DC: Pelekeni hati za viwanja kwa watendaji
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amewataka wakazi wa wilaya hiyo kupeleka kivuli cha hati au nyaraka inayotoa uhalali wa umiliki wa ardhi, shamba ama kiwanja kwa watendaji wao wa kata, lengo likiwa ni kuzuia migogoro ya ardhi ambayo imekuwa kero kubwa katika wilaya hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Dec
Hazina SACCOS yakadhi hati za viwanja ambavyo ni rasmi zaidi kwa 150 kwa wanachama
![02](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/024.jpg)
10 years ago
Dewji Blog29 May
Zoezi la utiaji saini hati kwa wateja wa viwanja Lindi kwa Dar es Salaam lafikia tamati leo Mei 29
Afisa Ardhi wa Lindi, Mpoki Daimon (kushoto mwenhye t shit) akitoa maelezo kwa mteja aliyefika kutia saini hati ya katika zoezki hilo linalomalizika Ijumaa ya leo katika ofisi za UTT-PID, jijini Dar es Salaam.
Na Mwandishi Wetu
Zoezi la utiaji saini hati kwa wateja wa viwanja Lindi kwa Dar es Salaam kwa uratibu wa Manispaa ya Lindi kwa ushirikiano na Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyo chini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID), ambao ndio wawezeshaji wakuu wa mradi huo Ijumaa ya...
10 years ago
MichuziBENKI YA WANAWAKE TANZANIA (TWB) YATOA HATI ZA VIWANJA KWA WATEJA WAKE
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Benki ya Exim yadhamini michuano ya Gofu kwa maafisa watendaji wakuu kutoka makampuni mbalimbali viwanja vya Lugalo
Meneja Msaidizi wa Uwekezaji na Biashara Kubwa wa Benki ya Exim, Thobius Samwel (wa kwanza kushoto) akitoa maelezo juu ya huduma za kibenki zitolewazo na benki yake kwa washiriki wa shindano la Gofu liloandaliwa kwa watendaji wakuu wa makampuni mbali mbali jijini Dar es Salaam lililofanyika katika viwanja vya Gofu vya Lugalo, mwishoni mwa wiki jijini Dar Es Salaam. Kushoto ni Afisa Mauzo, wa benki hiyo Bw. Ishaq Samailla. Benki ya Exim ilikuwa miongoni mwa wadhamini.
Meneja Msaidizi wa...
10 years ago
Habarileo30 Mar
Ada ya ardhi, hati za viwanja kushuka
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema wizara yake inakusudia kupeleka katika Bunge lijalo la bajeti pendekezo la kupunguza viwango vya ada ya ardhi na malipo ya awali ya maandalizi ya hati kwa lengo kuhakikisha kila mwananchi anakuwa na uwezo wa kulipia na kumiliki hati ya ardhi.
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Viwanja 200 Moshi kufutiwa hati
9 years ago
Michuzi28 Sep
VIWANJA 53 VYENYE HATI NA NYUMBA VINAUZWA.
2. Nyumba 3 zinauzwa, zipo Mwananyamala “A”, moja vyumba 12, nyingine vyumba 6 na nyingine vyumba 4. Zote zina leseni ya makazi, gari mpaka mlangoni, umeme upo. Kila moja bei milioni 65.
3. Nyumba yenye geti la gari, vyumba 4, kimoja master, umeme, sebule, dining, jiko, stoo, na hati...
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Dk. Mayunga: Viwanja 1200, 000 havina hati
NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Sellasie Mayunga amesema kati ya viwanja 1,816,009, vilivyopimwa kati ya hivyo vyenye hati ni 586,000 tu.
Akizungumza na waandishi wa habari, Dar es salaam jana kabla ya makabidhiano ya ofisi ya Naibu Katibu Mkuu mpya, Dk. Moses Kusiluka ambaye hata hivyo hakuhudhuria makabidhiano hayo, Dk. Mayunga alisema ufinyu wa bajeti katika wizara hiyo, unachangia kuzorota kwa baadhi ya kazi, ingawa kuna...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx92AZdy-v67KjCiTuvfRiNCLBPYbfvXKC-zs5zgX3QXjq8gTCCw5o3brPE1h00KTvWeyUKKXjwuxmwrvr2pga5c/MBASHA.jpg)
EMMANUEL MBASHA ALIZWA HATI ZA NYUMBA, VIWANJA