ZIJUE ADA UNAZOTAKIWA KULIPA UNAPOTAFUTA/ KUBADILI HATI YA NYUMBA/KIWANJA.

Na Bashir Yakub.
Watu wengi wanaonunua ardhi wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa katika kubadili majina yaani kutoka mmiliki wa mwanzo kwenda kwa mmilki mpya aliyenunua. Upo usumbufu ambao husababishwa kwa makusudi na maafisa wanaohusika lakini pia upo usumbufu ambao husababishwa na watu wenyewe wanaotaka kubadili majina.
K,Wengi huanza muamala huu bila kuwa na taarifa kamili za nini kinahitajika kwa maana ya nyaraka ikiwemo ada au ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
ILI KUBADILI HATI YA NYUMBA/KIWANJA KWA HARAKA ANDAA NYARAKA HIZI
.jpg)
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: UNATAKA KUFANYA TRANSFER (KUBADILI JINA) LA KIWANJA/NYUMBA, UTARATIBU WA HARAKA NI HUU

Watu wengi wamenunua viwanja/nyumba lakini mali hizo zimeendelea kubaki katika majina ya waliowauzia. Wapo ambao imepita hata miaka kumi tangu wanunue maeneo lakini bado hawajabadili jina kuingia jina lake. Zipo sababu nyingi zinazosababisha hali hiyo lakini moja ni watu kutokujua umuhimu wa kubadili jina kwa haraka.
Hapa sizungumzii tu kubadili jina isipokuwa nazungumzia kubadili jina kwa haraka. Kupitia makala haya napenda kuwaamsha...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: MNUNUZI WA NYUMBA/KIWANJA USILAZIMISHWE KULIPA ASILIMIA KUMI SERIKALI ZA MITAA MAANA HAIPO KISHERIA.

Na Bashir YakubMara nyingi nimekuwa nikiandika kuhusu masuala muhimu kuhusu ardhi hasa namna ya kuandika mikataba mtu anapokuwa ananunua nyumba/kiwanja , hadhi ya mikataba hiyo kisheria, na ubora wake. Pia nimeandika mambo mbalmbali kuhusu namna ya kununua nyumba au kiwanja kwa usalama ili watu wasitapeliwe. Nikasema suala si tu kununua kile unachokipenda na kuondoka isipokuwa ni kununua na kuwa salama na ulichonunua bila hatari ya kukumbana na mgogoro mbeleni. Lengo la haya yote ni...
10 years ago
Habarileo30 Mar
Ada ya ardhi, hati za viwanja kushuka
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema wizara yake inakusudia kupeleka katika Bunge lijalo la bajeti pendekezo la kupunguza viwango vya ada ya ardhi na malipo ya awali ya maandalizi ya hati kwa lengo kuhakikisha kila mwananchi anakuwa na uwezo wa kulipia na kumiliki hati ya ardhi.
11 years ago
Mwananchi30 Oct
Hatua ya kubadili umiliki wa hati ya ardhi kisheria
10 years ago
Michuzi
news alert: bondia floyd mayweather avuliwa mkanda kwa kushindwa kulipa ada ya pambano wake na Manny Pacquiao

Pacquiao mwezi Mei Mwaka huu.Uamuzi huo umekuja baada ya bondia huyo mwenye umri wa miaka 38 kushindwa kuilipa shirikisho la ndondi la WBO ada ya dola laki mbili kabla ya Julai 3, mwaka huu.Hata hivyo Mayweather mwenyewe alitegemewa kuutema mkanda huo, kufuatia ushindi wa pointi dhidi ya Pacquiao. Mmarekami mwenzie Timothy Bradley ndiye ataepewa mkanda...
11 years ago
Mwananchi23 Feb
Pazia; pambo linaloweza kubadili mwonekano wa nyumba
10 years ago
GPL
MAMBO MUHIMU KABLA YA KUNUNUA NYUMBA, KIWANJA KUKWEPA MIGOGORO
10 years ago
Michuzi05 Jan
MAKALA YA SHERIA: UNATAKA NYUMBA/KIWANJA, HAKIKISHA HAYA KISHERIA USITAPELIWE
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na migogoro ya mashamba, viwanja na nyumba hasa maeneo ya mijini. Kwa utafiti wa kawaida utagundua kwa haraka baadhi ya sababu ambazo husababisha hali hii.Uaminifu, tamaa, kutelekeza maeneo kwa muda mrefu, utendaji mbovu wa baadhi ya watumishi katika mamlaka za ardhi, uzembe na kutojali ni baadhi ya sababu ambazo huchangia kuwapo na kukua kwa tatizo hili.
Baada ya kuwapo tatizo hili wajibu mkubwa umebaki kwa watu wenyewe kuwa makini na...