Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Ruksa kununua hisa mafuta na gesi’


NA RACHEL KYALA
SERIKALI kwa mara ya kwanza imetoa fursa kwa wananchi ya kuwekeza kwa kununua hisa katika sekta ya mafuta na gesi.
Hatua hiyo imekuja kufuatia serikali kutoa kibali kwa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala, kuwa ya kwanza kuuza hisa Afrika Mashariki na kumilikiwa na wazawa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Swala, David Ridge, akizungumza jijini Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa uuzaji wa hisa, aliwataka watanzania kuchangamkia fursa hiyo ili kuinua uchumi wao na wa taifa kwa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala yakaribishwa rasmi Soko la Hisa la Dar

Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh.Alhaj Ali HAssan Mwinyi akigonga kengele kuashiria kuingia rasmi kwa kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala kwenye Soko la Hisa la Dar es salaam. Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. David Mestres akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukaribishwa rasmi kwa kampuni ya Swala kwenye soko la Hisa la Dar Es Salaam. Mwenyekiti wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. Ernest...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala yakaribishwa rasmi Soko la Hisa la Dar es Salaam

1

Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh.Alhaj Ali Hassan Mwinyi akigonga kengele kuashiria kuingia rasmi kwa kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala kwenye Soko la Hisa la Dar es salaam. 2

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. David Mestres akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukaribishwa rasmi kwa kampuni ya Swala kwenye soko la Hisa la Dar Es Salaam.

4

Mwenyekiti wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. Ernest...

 

5 years ago

BBCSwahili

Rusty Hutson: Mwanamume aliyekuwa milionea kwa kununua visima 60,000 vya mafuta na gesi

Rusty Hutson Jr ni mkuu wa shirika la kawi la Marekani linalokuwa kwa kasi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wageni ruksa kununua bondi za Serikali

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeruhusu wawekezaji kutoka nchi za Afrika Mashariki kununua dhamana za Serikali, hivyo kuongeza ushindani katika minada ya dhamana.

 

10 years ago

Mwananchi

TCCIA: Jengeni tabia ya kununua hisa

Watanzania wametakiwa kutafuta ufahamu kuhusu masuala ya hisa na kujenga tabia ya kuzinunua kama sehemu ya uwekezaji kwa maendeleo yao na Taifa kwa jumla.

 

11 years ago

Mwananchi

Hata kampuni inaweza kununua hisa zake

Kuna sababu mbalimbali ambazo zinaifanya kampuni mpaka kufikia uamuzi wa kununua hisa zake. Ukitaka kujua ni sababu zipi fuatilia makala haya.

 

10 years ago

Michuzi

UNATAKA AU UMEFUNGUA KAMPUNI, JE WAJUA NAMNA YA KUNUNUA, KUUZA HISA


Na  Bashir  Yakub

Katika adhima ya  ya mwendelezo wa makala za namna ya kuendesha kampuni leo tena tuangalie  kuhusu hisa na hasa namna ya kuhamisha hisa.
HISA NININI.

Kwa maana ambayo inaweza kueleweka kwa wepesi zaidi  ni kusema kuwa hisa  ni aina ya maslahi ya mtu ya katika kampuni.Natumia neno aina kwakuwa maslahi katika kampuni ni mengi si hisa tu isipokuwa hisa ni mojawapo ya maslahi. Hivyo kile ambacho mtu anamiliki katika kampuni  ndio hisa zake. Hisa hutofautiana kutokana na uwezo wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: UNATAKA AU UMEFUNGUA KAMPUNI, JE WAJUA NAMNA YA KUNUNUA, KUUZA HISA

Na  Bashir  YakubKatika adhima ya  ya mwendelezo wa makala za namna ya kuendesha kampuni leo tena tuangalie  kuhusu hisa na hasa namna ya kuhamisha hisa. 
HISA NININI.Kwa maana ambayo inaweza kueleweka kwa wepesi zaidi  ni kusema kuwa hisa  ni aina ya maslahi ya mtu ya katika kampuni.Natumia neno aina kwakuwa maslahi katika kampuni ni mengi si hisa tu isipokuwa hisa ni mojawapo ya maslahi. Hivyo kile ambacho mtu anamiliki katika kampuni  ndio hisa zake. Hisa hutofautiana kutokana na uwezo wa...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kununua mafuta kielektroniki

SERIKALI itaanzisha mfumo mpya wa kielektroniki wa kununua, kutunza na kuuza mafuta yanayotumika katika magari yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani