WAZIRI MEMBE AKUTANA NA VIONGOZI WA KUWAIT FUND, KUWAIT CITY
![](http://3.bp.blogspot.com/-PKFz8PQNQuw/VS9m39VLedI/AAAAAAADigc/F9kL4pFA4Ow/s72-c/Kuwait%2B1.jpg)
Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa akisalimiana na Mhe. Abdulwahab A. Al-Bader, Mkurugenzi wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait mara baada kuwasili ofisini kwake kwa mkutano siku ya Jumatano tarehe 15 Aprili 2015.
Mhe. Bernard Membe akiwa kwenye picha ya pamojan na Abdulwahab A. Al-Bader, Mkurugenzi wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait (kati) pamoja na Balozi Yahya Simba, Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Wizara ya Mambo ya Nje.
: Waziri Membe...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-LAAbt2lA6-I/VS9ksppWfUI/AAAAAAADifg/jykZR_W0IUw/s72-c/Kuwait%2BArrival%2B1_1.jpg)
WAZIRI MEMBE ALIPOWASILI KUWAIT
![](http://2.bp.blogspot.com/-LAAbt2lA6-I/VS9ksppWfUI/AAAAAAADifg/jykZR_W0IUw/s1600/Kuwait%2BArrival%2B1_1.jpg)
Msafara wa Mhe. Membe ukitokea airport kuelekea hotelini ambapo atakaa kwa siku leo tarehe 14-15 Aprili 2015 (usiku) moja kabla ya kuelekea Oman kuendelea na ziara yake.
![](http://4.bp.blogspot.com/-dQZGDFzq70o/VS9ktt7YodI/AAAAAAADif4/eyTjc_LlP4U/s1600/Kuwait%2BArrival%2B3.jpeg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-9iHcTtZnabU/VS9kutQBreI/AAAAAAADigA/cmCheSS1ilE/s1600/Kuwait%2BArrival%2B4.jpeg)
Waziri Membe...
9 years ago
MichuziWaziri Mahiga akutana na Mabalozi wa Qatar na Kuwait waliopo nchini
10 years ago
MichuziWaziri Membe apokea Hati za Utambulisho za Mabalozi wapya wa Kuwait,Malawi,Kenya na Afrika Kusini
9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (Mb.) akisalimiana na Balozi wa Kuwait hapa nchini, Mhe. Nassem Ibrahim Al Najib alipofika Wizarani kwa ajili ya kuwasilisha salamu za pongezi kwa Mhe. Dkt. Kolimba kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait.
10 years ago
VijimamboWAZIRI MEMBE APOKEA NAKALA ZA HATI UTAMBULISHO KUTOKA MABALOZI WA KUWAIT,MALAWI,AFRIKA KUSINI NA KENYA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLS079UZTw2DBcgT7p9ofj41VdyIAVbhpzIKlQWdVx2QQDvW0z1dLdcSHXYB-jF9RTEsNdhN4Vs7x2FG19gD5fRW/unnamed66.jpg?width=650)
WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI, PIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA CONTRACTUS YA POLAND
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Rais Magufuli akutana na Balozi wa Uswisi na Kuwait
10 years ago
VijimamboMaalim Seif akutana na Balozi wa Kuwait pamoja na mwakilishi wa shirika la afya duniani (WHO) nchini
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-t-TBECI1y70/VnlKXTmljwI/AAAAAAAIN5o/gbDlorOS-Dk/s72-c/02.jpg)
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AKUTANA NA MABALOZI WA KUWAIT NA RWANDA OFISINI KWAKE IKULU DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-t-TBECI1y70/VnlKXTmljwI/AAAAAAAIN5o/gbDlorOS-Dk/s640/02.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-NNxoHkgWyfA/VnlKbUkyqiI/AAAAAAAIN6E/3gfbYNL12bI/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-yVqkCIoDW7Q/VnlKcHjesFI/AAAAAAAIN6Q/xda56tn52Xw/s640/3.jpg)