uuzaji wa hisa za kampuni ya 'Swala Energy' zinazotolewa kwa mara ya kwanza kwa shilingi 500 kwa hisa.
TANGAZO MAALUM NA MUHIMU Ninapenda kuwatumia Watanzania wote habari hii kuhusu hisa za kampuni ya 'Swala Energy' zinazotolewa kwa mara ya kwanza kwa shilingi 500 kwa hisa. Kuna wenye uzoefu wa kufanya shughuli hizi za ununuzi na uuzaji wa hisa lakini kuna wengine ambao wangependa kuanza kufanya kuwekeza kwa njia hiyo. Ni vyema wananchi wawe na habari hizi ili wafanye uamuzi unaofaa badala ya kutokujihusisha na shughuli hii kwa sababu ya kukosa habari au kutokufahamu...
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania