Kauli za Shivji juu ya Muungano ndani ya #Katiba Mpya zaleta utata Dodoma [VIDEO]
“Hawa wanaosema Muungano utavunjika – kwa hoja gani?,†amehoji Mnyaa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Wajumbe Bunge la #Katiba wadai nyaraka huku Hati ya Muungano ikileta utata [VIDEO]
>Hoja hiyo iliibuliwa na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema), aliyeshauri kanuni ya 4 ya kuliendesha Bunge hilo Maalum irekebishwe ili wajumbe wapate nyaraka au taarifa yeyote wanayoihitaji.
10 years ago
Vijimambo02 Oct
BREAKING NEWZ RASIMU YA KATIBA MPYA IMEPITA DODOMA,THERUTHI 2/3 YAPATIKANA PANDE ZOTE ZA MUUNGANO
![](https://scontent-a.xx.fbcdn.net/hphotos-xap1/v/t1.0-9/10352413_789544021107671_499878042800070519_n.jpg?oh=8345312f3a80a7b9dd227bfe8073c586&oe=54B0D235)
* Sura ya Pili Ibara ya Ibara ya 12 hadi 21 imepata theluthi mbili
* Sura ya Tatu Ibara ya 22 hadi 22 hadi 26 imepata theluthi mbili
* Sura ya Nne Ibara ya 27 hadi 30 imepata theluthi mbili
* Sura ya Tano Ibara ya 31 hadi 64 imepata theluthi mbil
*Sura ya Sita Ibara ya 65 hadi 69...
10 years ago
Mwananchi26 Sep
Prof Shivji: Katiba Mpya si suluhisho la migogoro ya ardhi
Mhadhiri maarufu nchini, Profesa Issa Shivji amesema Katiba Mpya haiwezi kuwa dawa ya kumaliza migogoro ya ardhi inayolikabili Taifa.
11 years ago
TheCitizen31 Mar
#Katiba envoy faults Shivji over Union remarks [VIDEO]
Like a chameleon, Prof. Shivji appears to have switched sides, says Mnyaa.
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Tanganyika kuwamo ndani ya Katiba ya Muungano bila Zanzibar ni kuua Muungano
Leo nijikite katika kuongeza uelewa juu ya tofauti iliyopo kati ya mambo ya muungano na yasiyo ya muungano. Nchi yetu inatokana na muungano wa zilizokuwa nchi mbili huru kwa maana ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ambazo ziliwezesha kuundwa kwa nchi mpya, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Kauli zilizovuta hisia ya wengi Bunge Maalum la Katiba Dodoma
>Ni vigumu kueleza matukio yote yaliyotawala kauli na hisia za wengi kwa wiki nzima mjini Dodoma bila kuangalia michango ya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Fataki za Muungano zaleta taharuki kwa wakazi Dar es Salaam
Wakati taifa likiadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, taharuki ilitawala maeneo ya Jiji la Dar es Salaam huku wakazi wake wakiingiwa na hofu kutokana na kishindo cha milipuko ya fataki zilizorushwa kusherehekea jubilee hiyo ya dhahabu.
10 years ago
VijimamboRASIMU KATIBA MPYA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Katiba Mpya itaje mahali pa ofisi za Muungano
Rasimu ya pili ya Katiba Mpya inapendekeza kuwapo kwa Serikali tatu ambazo ni Serikali ya Tanganyika, Serikali ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania