea  nyumba  lakini    kimsingi   mchakato  huu  unahusisha  mali  zote  za  wanandoa  vikiwemo  viwanja,  magari,  na  kila  kitu  ambacho  ni  mali ya  wanandoa. Kichwa  kinajieleza  kuwa   ni  makosa  benki  au taasisi  yoyote  ya  fedha  kuuza   nyumba  au  mali  yoyote  ya  wanandoa  ikiwa  wakati  wa  kuchukua  mkopo  mwanandoa  mmojawapo  hakushirikishwa  katika    mchakato  wa  mkopo  huo. 
1.  MAANA   YA   MALI   YA...

 

11 years ago

Mwananchi

Namna ya kukabiliana na tatizo la moyo kushindwa kufanya kazi

>Magonjwa ya moyo yameshika kasi hapa nchini kiasi cha kutishia uhai wa watu wengi.

 

9 years ago

Michuzi

AMRI YA KUTOUZA NYUMBA YA MKOPO HAIKATIWI RUFAA.

                         KUSOMA  ZAIDI  kliks  goes  to  sheriayakub.blogspot.comNa  Bashir  Yakub

Mara  kadhaa  mkopaji  anaposhindwa  kulipa  mkopo  hukimbilia  mahakamani  ili  kuona  kama  anaweza  kupata unafuu  hasa linapokuja  suala  la  wakopeshaji  wake  kutaka  kuuza    nyumba/kiwanja  alichoweka  rehani. 
Ni  ukweli  usiopingika  kuwa  hatua  hii  imewasaidia  wengi  hasa  wale  wanaowahi.  Yapo  makala   tuliwahi  kuandika kuhusu  hatua  za kuchukua  hasa  inapotokea  kuwa ...

 

10 years ago

Michuzi

ZIJUE ADA UNAZOTAKIWA KULIPA UNAPOTAFUTA/ KUBADILI HATI YA NYUMBA/KIWANJA.


Na  Bashir  Yakub.
Watu  wengi  wanaonunua  ardhi  wamekuwa  wakipata  usumbufu  mkubwa katika   kubadili  majina  yaani kutoka  mmiliki  wa  mwanzo  kwenda  kwa  mmilki mpya  aliyenunua. Upo  usumbufu ambao  husababishwa   kwa  makusudi na  maafisa  wanaohusika   lakini  pia  upo  usumbufu  ambao  husababishwa   na  watu  wenyewe  wanaotaka  kubadili  majina.  
K,Wengi  huanza  muamala  huu  bila  kuwa  na  taarifa  kamili  za  nini kinahitajika kwa  maana  ya  nyaraka  ikiwemo  ada au ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani