Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMBO MUHIMU KABLA YA KUNUNUA NYUMBA, KIWANJA KUKWEPA MIGOGORO

Na   Bashir   Yakub MAKALA zilizopita  nilieleza   mambo au taarifa muhimu  zinazopaswa kuwa kwenye  mkataba wako  unapokuwa unanunua  nyumba/kiwanja. Nikasema  mkataba  lazima uoneshe  iwapo ukitokea mgogoro  utatatuliwa vipi,  ueleze   utakapotokea mgogoro  muuzaji  lazima  awajibike kuhakikisha anakupa ushirikiano  mnunuzi  ili kumaliza  mgogoro huo na kuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Utafiti muhimu kabla ya kufanya biashara

WATU wengi hufikiri kwamba mtaji ni kigezo pekee cha kuanzisha biashara na kutoona umuhimu wa kufanya utafiti. Kutokana na hali hiyo, hujikuta biashara zao zikishindwa kuhimili ushindani kwa kuanguka au...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utauzaje nyumba na kununua gari?

KATIKA maisha yetu ya kawaida binadamu ni dhahiri wote bila ya kujali tofauti ya uwezo wetu kifedha au kiuchumi kwa ujumla, tunahitaji kula, kuvaa na makazi (malazi). Mahitaji hayo niliyoyataja...

 

10 years ago

Michuzi

JE WAWEZA KUUZA NYUMBA/KIWANJA ULICHOKOPEA BILA KUMPA TAARIFA ALIYEKUKOPA?.

Na  Bashir  Yakub.Wakati  mwingine  waliokopa  kwa  kutumia  viwanja /nyumba   huwa  na  mahitaji ya  kuviuza.  Wasiwasi  wao mkubwa  huwa  ni kwa  mtoa  mkopo  iwapo akijua  eneo  lililowekwa  dhamana  limeuzwa  . Pia  wanunuzi  wa  maeneo  ambayo  yamewekwa  dhamana  nao  wakati  mwingine  huwa  na wasiwasi  juu kununua  maeneo  kama   hayo.  
Nilwahi  kueleza  namna  ya  kununua  ardhi  iliyowekwa  mkopo japo  sicho  ninachozungumza  leo. Leo naeleza  hadhi  ya  kisheria ( legal  status)  ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: UNANUNUAJE NYUMBA/KIWANJA BILA KUJIRIDHISHA NA HATUA HII?

Na  Bashir  Yakub.Mara  nyingi  nimeandika  kuhusu  ardhi  hususan   viwanja  na  nyumba.  Katika  kufanya  hivyo  mara  kadhaa  nimejaribu  kuwatahadharisha  watu namna  mbalimbali  ya  kisheria ya kuepuka   kuingia  katika  migogoro  ya  viwanja  na  nyumba  hasa  wakati  wa  kununua( wanunuzi). 
 Nimewahi  kueleza  namna  au  vitu  vya  msingi ambavyo  hutakiwa  kuwa  katika  mkataba  wa   ununuzi  wa  nyumba  au  kiwanja. Nikaeleza  umuhimu  wa  kila  kimoja   na nikasisitiza  kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

ZIJUE ADA UNAZOTAKIWA KULIPA UNAPOTAFUTA/ KUBADILI HATI YA NYUMBA/KIWANJA.


Na  Bashir  Yakub.
Watu  wengi  wanaonunua  ardhi  wamekuwa  wakipata  usumbufu  mkubwa katika   kubadili  majina  yaani kutoka  mmiliki  wa  mwanzo  kwenda  kwa  mmilki mpya  aliyenunua. Upo  usumbufu ambao  husababishwa   kwa  makusudi na  maafisa  wanaohusika   lakini  pia  upo  usumbufu  ambao  husababishwa   na  watu  wenyewe  wanaotaka  kubadili  majina.  
K,Wengi  huanza  muamala  huu  bila  kuwa  na  taarifa  kamili  za  nini kinahitajika kwa  maana  ya  nyaraka  ikiwemo  ada au ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: UNATAKA NYUMBA/KIWANJA, HAKIKISHA HAYA KISHERIA USITAPELIWE

Na  Bashir   Yakub
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na migogoro ya mashamba, viwanja na nyumba  hasa maeneo ya mijini.  Kwa utafiti wa kawaida utagundua kwa haraka baadhi ya sababu ambazo husababisha hali hii.Uaminifu, tamaa, kutelekeza maeneo kwa muda mrefu, utendaji mbovu wa  baadhi ya watumishi katika mamlaka za ardhi, uzembe na kutojali ni baadhi ya sababu  ambazo huchangia kuwapo  na kukua kwa tatizo hili. 
Baada ya kuwapo  tatizo hili wajibu mkubwa umebaki kwa watu wenyewe kuwa makini na...

 

10 years ago

Michuzi

makala ya sheria: USINUNUE KIWANJA/NYUMBA YA MIRATHI BILA KUPATA FOMU HII.



Na Bashir YakubNimeandika makala nyingi kuhusu namna  ya kisheria ya kuepuka  kununua nyumba/viwanja  vyenye  migogoro kwakuwa  migogoro ya vitu hivi inaumiza sana. Waliokutana na migogoro hii wanajua  vyema ninaongea nini. Katika mwendelezo wa kumuepusha mnunuzi  na janga hili, leo tena tuangalie taratibu za ununuzi wa nyumba/kiwanja cha  mirathi. Nataka ieleweke vyema kuwa taratibu za manunuzi ya nyumba/kiwanja  zinatofautiana. Tofauti kubwa  ni za kisheria hasa  namna ya uandishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

ILI KUBADILI HATI YA NYUMBA/KIWANJA KWA HARAKA ANDAA NYARAKA HIZI

Na  Bashir   Yakub.

Watu  wengi  wanaonunua  ardhi  wamekuwa  wakipata  usumbufu  mkubwa katika   kubadili  majina  yaani kutoka  mmiliki  wa  mwanzo  kwenda  kwa  mmilki mpya  aliyenunua. Upo  usumbufu ambao  husababishwa   kwa  makusudi na  maafisa  wanaohusika   lakini  pia  upo  usumbufu  ambao  husababishwa   na  watu  wenyewe  wanaotaka  kubadili  majina.  Awali  ya  yote  lazima  nikiri   kuwa  baadhi  ya  maafisa  wa  mamlaka  za  ardhi  husababisha  uchelewaji  kwa  makusudi  kabisa ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MNUNUZI WA NYUMBA/KIWANJA JIHADHARI SERIKALI ZA MITAA HAWARUHUSIWI KUSIMAMIA MIKATABA KISHERIA.


Na Bashir YakubWiki  iliyopita  niliandika  kuhusu  Asilimia kumi ambayo  serikali  za mitaa huwa  wanaidai  hasa  maeneo  ya  mijini baada  ya  wahusika  kuwa wameuziana nyumba au  kiwanja. Nikasema  wazi  kabisa  bila  kungata  meno  kuwa  hiyo  pesa iitwayo asilimia kumi au pesa nyingine yoyote   mtu  atakayolipa  serikali  za  mitaa eti  kwakuwa amenunua  au  ameuza   eneo  lake   ni rushwa. Na  leo  nakumbusha na  kusisitiza  tena   kuwa  Watanzana wajue   ukitoa   pesa  ile   umetoa ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani