Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajira za undugu ni kushindwa kwa mfumo

MOJA kati ya mambo yaliyotawala katika vyombo vya habari hapa nchini wiki iliyopita ni ajira zinazodaiwa kutolewa na Idara ya Uhamiaji kwa watu wenye uhusiano na watendaji wa idara hiyo....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Msiajiri kwa vigezo vya undugu-mkurugenzi

Wamiliki wa hoteli mkoani Iringa, wametakiwa kuacha mazoea ya kuajiri wafanyakazi wasiokuwa na ujuzi na badala yake, wazingatie sifa na vigezo vya walivyo navyo, ili kuchochea kasi ya ukuaji wa shughuli za utalii.

 

10 years ago

Habarileo

Sekretarieti ya ajira yaja na mfumo mpya wa maombi ya kazi

SEKRETARIETI ya ajira katika Utumishi wa Umma inatarajia kuzindua mfumo mpya wa utumaji na upokeaji wa maombi ya kazi kwa njia ya mtandao kupitia ‘Recruitment Portal’ hivi karibuni baada ya hatua za majaribio ya mfumo huo kuonesha mafanikio.

 

9 years ago

Vijimambo

TFDA NA TAASISI YA TRADEMARK EAST AFRICA (TMEA) WAZINDUA MFUMO WA UTOAJI VIBALI KWA MFUMO WA KIELEKITRONIKI

 Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Muhammad Kambi (kulia), akibonyeza kituvye Dar es Salaam leo asubuhi, kuashiria uzinduzi wa mfumo wa utoaji vibali kwa njia ya kielekitroniki (e-portal) ambao utawezesha Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), kuhudumia wateja wake kwa kutumia mtandao wa intaneti. Mpango huo unaendeshwa kwa ushirikiano wa TFDA na Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) Viongozi wakiwa meza kuu wakifuatilia uzinduzi huo.
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye hafla hiyo ya uzinduzi. Wadau...

 

11 years ago

Habarileo

Undugu wa Nelson Mandela Tanzania

Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa Maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanganyika yaliyofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam jana. (Picha na Yusuf Badi).WAKATI dunia ikienda Afrika Kusini kumzika mpiganaji dhidi ya ubaguzi wa rangi duniani, Baba wa Taifa la Afrika Kusini, Nelson Mandela, Tanzania inaomboleza ikiwa na kumbukumbu za undugu wa tangu miaka ya 1960.

 

11 years ago

Habarileo

Undugu wa Tanzania washikilia Muungano

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Riziki Said LulidaWAKATI hoja za kubatilisha Muungano uliodumu kwa miaka 50 sasa zikizidi kupoteza nguvu, Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Riziki Said Lulida, ameonya Watanzania kuacha kubaguana kwa misingi ya upande wa Muungano kwa kuwa wao ni ndugu wa damu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kuuacha undugu ni dalili za kuyakaribisha maangamizi

YALIANZA kama masihara, mwanzoni mwa kipindi cha kwanza cha awamu ya pili ya uongozi wa nchi yetu, wawakilishi wetu, wabunge, kwa kusukumwa na kitu ninachoweza kukiita ibilisi wa umimi, wakaona...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri ajiua kwa kushindwa uchaguzi

Wakati Rais wa Malawi, Joyce Banda akizidi kuelemewa kwenye uchaguzi uliofanyika Jumanne wiki hii, Naibu Waziri wa Serikali za Mitaa, Godfrey Kamanya amejiua baada ya kubaini ameshindwa kutetea kiti chake cha ubunge.

 

11 years ago

Habarileo

Auawa kwa kushindwa kulipa 500/-

MATUKIO ya mauaji ya kikatili yameendelea kutokea wilayani hapa, ambapo mtu mmoja, mkazi wa kijiji cha Kazila, ameuawa na mdai wake kwa kushindwa kulipa deni la Sh 500 baada ya kula nyama ya nguruwe, maarufu kama ‘kitimoto’. Charles Abel (20) aliuawa kwa kupigwa na kipande cha kuni tumboni na muuzaji wa nyama hiyo, Gosbert Frednand (19).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani