Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala yakaribishwa rasmi Soko la Hisa la Dar
![](http://1.bp.blogspot.com/-KHFJrlEbL80/U-i8ZWTpc0I/AAAAAAAF-co/0lIfalBv8FU/s72-c/unnamed1.jpg)
Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh.Alhaj Ali HAssan Mwinyi akigonga kengele kuashiria kuingia rasmi kwa kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala kwenye Soko la Hisa la Dar es salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. David Mestres akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukaribishwa rasmi kwa kampuni ya Swala kwenye soko la Hisa la Dar Es Salaam.
Mwenyekiti wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. Ernest...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala yakaribishwa rasmi Soko la Hisa la Dar es Salaam
![2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/26.jpg)
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. David Mestres akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukaribishwa rasmi kwa kampuni ya Swala kwenye soko la Hisa la Dar Es Salaam.
Mwenyekiti wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. Ernest...
11 years ago
Habarileo12 Aug
Kampuni ya Swala yaingia Soko la Hisa
KAMPUNI ya Swala Oil & Gas jana imejiorodhesha rasmi katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kupitia mlango wa soko dogo, yaani Enterprise Growth Market (EGM) ambalo ni mahususi kwa ajili ya kampuni ndogo na kati.
9 years ago
Dewji Blog19 Aug
Kampuni ya Swala yaahidi makubwa, mwaka mmoja baada ya kuingia katika soko la hisa
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala (Tanzania) PLC, David Mestres Ridge (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu kampuni yake kutimiza mwaka mmoja tangu iingie katika soko la hisa (IPO) ambapo Swala iliingiza jumla ya hisa za kawaida 9,600,000, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa ARCH Financial & Investment Advisory Limited, Iyen Nsemwa.
Kampuni ya uchimbaji mafuta na gesi ya Swala Energy leo imetimiza mwaka mmoja tangu kuingia katika...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-R_ty8Fvbb1g/U5X_VoWKWPI/AAAAAAAFpUU/IHrHK0NiH-I/s72-c/PHOTO+SWALA2.jpg)
KAMPUNI YA MAFUTA NA GESI YA SWALA (TANZANIA) PLC INATANGAZA UZINDUZI WA IPO
![](http://1.bp.blogspot.com/-R_ty8Fvbb1g/U5X_VoWKWPI/AAAAAAAFpUU/IHrHK0NiH-I/s1600/PHOTO+SWALA2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-sOmAwmbwI_M/U5X_VXipEFI/AAAAAAAFpUQ/8ZbdrQr5am8/s1600/PHOTO+SWALA1.jpg)
11 years ago
Dewji Blog09 Jun
Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala (Tanzania) PLC inatangaza uzinduzi wa IPO
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala (Tanzania) PLC, David Mestres Ridge (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu ufunguzi wa ofa ya awali kwa umma ijulikanayo kwa kifupi (IPO) ambayo itakuwa na hisa za kawaida,9,600,000. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa ARCH Financial $ Investment Adivisory Limited,Iyen Nsemwa. (Na Mpiga picha Wetu)
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala (Tanzania) PLC, Abdullah Mwinyi (katikati),...
11 years ago
Uhuru Newspaper13 Aug
Swala yaingia soko la hisa
NA MWANDISHI WETUKAMPUNI ya mafuta na gesi ya Swala, imeingizwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), baada ya kukidhi vigezo vya masoko ya mtaji .Swala imekuwa kampuni ya kwanza ya mafuta na gesi kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kuingia kwenye soko la hisa. Hafla ya kuingizwa DSE, ilifanyika juzi mjini Dar es Salaam, ambapo Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, ambaye alikuwa mgeni wa heshima, alipiga kengele kuashiria uzinduzi wa kampuni hiyo kuingia DSE. Akizungumza...
11 years ago
Michuzi18 Jun
uuzaji wa hisa za kampuni ya 'Swala Energy' zinazotolewa kwa mara ya kwanza kwa shilingi 500 kwa hisa.
10 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Utafiti wa Swala kusaidia upatikanaji wa mafuta, gesi
KAMPUNI ya mafuta na gesi ya Swala imetoa ushahidi mafanikio ya utafiti uliofanyika katika bonde la Kilombero wilayani Kilosa ambapo matokeo hayo yatatasaidia kurahisisha kazi ya uchimbaji visima mwaka 2015....
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
‘Ruksa kununua hisa mafuta na gesi’
NA RACHEL KYALA
SERIKALI kwa mara ya kwanza imetoa fursa kwa wananchi ya kuwekeza kwa kununua hisa katika sekta ya mafuta na gesi.
Hatua hiyo imekuja kufuatia serikali kutoa kibali kwa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala, kuwa ya kwanza kuuza hisa Afrika Mashariki na kumilikiwa na wazawa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Swala, David Ridge, akizungumza jijini Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa uuzaji wa hisa, aliwataka watanzania kuchangamkia fursa hiyo ili kuinua uchumi wao na wa taifa kwa...