Fataki za Muungano zaleta taharuki kwa wakazi Dar es Salaam
Wakati taifa likiadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, taharuki ilitawala maeneo ya Jiji la Dar es Salaam huku wakazi wake wakiingiwa na hofu kutokana na kishindo cha milipuko ya fataki zilizorushwa kusherehekea jubilee hiyo ya dhahabu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo28 Jun
Kobe waleta taharuki Dar es Salaam
HALI ya taharuki ilizuka jana katika eneo la Tabata Mawenzi jijini Dar es Salaam baada ya kobe wadogo zaidi ya 300 kuonekana katika maeneo hayo huku wakiwa hawajulikani walipotokea.
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Raha kwa wakazi wa Dar es Salaam, Bagamoyo
9 years ago
Dewji Blog18 Nov
Serikali khuduma ya maji kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
Na. Georgina Misama – Maelezo
[DAR ES SALAAM] Serikali inatarajia kuzalisha maji lita milioni 270 kwa siku baada...
9 years ago
VijimamboTANGAZO KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KUHUSU UPOKEAJI WA MIGOGORO YA ARDHI
9 years ago
MichuziSerikali Kuboresha Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam
Serikali inatarajia kuzalisha maji lita milioni 270 kwa siku baada ya kukamilika kwa mradi wa upanuzi wa Chanzo cha Maji cha Ruvu Chini na upanuzi wa mtambo wa kusafishia maji.
Mradi huo unaotekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Kimarekani la Millenium Challenge Co-operation umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 66.24 na unatarajiwa kukamilika wakati wowote baada ya kukamilika kwa kazi ya kulaza bomba linalosafirisha maji toka Ruvu chini kuja...
5 years ago
MichuziSerikali yazindua mpango maalumu wa kutoa elimu ya afya kwa wakazi wa Dar es Salaam
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiongea wakati wa kuzindua mpango huo.
Serikali imezindua mpango maalumu wa kutoa elimu ya afya kwa umma katika Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na kuwapo kwa ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa Corona ikiwa ni mwendelezo wa kuwafikia watu wengi katika ngazi ya mtaa.
Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akizundua mpango wa elimu ya afya kwa umma kwa...
9 years ago
Michuzi18 Nov
KLABU YA ROTARY YA DAR ES SALAAM OYSTERBAY WATOA MATIBABU YA BURE KWA WAKAZI WA KEREGE-BAGAMOYO
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[BAGAMOYO] Klabu ya Rotary ya Dar es Salaam Oyster Bay, kwa mara nyingine tena imeendesha matibabu katika kambi maalum ya matibabu ya bure katika mji wa Kerege uliopo Bagamoyo, Mkoani Pwani.
Kambi...
9 years ago
Dewji Blog16 Nov
Klabu ya Rotary ya Dar es Salaam Oyster Bay watoa matibabu ya bure kwa wakazi wa Kerege-Bagamoyo
Rais wa klabu ya Rotary Dar es Salaam Oyster Bay kwa mwaka huu wa 2015-2016, Mohamed Versi akizungumza na waandishi wa Habari (Hawapo pichani) katika mji wa Kerege jana Novemba 15. wakati wa zoezi hilo la kambi ya bure ya upimaji wa afya. (Picha zote na Andrew Chale ).
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[BAGAMOYO] Klabu ya Rotary ya Dar es Salaam Oyster Bay, kwa mara nyingine tena imeendesha matibabu katika kambi maalum ya matibabu ya bure katika mji wa Kerege uliopo Bagamoyo, Mkoani...
5 years ago
MichuziKLABU YA SIMBA,MO DEWJI WAGAWA BARAKOA BURE KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM KUJIKINGA NA CORONA
Klabu ya Simba kwa kushirikiana na Taasisi ya Mo Dewji wametoa msaada wa Barakoa kwa wananchi wa maeneo mbalimbali ndani ya Jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.
Akizungumza na waandish wa habari wakati wa tukio hilo, Msaidizi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu ya Simba Rispa Hatib amesema tukio hilo ni la siku tatu kuanzia leo Jumamosi na litahitimishwa siku ya Jumatatu.
Amesema, janga hili ni la Dunia na nchi nzima kwa...