Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIA WA KUWAIT AKAMATWA UWANJA WA NDEGE DAR NA KOBE 173

 Jeshi la Polisi, Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere (JNAI), linamshikilia, raia wa Kuwait, Hussein Mansoor, kwa kukutwa na kobe hai 173 aliokuwa akiwasafirisha kueleka nchini kwake.Kaimu Mkurugenzi wa Uwanja wa JNIA, Clemence Jingu alisema abiria huyo mwenye hati ya kusafiria yenye namba 003870237, alikamatwa usiku wa kuamkia jana akijitayarisha kupanda ndege ya Emirates iliyokuwa ikielekea Kuwait kupitia Dubai.

Jingu alisema raia huyo alikamatwa saa tano usiku katika eneo la abiria...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Akamatwa uwanja wa ndege Dar na kobe 173

Jeshi la Polisi, Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere (JNAI), linamshikilia, raia wa Kuwait, Hussein Mansoor, kwa kukutwa na kobe hai 173 aliokuwa akiwasafirisha kueleka nchini kwake.

 

10 years ago

Mtanzania

Raia wa Kuwait akamatwa na kenge 149

monitor_lizard_by_geistis-d4nigw7Na Hadia Khamis, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia raia wa Kuwait, Hussein Mansour (34), baada ya kukamatwa Uwanja wa Ndenge wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) usiku wa kuamkia jana akijaribu kusafirisha kenge hai 149.
Kenge hao wana thamani ya Sh milioni 6.3.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Viwanja vya Ndege Tanzania, Kamishina Msaidizi, Hamis Seleman, alisema mtuhumiwa huyo alikuwa akijiandaa kusafiri kwa ndege ya Shirika la Ndege la...

 

10 years ago

Habarileo

Kobe 250 wakamatwa Uwanja wa Ndege Z’bar

Kobe.KOBE wadogo 250, wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakiwa njiani kusafirishwa kwa njia ya magendo kwenda Malaysia.

 

9 years ago

Michuzi

KOBE 201 WALIOKUWA WAKISAFIRSHWA NJE YA NCHI WAKAMATWA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA J.K NYERERE

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akikagua mabegi matano yenye Kobe 201 yaliyokamatwa usiku wa kuamkia leo na askari wanyamapori kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama katika uwanja wa Kimataifa wa J.K. Nyerere jijini Dar es Salaam.  
Watuhumiwa hao wa usafirishaji wa wanyamapori wametajwa kuwa ni David Mungi mkazi wa Muheza Mkoani Tanga na Mohammed Suleiman (43) mkazi wa Zanzibar ambao katika tukio hilo walishafanikiwa kupita kwenye mitambo ya ukaguzi...

 

11 years ago

CloudsFM

WIZ KHALIFA AKAMATWA NA BANGI UWANJA WA NDEGE

Rapa wa muziki wa nchini Marekani Wiz Khalifa amedakwa na polisi katika uwanja wa ndege mjini Texas baada ya kukutwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bangi wakati wa zoezi la ukaguzi ndani ya mabegi yake.
Staa huyo anayetamba na ngoma yake ya “Black and Yellow” alikuwa akisafiri kutoka El Paso kwenda Dallas wakati maafisa wa uwanja wa ndege walipokuta mzigo huo ndani ya begi lake ambapo kwa mujibu wa sheria aliwekwa kizuizini na baadae kufikishwa kituo cha polisi.

Lakini Rapa huyo hakuonyesha...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kobe mwenda mbio akamatwa Marekani

Polisi wamefanikiwa kumshika tena Kobe mkubwa aliyetoroka baada ya kinachoelezewa kama harakati ndogo za kumkimbiza

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK

Ndege ya shirika la ndege la Delta leo AlhamisI March 5, 2015 imepata ajali ya kuteleza kwenye theluji ilipokua ikitua kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia wa New York, ndege hiyo iliyokua ikitokea Atlanta iliacha njia na kugonga uzio wa seng'enge ya waya kama inavyoonekana kwenye picha na msemaji wa zima moto ameripoti hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo isipokua baadhi ya ya abiria wamepata majeraha ya kawaida na walikimbizwa hospitali kwa matibabu na kwa sasa uwanja huo umefungwa kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Anaswa na kete 71 Uwanja wa Ndege Dar

 Polisi Kikosi cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), wamemkamata mkazi wa Temeke, Mwanahamisi Salim (27) kwa tuhuma za kumeza kete 71 za dawa za kulevya aina ya heroini zenye thamani ya zaidi ya Sh60 milioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani