Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Raia wa Kuwait akamatwa na kenge 149

monitor_lizard_by_geistis-d4nigw7Na Hadia Khamis, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia raia wa Kuwait, Hussein Mansour (34), baada ya kukamatwa Uwanja wa Ndenge wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) usiku wa kuamkia jana akijaribu kusafirisha kenge hai 149.
Kenge hao wana thamani ya Sh milioni 6.3.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Viwanja vya Ndege Tanzania, Kamishina Msaidizi, Hamis Seleman, alisema mtuhumiwa huyo alikuwa akijiandaa kusafiri kwa ndege ya Shirika la Ndege la...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIA WA KUWAIT AKAMATWA UWANJA WA NDEGE DAR NA KOBE 173

 Jeshi la Polisi, Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere (JNAI), linamshikilia, raia wa Kuwait, Hussein Mansoor, kwa kukutwa na kobe hai 173 aliokuwa akiwasafirisha kueleka nchini kwake.Kaimu Mkurugenzi wa Uwanja wa JNIA, Clemence Jingu alisema abiria huyo mwenye hati ya kusafiria yenye namba 003870237, alikamatwa usiku wa kuamkia jana akijitayarisha kupanda ndege ya Emirates iliyokuwa ikielekea Kuwait kupitia Dubai.

Jingu alisema raia huyo alikamatwa saa tano usiku katika eneo la abiria...

 

10 years ago

Vijimambo

Anaswa Airport na kenge hai 149

Alikuwa akiwapeleka KuwaitMaofisa wa Wanyamapori wakishirikiana na polisi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), wakipekua sanduku lililobeba kenge ambalo lilikamatwa kwa mmoja wa abiria jijini Dar es Salaam jana.
Raia wa Kuwait, Hussain Ahmed Ally Mansour (34), amekamatwa na maofisa usalama na Jeshi la Polisi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa tuhuma za kutaka kusafirisha kenge hai 149 wenye thamani ya Sh. milioni 6.33 kwenda nchini...

 

11 years ago

Mwananchi

Askari aliyemjeruhi raia kwa risasi akamatwa

Askari PC Joshua anayedaiwa kumpiga risasi tatu mguuni raia wa Kata ya Lang’ata Bora wilayani Mwanga na kumjeruhi vibaya kisha kutoroka, amekamatwa na jeshi hilo na kufikishwa Mahakama ya Kijeshi kwa taratibu za jeshi hilo.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AKUTANA NA VIONGOZI WA KUWAIT FUND, KUWAIT CITY

Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa akisalimiana na Mhe. Abdulwahab A. Al-Bader, Mkurugenzi wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait mara baada kuwasili ofisini kwake kwa mkutano siku ya Jumatano  tarehe 15 Aprili 2015.  Mhe. Bernard Membe akiwa kwenye picha ya pamojan na Abdulwahab A. Al-Bader, Mkurugenzi wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait (kati) pamoja na Balozi Yahya Simba, Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Wizara ya Mambo ya Nje. : Waziri Membe...

 

11 years ago

CloudsFM

RAIA WA VIETNAM AKAMATWA NA MZIGO WA MENO YA TEMBO KUCHA ZA SIMBA

Jeshi la Polisi linamshikilia Raia wa Vietnam Dong Van(47) kwa kumkamata akiwa na meno 65 na kucha 447 za Simba kinyume cha sheria vyenye thamani ya Shilingi Milioni 189,420,000.
Kamishna Msaidizi wa Polisi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Hamisi Selemani, amesema mtuhumiwa huyo alikamatwa jana wakati alipotaka kusafirisha nyara hizo kwa kutumia Shirika la Ndege la Qatar Airways kwenda nchini Vietnam kupitia Doha.

Amesema alipopekuliwa alikutwa na nyara hizo ambazo...

 

11 years ago

Mwananchi

Msafara wa mamba, kenge hawakosi

Katika kipindi cha hivi karibuni muziki wa Hip Hop hapa nchini umeendelea kufanya poa sokoni, kutokana na kasi kubwa ya mizuka inayojidhihirisha kwa mashabiki hao.

 

10 years ago

Mwananchi

Kenge 140 wanaswa JNIA wakitoroshwa nje ya nchi

  Jeshi la Polisi la   Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)linamshikilia raia wa Kuwait kwa tuhuma za kukutwa na viumbe hai aina ya Kenge 149 wenye thamani ya Sh 6.3 milioni.

 

11 years ago

Daily News

149 'Panya Road' gangsters held


Daily News
149 'Panya Road' gangsters held
Daily News
POLICE in Dar es Salaam have arrested 149 youths who are suspected to be involved in the gang commonly known as 'Panya Road.' The arrests follow a special operation conducted in separate areas in the city from Saturday until early Monday morning.

 

10 years ago

TheCitizen

149 EU election observers expected at polling stations

The European Union Election Observation Mission (EU EOM) is set to deploy  140 election observers to all polling stations on Tanzania mainland and Zanzibar, officials said on Sunday.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani