Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri ajiua kwa kushindwa uchaguzi

Wakati Rais wa Malawi, Joyce Banda akizidi kuelemewa kwenye uchaguzi uliofanyika Jumanne wiki hii, Naibu Waziri wa Serikali za Mitaa, Godfrey Kamanya amejiua baada ya kubaini ameshindwa kutetea kiti chake cha ubunge.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAZIRI AJIUA BAADA YA KUSHINDWA UCHAGUZI

Waziri wa serikali za mitaa nchini Malawi, Godfrey Kamanya, amejiua baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu siku ya Jumanne. Waziri huyo alijipiga risasi nyumbani kwake baada ya kupata taarifa za kushindwa. Matokeo ya kura bado hayajatangazwa rasmi katika kile kinachosemekana kuwa uchaguzi wenye ushindani mkali sana. Afisa mkuu wa uchaguzi, amesema kuwa mfumo wa elektroniki umeharibika na maafisa wanatumia matokeo kwa njia ya...

 

11 years ago

Habarileo

Waziri wa Malawi ajiua kwa risasi

NAIBU Waziri anayemaliza muda wake wa Serikali za Mitaa nchini Malawi, Godfrey Kamanya, amejiua kwa kujipiga risasi, baada ya matokeo ya awali ya kura za ubunge, kuonesha ameshindwa kukomboa jimbo alilokuwa akishikilia la Lilongwe, Msozi Kaskazini.

 

9 years ago

Vijimambo

WAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA AFRIKA (AU) WATUA OFISINI KWA WAZIRI CHIKAWE, WAJADILIANA KUHUSU UCHAGUZI MKUU.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Mkuu wa Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka Umoja wa Afrika (AU), Rais wa Zamani wa Msumbiji, Mhe Armando Emilio Guebuza. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (Katikati kulia) akimfafanulia jambo Mkuu wa Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka Umoja wa Afrika (AU), Rais wa Zamani wa Msumbiji, Mhe...

 

11 years ago

BBCSwahili

Waziri ajinyonga baada ya kushindwa Malawi

Waziri mmoja nchini Malawi amejinyonga baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu unaoendelea nchini Malawi.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU PINDA ASHANGAA WANAOHAMA CHAMA BAADA YA KUSHINDWA

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na wakulima na wananchi wa  mikoa ya Kanda ya Nyanda za juu kusini wakati akifunga maonesho ya sherehe za wakulima Nanenane katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya Agost 8 ,2015 .Picha Jamiimojablog.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akizungumza katika sherehe hizo za wakulima Nanenane Kanda ya Nyanda za juu kusini katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.Wananchi na wakulima wa mikoa ya Kanda ya Nyanda za juu kusini wakimsikiliza Waziri...

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi tayari kwa Uchaguzi mkuu, Waziri

Serikali ya Burundi imeihakikishia jamii ya kimataifa kuwa hali ya usalama imeimarika baada ya maandamano ya upinzani kuzimwa.

 

11 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara ajiua kwa risasi

MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29) anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti.

 

10 years ago

Habarileo

Dereva wa OCD ajiua kwa risasi

Thobias SedoyekaASKARI aliyekuwa dereva wa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) Manyoni mkoani hapa, Aloyce Alibinus amejiua kwa kujipiga risasi mdomoni na kutokea kisogoni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani