Msafara wa mamba, kenge hawakosi
Katika kipindi cha hivi karibuni muziki wa Hip Hop hapa nchini umeendelea kufanya poa sokoni, kutokana na kasi kubwa ya mizuka inayojidhihirisha kwa mashabiki hao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi27 Sep
NINAPODADAVUA :Kobe, kasa, mijusi wote wamo katika msafara wa mamba
10 years ago
Vijimambo09 Jan
Anaswa Airport na kenge hai 149
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Kenge-09Dec2015.jpg)
Raia wa Kuwait, Hussain Ahmed Ally Mansour (34), amekamatwa na maofisa usalama na Jeshi la Polisi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa tuhuma za kutaka kusafirisha kenge hai 149 wenye thamani ya Sh. milioni 6.33 kwenda nchini...
10 years ago
Mtanzania09 Jan
Raia wa Kuwait akamatwa na kenge 149
Na Hadia Khamis, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia raia wa Kuwait, Hussein Mansour (34), baada ya kukamatwa Uwanja wa Ndenge wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) usiku wa kuamkia jana akijaribu kusafirisha kenge hai 149.
Kenge hao wana thamani ya Sh milioni 6.3.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Viwanja vya Ndege Tanzania, Kamishina Msaidizi, Hamis Seleman, alisema mtuhumiwa huyo alikuwa akijiandaa kusafiri kwa ndege ya Shirika la Ndege la...
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Kenge 140 wanaswa JNIA wakitoroshwa nje ya nchi
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Mamba ala mwanafunzi
MWANAFUNZI wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Ugalla, Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi, Yohana Ramadhani (14), ameliwa na Mamba wakati akioga na wenzake katika mto Ugalla. Kwa mujibu wa Diwani...
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Jasiri wa kulishana na mamba
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Zabuni ya kuvua mamba yatangazwa
SERIKALI imetangaza zabuni ya kuvua mamba 118 nchini ambapo maeneo yatakayopewa kipaumbele ni yale yaliyothibitishwa kuwa na mamba waharibifu. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu aliyasema hayo jana wakati...
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
Wabunge msilie machozi ya Mamba
KITENDO cha Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuamua kusimama kidete na kuonyesha ushupavu na nguvu za kuikalia kooni serikali kuhusu kashfa ya Escrow kusifanane na machozi ya...
9 years ago
BBCSwahili11 Nov
Mamba waleta maafa DRC