Wajumbe Bunge la #Katiba wadai nyaraka huku Hati ya Muungano ikileta utata [VIDEO]
>Hoja hiyo iliibuliwa na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema), aliyeshauri kanuni ya 4 ya kuliendesha Bunge hilo Maalum irekebishwe ili wajumbe wapate nyaraka au taarifa yeyote wanayoihitaji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Apr
Serikali yaahidi kuwasilisha hati ya #Muungano Bunge la #Katiba [VIDEO]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Stephen Wassira ametoa ahadi hiyo katika kikao cha Bunge hilo Maalum mjini hapa mapema Jumatatu.
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Mjumbe wa Bunge la #Katiba alia na Sitta, adai ‘kawabania’ nyaraka muhimu [VIDEO]
Mjumbe wa Bunge hilo anayewakilisha Vyama vya Wafanyakazi, Ezekiah Oluoch, amesema kuwa wao walipewa randama yenye muhtasari tu wa mapendekezo yaliyowakilishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ambayo haijitoshelezi.
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Kauli za Shivji juu ya Muungano ndani ya #Katiba Mpya zaleta utata Dodoma [VIDEO]
“Hawa wanaosema Muungano utavunjika – kwa hoja gani?,†amehoji Mnyaa.
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Vyama vyataka tume iondoe utata hati ya Muungano
VYAMA vya siasa vya UND, UNDP na Demokrasia Makini, wameitaka Tume ya Marekebisho ya Katiba kutoa ufafanuzi juu ya hati ya muungano waliyoitumia wakati wa kuandaa rasimu ya katiba. Wakizungumza...
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Bunge la Katiba 'litaendelea bila Ukawa,' asema Sitta huku kanuni zikirekebishwa [VIDEO]
Wakati vikao vya Bunge Maalum la Katiba vikianza tena mjini Dodoma bila ya kuwepo kwa Ukawa, Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samweli Sitta amesema Bunge hilo halitaahirisha shughuli zake hadi hapo muda wa siku 60 waliopewa utakapokamilika.
11 years ago
Mwananchi21 Mar
Ushauri wa #Kikwete kwa wajumbe wa #Bunge la #Katiba [VIDEO]
Rais Jakaya Kikwete amewataka wajumbe kufanya kazi ilowapeleka Dodoma, kwa kuhakiki na kuichambua kwa kina Rasimu ya Pili iliyowasilishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba mnamo Jumanne.
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Bunge la #Katiba kuahirishwa kabla ya maadhimisho ya #Muungano [VIDEO]
Mwenyekiti wa Bunge hilo Samuel Sitta amesema kuwa Aprili 25 itakuwa siku ya mwisho ya majadiliano kwa kipindi hiki cha kwanza ili kupisha Bunge la Bajeti.
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Kamati #Bunge la #Katiba zaongezewa muda, wajumbe waonesha wasiwasi [VIDEO]
MWENYEKITI wa muda wa Bunge la Katiba, Pandu Ameir Kificho amesogeza mbele kuanza rasmi kwa vikao vya bunge hilo baada ya Kamati ya Kanuni kuomba kuongezewa muda zaidi kukamilisha kazi iliyopewa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania