Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ILI KUBADILI HATI YA NYUMBA/KIWANJA KWA HARAKA ANDAA NYARAKA HIZI

Na  Bashir   Yakub.

Watu  wengi  wanaonunua  ardhi  wamekuwa  wakipata  usumbufu  mkubwa katika   kubadili  majina  yaani kutoka  mmiliki  wa  mwanzo  kwenda  kwa  mmilki mpya  aliyenunua. Upo  usumbufu ambao  husababishwa   kwa  makusudi na  maafisa  wanaohusika   lakini  pia  upo  usumbufu  ambao  husababishwa   na  watu  wenyewe  wanaotaka  kubadili  majina.  Awali  ya  yote  lazima  nikiri   kuwa  baadhi  ya  maafisa  wa  mamlaka  za  ardhi  husababisha  uchelewaji  kwa  makusudi  kabisa ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ZIJUE ADA UNAZOTAKIWA KULIPA UNAPOTAFUTA/ KUBADILI HATI YA NYUMBA/KIWANJA.


Na  Bashir  Yakub.
Watu  wengi  wanaonunua  ardhi  wamekuwa  wakipata  usumbufu  mkubwa katika   kubadili  majina  yaani kutoka  mmiliki  wa  mwanzo  kwenda  kwa  mmilki mpya  aliyenunua. Upo  usumbufu ambao  husababishwa   kwa  makusudi na  maafisa  wanaohusika   lakini  pia  upo  usumbufu  ambao  husababishwa   na  watu  wenyewe  wanaotaka  kubadili  majina.  
K,Wengi  huanza  muamala  huu  bila  kuwa  na  taarifa  kamili  za  nini kinahitajika kwa  maana  ya  nyaraka  ikiwemo  ada au ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: UNATAKA KUFANYA TRANSFER (KUBADILI JINA) LA KIWANJA/NYUMBA, UTARATIBU WA HARAKA NI HUU

Na  Bashir  Yakub.
Watu wengi wamenunua viwanja/nyumba  lakini mali hizo zimeendelea  kubaki katika  majina  ya waliowauzia. Wapo ambao  imepita  hata  miaka  kumi  tangu wanunue  maeneo   lakini  bado  hawajabadili  jina kuingia  jina  lake. Zipo sababu  nyingi  zinazosababisha  hali hiyo  lakini  moja  ni  watu  kutokujua  umuhimu  wa kubadili  jina  kwa haraka. 
Hapa sizungumzii  tu  kubadili jina  isipokuwa nazungumzia  kubadili  jina  kwa haraka. Kupitia  makala  haya  napenda  kuwaamsha...

 

9 years ago

Michuzi

HATI MILIKI INAPOPOTEA, HARAKA CHUKUA HATUA HIZI.

Hati miliki  ni  mali  inayohamishika  na  hivyo  inaweza kupotea.  Kupotea  kwa  hati miliki  kunaweza  kuwa  katika  mazingira  mengi.  Inaweza kupotea katika  mazingira ya  kuibiwa,  kufichwa  au  kutupwa  kwa  makusudi  kwa   malengo  mabaya  na  mazingira  mengine  yoyote  yanayofanana  na matukio  hayo.  Lakini   mara  kwa  mara  kupotea  kwa  hati  huhusishwa  na  mbinu  chafu  za  kubadilisha  umiliki   pasipo  uhalali  au  kutumika  katika  shughuli  za  kujipatia mikopo   pasi  na...

 

10 years ago

Vijimambo

Nyaraka Hizi Hapa: Kashfa ya Richmond


Naomba wachangiaji msome barua ya katibu mkuu wizara ya madini kwa umakini mkubwa.Katibu alipewa mamlaka ya kuingia mkataba na RICHMOND baada ya baraza la mawaziri kuridhia mapendekezo kutoka kamati ya serikali ya majadiliano (GNT).Credit:Kengete blog




 

11 years ago

Mwananchi

Hatua ya kubadili umiliki wa hati ya ardhi kisheria

Makala hii ni mwendelezo wa makala iliyopita. Umechukua hatua za msingi wakati wa kununua ardhi na umejiridhisha kuwa sasa hiyo ardhi ni mali yako kwa mujibu wa mkataba uliojaza na kusainiwa mbele ya mwanasheria?

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe Bunge la #Katiba wadai nyaraka huku Hati ya Muungano ikileta utata [VIDEO]

>Hoja hiyo iliibuliwa na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema), aliyeshauri kanuni ya 4 ya kuliendesha Bunge hilo Maalum irekebishwe ili wajumbe wapate nyaraka au taarifa yeyote wanayoihitaji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Unayotakiwa kufanya ili kupata ujauzito haraka — 2

WIKI iliyopita tuliangalia baadhi ya mambo unayotakiwa kuyafanya ili uweze kupata ujauzito kwa haraka. Leo tuendelee kuangalia jambo moja mahususi, nalo ni siku nzuri hasa ya kufanya mapenzi ili upate...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani