Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ada ya ardhi, hati za viwanja kushuka

Waziri wa wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema wizara yake inakusudia kupeleka katika Bunge lijalo la bajeti pendekezo la kupunguza viwango vya ada ya ardhi na malipo ya awali ya maandalizi ya hati kwa lengo kuhakikisha kila mwananchi anakuwa na uwezo wa kulipia na kumiliki hati ya ardhi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI LUKUVI ATAKA MAAFISA ARDHI KUWAFUATILIA WAMILIKI WASIOTAKA KUCHUKUA HATI ZA ARDHI

  Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akitoa maelekezo mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Mary Makondo (wa tatu kushoto), Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Dkt John Pima (Wa kwanza kushoto) pamoja na Msajili Msaidizi wa Hati katika ofisi ya Ardhi mkoa wa Arusha Juliana Ngonyani wakati akikagua masijala ya ardhi alipokwenda kuzindua ofisi hiyo jana. Baadhi ya Watendaji wa sekta ya ardhi mkoa wa Arusha na wananchi wakimsikiliza Waziri wa Ardhi Nyumba na...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI LUKUVI ATAKA MAAFISA ARDHI KUWAFUATILIA WAMILIKI WALIOTELEKEZA HATI ZAO ZA ARDHI AMBAZO ZIPO TAYARI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akikata utepe kuzindua ofisi ya ardhi mkoa wa Arusha jana. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Idd Kimanta, wa tatu kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Mary Makondo na Kulia ni Kamishna Msaidizi wa Ardhi mkoa wa Arusha Leo Komba

Na Munir Shemweta, WANMM ARUSHA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Maafisa Ardhi nchini kuhakikisha wanawafuatilia wamiliki wa ardhi ambao hati zao zimekamilika lakini...

 

10 years ago

Michuzi

ZIJUE ADA UNAZOTAKIWA KULIPA UNAPOTAFUTA/ KUBADILI HATI YA NYUMBA/KIWANJA.


Na  Bashir  Yakub.
Watu  wengi  wanaonunua  ardhi  wamekuwa  wakipata  usumbufu  mkubwa katika   kubadili  majina  yaani kutoka  mmiliki  wa  mwanzo  kwenda  kwa  mmilki mpya  aliyenunua. Upo  usumbufu ambao  husababishwa   kwa  makusudi na  maafisa  wanaohusika   lakini  pia  upo  usumbufu  ambao  husababishwa   na  watu  wenyewe  wanaotaka  kubadili  majina.  
K,Wengi  huanza  muamala  huu  bila  kuwa  na  taarifa  kamili  za  nini kinahitajika kwa  maana  ya  nyaraka  ikiwemo  ada au ...

 

10 years ago

Habarileo

Wasiolipa ada za ardhi kukiona

Waziri wa wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Makazi, William Lukuvi, ameagiza halmashauri zote nchini kutoa notisi ya kufuta hati za wamiliki wote wasiolipa ada za ardhi kwenye maeneo yenye migogoro ya ardhi ambayo haiendelezwi kisheria.

 

10 years ago

Habarileo

Kodi, ada za ardhi zapunguzwa

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviSERIKALI imepunguza viwango vya kodi, ada na tozo mbalimbali za ardhi ili kuzifanya ziwe rafiki zaidi kwa wananchi.

 

9 years ago

Michuzi

VIWANJA 53 VYENYE HATI NA NYUMBA VINAUZWA.

1.     Viko Mbweni  usalama  wa  taifa, vina  hati miliki, viko  karibu na  barabara  ya  lami na viko  karibu  na  beach,  vipo  Sqm  600 – 1500, bei  ni  kuanzia  milioni 35 mpaka  45.
2.     Nyumba 3 zinauzwa, zipo Mwananyamala “A”, moja vyumba 12, nyingine vyumba  6 na  nyingine vyumba 4. Zote  zina  leseni  ya  makazi, gari  mpaka mlangoni, umeme  upo. Kila  moja  bei  milioni 65.
3.     Nyumba yenye geti  la  gari, vyumba 4, kimoja master, umeme, sebule, dining, jiko, stoo, na  hati...

 

11 years ago

Mwananchi

Viwanja 200 Moshi kufutiwa hati

Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, inamsubiri Rais Jakaya Kikwete aidhinishe ufutwaji wa hati za viwanja 200 ambavyo havijaendelezwa ili ivigawe kwa watu wengine.

 

10 years ago

Habarileo

DC: Pelekeni hati za viwanja kwa watendaji

Paul Makonda.MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amewataka wakazi wa wilaya hiyo kupeleka kivuli cha hati au nyaraka inayotoa uhalali wa umiliki wa ardhi, shamba ama kiwanja kwa watendaji wao wa kata, lengo likiwa ni kuzuia migogoro ya ardhi ambayo imekuwa kero kubwa katika wilaya hiyo.

 

11 years ago

GPL

EMMANUEL MBASHA ALIZWA HATI ZA NYUMBA, VIWANJA

Stori:   ShAkoor Jongo MAJANGA! Siku chache baada ya kuachiwa kwa dhamana katika kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, mwimbaji wa Injili na mfanyabiashara Bongo, Emmanuel Mbasha amedaiwa kuibiwa hati za nyumba na viwanja. Mfanyabiashara Bongo, Emmanuel Mbasha mume wa Flora Mbasha. Chanzo makini kilichomo ndani ya familia, kimedai kuwa mara baada ya Mbasha kujitokeza na kuwekwa mahabusu Juni 17, mwaka huu, mtu asiyejulikana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani