Utauzaje nyumba na kununua gari?
KATIKA maisha yetu ya kawaida binadamu ni dhahiri wote bila ya kujali tofauti ya uwezo wetu kifedha au kiuchumi kwa ujumla, tunahitaji kula, kuvaa na makazi (malazi). Mahitaji hayo niliyoyataja...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMILIONI 80 KUNUNUA GARI YA WANAFUNZI IFUNDA
MILIONI 80KUNUNUA GARI YA WANAFUNZI IFUNDA
Na Denis Mlowe,Iringa
ZAIDI ya shilingi milioni 80 zinatarajia kutumika katika ununuzi wa gari ya wanafunzi wa shule ya wasichana Ifunda iliyoko katika wilaya ya Iringa vijijini mkoani Iringa.
Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Zaina Salingwa alisema hayo katika harambee iliyofanyika sambamba na mahafari ya nane ya kidato cha sita shuleni hapo kuwa kuna changamoto kubwa ya usafiri wa wanafunzi katika shule hiyo na wanatarajia kukusanya fedha hiyo kuweza...
Na Denis Mlowe,Iringa
ZAIDI ya shilingi milioni 80 zinatarajia kutumika katika ununuzi wa gari ya wanafunzi wa shule ya wasichana Ifunda iliyoko katika wilaya ya Iringa vijijini mkoani Iringa.
Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Zaina Salingwa alisema hayo katika harambee iliyofanyika sambamba na mahafari ya nane ya kidato cha sita shuleni hapo kuwa kuna changamoto kubwa ya usafiri wa wanafunzi katika shule hiyo na wanatarajia kukusanya fedha hiyo kuweza...
11 years ago
MichuziWANANCHI KUNUNUA MAFUTA YA GARI KUPITIA M PESA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
MAMBO MUHIMU KABLA YA KUNUNUA NYUMBA, KIWANJA KUKWEPA MIGOGORO
Na  Bashir  Yakub MAKALA zilizopita nilieleza  mambo au taarifa muhimu zinazopaswa kuwa kwenye mkataba wako unapokuwa unanunua nyumba/kiwanja. Nikasema mkataba lazima uoneshe iwapo ukitokea mgogoro utatatuliwa vipi, ueleze   utakapotokea mgogoro muuzaji lazima awajibike kuhakikisha anakupa ushirikiano mnunuzi ili kumaliza mgogoro huo na kuwa...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-oQTCbsSj9bA/U8Uu6mOXpDI/AAAAAAAClcM/S7gkEhjKCnw/s72-c/Crescentius-Jogn-Magori-NSSF-speaking-at-SafeCare-Conference-2013.jpg)
YANGA SC YAINGIA MAKUBALIANO YA KUNUNUA NYUMBA KWA AJILI YA WACHEZAJI WAKE NA NSSF
![](http://2.bp.blogspot.com/-oQTCbsSj9bA/U8Uu6mOXpDI/AAAAAAAClcM/S7gkEhjKCnw/s1600/Crescentius-Jogn-Magori-NSSF-speaking-at-SafeCare-Conference-2013.jpg)
Akizungumza leo katika mkutano maalum na wachezaji hao Mkurugenzi wa uendeshaji NSSF , Crecentius Magori amewaambia wachezaji hao kijana mjanja mjini ni yule ambaye ana miliki nyumba ama ardhi kuliko magari huku akiwahamasisha wachezaji wa Yanga kuchangamkia ununuzi wa nyumba hizo ambazo ziko katika mradi wa makao mapya katika kijiji cha
Dege Kigamboni jijini Dar es...
10 years ago
VijimamboDEGE ECO - VILLAGE WASHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA, WAWAOMBA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA KUNUNUA NYUMBA
10 years ago
MichuziDEGE ECO - VILLAGE WASHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA, WATANZANIA WAOMBWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA KUNUNUA NYUMBA
10 years ago
Dewji Blog02 Jul
DEGE ECO — Village washiriki maonyesho ya Sabasaba, wawaomba Watanzania kuchangamkia fursa za kununua nyumba
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania