Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kobe waleta taharuki Dar es Salaam

HALI ya taharuki ilizuka jana katika eneo la Tabata Mawenzi jijini Dar es Salaam baada ya kobe wadogo zaidi ya 300 kuonekana katika maeneo hayo huku wakiwa hawajulikani walipotokea.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Fataki za Muungano zaleta taharuki kwa wakazi Dar es Salaam

Wakati taifa likiadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, taharuki ilitawala maeneo ya Jiji la Dar es Salaam huku wakazi wake wakiingiwa na hofu kutokana na kishindo cha milipuko ya fataki zilizorushwa kusherehekea jubilee hiyo ya dhahabu.

 

10 years ago

Mwananchi

Moto mwingine waleta hasara Dar na Mwanza

>Siku nne baada ya kuungua kwa nyumba iliyosababisha vifo vya watu sita wa familia moja, Dar es Salaam, moto mwingine umeteketeza sehemu ya juu ya jengo la ghorofa mbili la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lililopo katikati ya jiji.

 

10 years ago

Mwananchi

Akamatwa uwanja wa ndege Dar na kobe 173

Jeshi la Polisi, Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere (JNAI), linamshikilia, raia wa Kuwait, Hussein Mansoor, kwa kukutwa na kobe hai 173 aliokuwa akiwasafirisha kueleka nchini kwake.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIA WA KUWAIT AKAMATWA UWANJA WA NDEGE DAR NA KOBE 173

 Jeshi la Polisi, Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere (JNAI), linamshikilia, raia wa Kuwait, Hussein Mansoor, kwa kukutwa na kobe hai 173 aliokuwa akiwasafirisha kueleka nchini kwake.Kaimu Mkurugenzi wa Uwanja wa JNIA, Clemence Jingu alisema abiria huyo mwenye hati ya kusafiria yenye namba 003870237, alikamatwa usiku wa kuamkia jana akijitayarisha kupanda ndege ya Emirates iliyokuwa ikielekea Kuwait kupitia Dubai.

Jingu alisema raia huyo alikamatwa saa tano usiku katika eneo la abiria...

 

10 years ago

Habarileo

Taharuki yatanda wizi wa watoto Dar

Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaTAARIFA za kuwepo watu wanaoteka na kuua watoto wadogo zimesababisha taharuki kubwa katika Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, hali ambayo mamlaka zinazohusika na usalama wa raia, zimeombwa kueleza undani wa matukio hayo.

 

10 years ago

GPL

KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA

PICHANI JUU: Taswira mbalimbali zikionyesha Kivuko cha MV.Dar es Salaam kikiwa kimeshushwa majini jana tayari kwa kuanza safari ya kuja Tanzania kutokea nchini…

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DR. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM NA AJITAMBULISHA KWA WANA DAR ES SALAAM

????????????????????????????????????Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere na kulakiwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali Mkoa wa Dar es salaam, Ambapo baadae Wagombea hao walitambulishwa kwenye mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es salaam.Magufuli amekishukuru chama cha Mapinduzi na watanzania kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani