Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI KUNUNUA MAFUTA YA GARI KUPITIA M PESA

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma ya kulipia mafuta kwa Mpesa kwenye vituo vya mafuta vya Total nchini. Kulia ni Mkurugenzi wa Biashara wa Total Romee de Villeneuve. Uzinduzi huo umefanyika leo jijini Dra es salaam.   Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Salum Mwalim akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) jinsi ya kulipia mafuta kwa Mpesa kwenye vituo vya mafuta vya Total muda mfupi baada ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA CORONA(T)LTD NI KINARA WA KUJAZA MAFUTA KUPITIA HUDUMA YA M PESA YA VODACOM

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Salum Mwalim (kushoto)akiongea jambo kwa Wafanyakazi wa Kampuni ya Corona (T) Ltd baada ya kampuni hiyo kuibuka kinara wa utumiaji wa huduma ya M-pesa wanapojaza mafuta kwenye vituo vya OilCom( wapili kutoka kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Raphael Habiyaremye ,Meneja uendeshaji wa Corona Faiza Kijangwa ,Meneja Utawala wa Corona Norah Christopher, Meneja wa Maswala ya Kompyuta wa OILCOM Tanzania Abubakar Mwita.Hafla hiyo ilifanyika...

 

10 years ago

GPL

KAMPUNI YA CORONA (T) LTD NI KINARA WA KUJAZA MAFUTA KUPITIA HUDUMA YA M PESA YA VODACOM‏

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Salum  Mwalim (kushoto)akiongea jambo kwa Wafanyakazi wa Kampuni ya Corona (T) Ltd baada ya kampuni hiyo kuibuka kinara wa utumiaji wa huduma ya M-pesa wanapojaza mafuta kwenye vituo vya OilCom( wapili kutoka kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Raphael Habiyaremye ,Meneja uendeshaji wa Corona Faiza Kijangwa, Meneja Utawala wa Corona Norah Christopher, Meneja wa Maswala...

 

5 years ago

Michuzi

EWURA yapewa siku 10 kupitia bei za mafuta katika maghala ya kuhifadhi na kupokea mafuta.



Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.

Shehena ya Mafuta ikiwa imepakiwa katika matangi tayari kwa kusafirishwa,hapa ni katika ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP mkoani Tanga, Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani, alifanya ziara katika eneo hilo, Mei 10,2020.

Baadhi ya mapipa makubwa ya kuhifadhia mafuta...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kununua mafuta kielektroniki

SERIKALI itaanzisha mfumo mpya wa kielektroniki wa kununua, kutunza na kuuza mafuta yanayotumika katika magari yake.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

‘Ruksa kununua hisa mafuta na gesi’


NA RACHEL KYALA
SERIKALI kwa mara ya kwanza imetoa fursa kwa wananchi ya kuwekeza kwa kununua hisa katika sekta ya mafuta na gesi.
Hatua hiyo imekuja kufuatia serikali kutoa kibali kwa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala, kuwa ya kwanza kuuza hisa Afrika Mashariki na kumilikiwa na wazawa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Swala, David Ridge, akizungumza jijini Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa uuzaji wa hisa, aliwataka watanzania kuchangamkia fursa hiyo ili kuinua uchumi wao na wa taifa kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utauzaje nyumba na kununua gari?

KATIKA maisha yetu ya kawaida binadamu ni dhahiri wote bila ya kujali tofauti ya uwezo wetu kifedha au kiuchumi kwa ujumla, tunahitaji kula, kuvaa na makazi (malazi). Mahitaji hayo niliyoyataja...

 

11 years ago

Michuzi

MILIONI 80 KUNUNUA GARI YA WANAFUNZI IFUNDA

MILIONI 80KUNUNUA GARI YA WANAFUNZI IFUNDA
Na Denis Mlowe,Iringa
ZAIDI ya shilingi milioni 80 zinatarajia kutumika katika ununuzi wa gari ya wanafunzi wa shule ya wasichana Ifunda iliyoko katika wilaya ya Iringa vijijini mkoani Iringa.
Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Zaina Salingwa alisema hayo katika harambee iliyofanyika sambamba na mahafari ya nane ya kidato cha sita shuleni hapo kuwa kuna changamoto kubwa ya usafiri wa wanafunzi katika shule hiyo na wanatarajia kukusanya fedha hiyo kuweza...

 

10 years ago

Michuzi

Wateja wa TTCL Kununua Salio Kupitia ‘Mobile Banking’

KAMPUNI ya Simu nchini Tanzania (TTCL) sasa imerahisisha upatikanaji wa vocha zake baada ya kuingia makubaliano kuishirikiano na benki 13 nchini zinazotoa huduma zake pia kwa kupitia simu za mkononi (Mobile Banking) ambapo sasa mteja wa TTCL ataweza kuongeza salio kupitia simu yake ya mkononi (TTCL top-up).
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Meneja Mipango na Mauzo wa TTCL, Benjamin Bizere alisema huduma hiyo ya kununua salio kwa njia ya simu kupitia mabenki 13...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani