Auawa kwa kushindwa kulipa 500/-
MATUKIO ya mauaji ya kikatili yameendelea kutokea wilayani hapa, ambapo mtu mmoja, mkazi wa kijiji cha Kazila, ameuawa na mdai wake kwa kushindwa kulipa deni la Sh 500 baada ya kula nyama ya nguruwe, maarufu kama ‘kitimoto’. Charles Abel (20) aliuawa kwa kupigwa na kipande cha kuni tumboni na muuzaji wa nyama hiyo, Gosbert Frednand (19).
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Polisi watimuliwa kwa kushindwa kulipa kodi
10 years ago
MichuziNAMNA YA KUOKOA NYUMBA ISIUZWE KWA KUSHINDWA KULIPA MKOPO
Uwepo wa sababu za kibinadamu zinazoweza ...
10 years ago
Michuzinews alert: bondia floyd mayweather avuliwa mkanda kwa kushindwa kulipa ada ya pambano wake na Manny Pacquiao
Pacquiao mwezi Mei Mwaka huu.Uamuzi huo umekuja baada ya bondia huyo mwenye umri wa miaka 38 kushindwa kuilipa shirikisho la ndondi la WBO ada ya dola laki mbili kabla ya Julai 3, mwaka huu.Hata hivyo Mayweather mwenyewe alitegemewa kuutema mkanda huo, kufuatia ushindi wa pointi dhidi ya Pacquiao. Mmarekami mwenzie Timothy Bradley ndiye ataepewa mkanda...
10 years ago
Habarileo28 Sep
Mtuhumiwa auawa baada ya kushindwa kujieleza
MTU mmoja mwenye umri kati ya miaka 25 na 30 ambaye jina lake halifahamiki, ameuawa baada ya kushindwa kujieleza juu ya pikipiki ambayo yeye na mwenzake walikuwa wanajaribu kuiuza Chalinze.
10 years ago
VijimamboNyumba ya Capt.John Komba iliyopo Dar es Salaam yapigwa Mnada Baada ya Kushindwa Kulipa Deni
5 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA WANNE JIJINI DAR WAHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA MITATU AU KULIPA FAINI YA 500,000/- KILA MMOJA
MAHAKAMA ya Hakimu Kisutu imewahukumu wafanyabiashara wanne wakazi wa Dar es Salaam kulipa faini ya shilingi 500,000 kila mmoja ama kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kukutwa na madini tofauti tofauti yenye uzito gram 131 yenye thamani ya zaidi shilingi milioni 100 kinyume na sheria.
Wafanyabiashara hao Noah Mmasanga, Richard Boniface, Ally Said na Mosses Mbojo ambapo wamehukumiwa kulipa faini hiyo baada ya kufika makubaliano na Mkurugenzi wa...
5 years ago
MichuziWALIOKWEPA KULIPA KODI WAHUKUMIWA KULIPA BILIONI 1.5 BAADA YA KUKILI KOSA
Na Karama Kenyunko Michuzi TV,
ALIYEKUWA Rais wa Kampuni ya Acacia, Deodatus Mwanyika na wenzake wamehukumiwa kulipa fidia ya Sh bilioni 1.5 baada ya kukiri mashitaka ya kukwepa kulipa kodi.
Pia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kulipa faini ya Sh milioni 1.5 1 ama kutumikia kifungo cha miezi minne gerezani iwapo watashindwa kulipa faini hiyo.
Mbali na Mwanyika washitakiwa wengine ni Meneja Uhusiano wa Mgodi wa Bulyanhulu, Alex Lugendo, Mkurugenzi mtendaji wa mgodi wa Pongea, North...
9 years ago
MichuziWAZIRI WA KILIMO ATOA SAA 48 KWA KAMPUNI YA SPARKWAY LTD KULIPA BILLION 3.4 KWA WAKULIMA WA KOROSHO
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Ajira za undugu ni kushindwa kwa mfumo
MOJA kati ya mambo yaliyotawala katika vyombo vya habari hapa nchini wiki iliyopita ni ajira zinazodaiwa kutolewa na Idara ya Uhamiaji kwa watu wenye uhusiano na watendaji wa idara hiyo....