JE WAWEZA KUUZA NYUMBA/KIWANJA ULICHOKOPEA BILA KUMPA TAARIFA ALIYEKUKOPA?.
![](http://1.bp.blogspot.com/-rrFghtuqP3o/VYo82gIBNLI/AAAAAAAHjPA/Tcjmhjg-Z6c/s72-c/1.1774256.jpg)
Na Bashir Yakub.Wakati mwingine waliokopa kwa kutumia viwanja /nyumba huwa na mahitaji ya kuviuza. Wasiwasi wao mkubwa huwa ni kwa mtoa mkopo iwapo akijua eneo lililowekwa dhamana limeuzwa . Pia wanunuzi wa maeneo ambayo yamewekwa dhamana nao wakati mwingine huwa na wasiwasi juu kununua maeneo kama hayo.
Nilwahi kueleza namna ya kununua ardhi iliyowekwa mkopo japo sicho ninachozungumza leo. Leo naeleza hadhi ya kisheria ( legal status) ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-p01x6L89i7k/VNx2DS9fmCI/AAAAAAAHDR8/WP4zQul50Gs/s72-c/images.jpeg)
MAKALA YA SHERIA: NINI UFANYE KISHERIA UNAPOHISI MWENZAKO KATIKA NDOA ANATAKA KUUZA NYUMBA/KIWANJA BILA RIDHAA YAKO
![](http://1.bp.blogspot.com/-p01x6L89i7k/VNx2DS9fmCI/AAAAAAAHDR8/WP4zQul50Gs/s1600/images.jpeg)
Upo wakati kwenye ndoa ambapo mmoja wanandoa anaweza akawa anataka kuuza au kubadili jina la nyumba/kiwanja bila ridhaa ya mwenzake ilihali nyumba hiyo ni ya familia. Lakini pia nje ya hilo kuna mazingira ambayo mtu anaweza kuwa si mwanandoa lakini ana maslahi katika nyumba au kiwanja cha mtu fulani na anataka kuzuia nyumba/ kiwanja hicho kisibadilishwe jina au kisiuzwe. Kisheria jambo hilo linaruhusiwa na huitwa zuio( Caveat).
Hili sio zuio la...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mqQox6HlTOY/VUkyzsUGfPI/AAAAAAAHVnE/LkL4u3nKq-U/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: UNANUNUAJE NYUMBA/KIWANJA BILA KUJIRIDHISHA NA HATUA HII?
![](http://3.bp.blogspot.com/-mqQox6HlTOY/VUkyzsUGfPI/AAAAAAAHVnE/LkL4u3nKq-U/s320/law_5.jpg)
Nimewahi kueleza namna au vitu vya msingi ambavyo hutakiwa kuwa katika mkataba wa ununuzi wa nyumba au kiwanja. Nikaeleza umuhimu wa kila kimoja na nikasisitiza kuwa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-8lsfWr73rWk/VM6mfAJEuGI/AAAAAAAHA4g/Rk5VsVceGKk/s72-c/download.jpg)
makala ya sheria: USINUNUE KIWANJA/NYUMBA YA MIRATHI BILA KUPATA FOMU HII.
![](http://3.bp.blogspot.com/-8lsfWr73rWk/VM6mfAJEuGI/AAAAAAAHA4g/Rk5VsVceGKk/s1600/download.jpg)
Na Bashir YakubNimeandika makala nyingi kuhusu namna ya kisheria ya kuepuka kununua nyumba/viwanja vyenye migogoro kwakuwa migogoro ya vitu hivi inaumiza sana. Waliokutana na migogoro hii wanajua vyema ninaongea nini. Katika mwendelezo wa kumuepusha mnunuzi na janga hili, leo tena tuangalie taratibu za ununuzi wa nyumba/kiwanja cha mirathi. Nataka ieleweke vyema kuwa taratibu za manunuzi ya nyumba/kiwanja zinatofautiana. Tofauti kubwa ni za kisheria hasa namna ya uandishi wa...
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Facts Production kuuza filamu zake nyumba kwa nyumba
NA HERIETH FAUSTINE
KAMPUNI ya Facts Production inatarajia kuanza kusambaza filamu yake mpya ya ‘Niliyemchagua’ kwa mfumo wa nyumba kwa nyumba.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Mohammed Kazi ‘Mudy Kazi’ alisema ameamua kufanya hivyo ili kutoa nafasi ya wasiopata muda wa kwenda kununua CD za filamu hiyo katika maduka makubwa waweze kununua wakiwa nyumbani kwao.
“Lakini pia tumeona ni vizuri kwa kuwa itasaidia kuwatambulisha wasanii wetu chipukizi ambao wana uwezo mkubwa kuliko wasanii wenye majina...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-AMlnyDtXb_s/VZmGQddu5II/AAAAAAAHnLo/Uv488u-7FeQ/s72-c/download.jpg)
MAKALA YA SHERIA: JE WAJUA MUDA WA HATI YA NYUMBA UKIISHA WAWEZA KUNYANGANYWA ARDHI?
![](http://3.bp.blogspot.com/-AMlnyDtXb_s/VZmGQddu5II/AAAAAAAHnLo/Uv488u-7FeQ/s1600/download.jpg)
Hati unayopewa ina muda maalum wa kuishi. Sio kweli kwamba ukishapata hati basi ndio umemaliza, hapana. Kama ilivyo kwa bidhaa nyingine au nyaraka nyingine kwa mfano leseni za kuendeshea vipando...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
MAMBO MUHIMU KABLA YA KUNUNUA NYUMBA, KIWANJA KUKWEPA MIGOGORO
10 years ago
Michuzi05 Jan
MAKALA YA SHERIA: UNATAKA NYUMBA/KIWANJA, HAKIKISHA HAYA KISHERIA USITAPELIWE
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na migogoro ya mashamba, viwanja na nyumba hasa maeneo ya mijini. Kwa utafiti wa kawaida utagundua kwa haraka baadhi ya sababu ambazo husababisha hali hii.Uaminifu, tamaa, kutelekeza maeneo kwa muda mrefu, utendaji mbovu wa baadhi ya watumishi katika mamlaka za ardhi, uzembe na kutojali ni baadhi ya sababu ambazo huchangia kuwapo na kukua kwa tatizo hili.
Baada ya kuwapo tatizo hili wajibu mkubwa umebaki kwa watu wenyewe kuwa makini na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Sq-uV924-GU/VW4UKZZSwTI/AAAAAAAHbhE/KtHJy-r6eXY/s72-c/download.jpg)
ZIJUE ADA UNAZOTAKIWA KULIPA UNAPOTAFUTA/ KUBADILI HATI YA NYUMBA/KIWANJA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-Sq-uV924-GU/VW4UKZZSwTI/AAAAAAAHbhE/KtHJy-r6eXY/s320/download.jpg)
Na Bashir Yakub.
Watu wengi wanaonunua ardhi wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa katika kubadili majina yaani kutoka mmiliki wa mwanzo kwenda kwa mmilki mpya aliyenunua. Upo usumbufu ambao husababishwa kwa makusudi na maafisa wanaohusika lakini pia upo usumbufu ambao husababishwa na watu wenyewe wanaotaka kubadili majina.
K,Wengi huanza muamala huu bila kuwa na taarifa kamili za nini kinahitajika kwa maana ya nyaraka ikiwemo ada au ...
10 years ago
Mwananchi09 Jun
Ruksa kuuza bidhaa India bila kulipia ushuru