Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Mayunga: Viwanja 1200, 000 havina hati

mayungaNA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Sellasie Mayunga amesema kati ya viwanja 1,816,009, vilivyopimwa kati ya hivyo vyenye hati ni 586,000 tu.

Akizungumza na waandishi wa habari, Dar es salaam jana kabla ya makabidhiano ya ofisi ya Naibu Katibu Mkuu mpya, Dk. Moses Kusiluka ambaye hata hivyo hakuhudhuria makabidhiano hayo, Dk. Mayunga alisema ufinyu wa bajeti katika wizara hiyo, unachangia kuzorota kwa baadhi ya kazi, ingawa kuna...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

DC: Pelekeni hati za viwanja kwa watendaji

Paul Makonda.MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amewataka wakazi wa wilaya hiyo kupeleka kivuli cha hati au nyaraka inayotoa uhalali wa umiliki wa ardhi, shamba ama kiwanja kwa watendaji wao wa kata, lengo likiwa ni kuzuia migogoro ya ardhi ambayo imekuwa kero kubwa katika wilaya hiyo.

 

9 years ago

Michuzi

VIWANJA 53 VYENYE HATI NA NYUMBA VINAUZWA.

1.     Viko Mbweni  usalama  wa  taifa, vina  hati miliki, viko  karibu na  barabara  ya  lami na viko  karibu  na  beach,  vipo  Sqm  600 – 1500, bei  ni  kuanzia  milioni 35 mpaka  45.
2.     Nyumba 3 zinauzwa, zipo Mwananyamala “A”, moja vyumba 12, nyingine vyumba  6 na  nyingine vyumba 4. Zote  zina  leseni  ya  makazi, gari  mpaka mlangoni, umeme  upo. Kila  moja  bei  milioni 65.
3.     Nyumba yenye geti  la  gari, vyumba 4, kimoja master, umeme, sebule, dining, jiko, stoo, na  hati...

 

10 years ago

Habarileo

Ada ya ardhi, hati za viwanja kushuka

Waziri wa wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema wizara yake inakusudia kupeleka katika Bunge lijalo la bajeti pendekezo la kupunguza viwango vya ada ya ardhi na malipo ya awali ya maandalizi ya hati kwa lengo kuhakikisha kila mwananchi anakuwa na uwezo wa kulipia na kumiliki hati ya ardhi.

 

11 years ago

Mwananchi

Viwanja 200 Moshi kufutiwa hati

Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, inamsubiri Rais Jakaya Kikwete aidhinishe ufutwaji wa hati za viwanja 200 ambavyo havijaendelezwa ili ivigawe kwa watu wengine.

 

11 years ago

GPL

EMMANUEL MBASHA ALIZWA HATI ZA NYUMBA, VIWANJA

Stori:   ShAkoor Jongo MAJANGA! Siku chache baada ya kuachiwa kwa dhamana katika kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, mwimbaji wa Injili na mfanyabiashara Bongo, Emmanuel Mbasha amedaiwa kuibiwa hati za nyumba na viwanja. Mfanyabiashara Bongo, Emmanuel Mbasha mume wa Flora Mbasha. Chanzo makini kilichomo ndani ya familia, kimedai kuwa mara baada ya Mbasha kujitokeza na kuwekwa mahabusu Juni 17, mwaka huu, mtu asiyejulikana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wateja wa viwanja Lindi waendelea kusaini hati jijini Dar e Salaam

iiiAfisa Ardhi wa Lindi anayeshughulikia hati hizo jijini Dar es Salaam Mpoki Daimon (katikati), akimpa maelezo mmoja wa wateja waliofika kwenye ofisi za UTT-PID, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya zoezi hilo la saini. Kushoto kwake ni Afisa wa UTT-PID ambao ndio wawezeshaji wakuu wa mradi huo, Martin Mchanjila.

Na Mwandishi Wetu

Wateja wa mradi wa Viwanja vilivyopo Manispaa ya Lindi wameendelea kusaini hati zao jijini Dar es Salaam kwa  uratibu wa Manispaa ya Lindi  kwa ushirikiano na Taasisi...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA WANAWAKE TANZANIA (TWB) YATOA HATI ZA VIWANJA KWA WATEJA WAKE

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki  ya Wanawake  Tanzania (TWB), Magareth Chacha  (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichai) wakati wa hafla ya kukabidhi hati za viwanja kwa wateja walionunua na waliomaliza kulipa mikopo yao, Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Masoko wa Benki hiyo, Aaron Nyanda na Mwanasheria wa Ardhi Plan Ltd, Musa Maghimbi. (Picha na Francis Dande)   Mkurugenzi Mtendaji wa Benki  ya Wanawake  Tanzania (TWB), Magareth Chacha  (wa pili kushoto) akimkabidhi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hati ya kusafiria iliyopotea kulipiwa 200,000

IDARA ya Uhamiaji nchini imeongeza ada kwa waombaji wa hati ya kusafiria zilizopotea kutokana na kubaini kuwa wamiliki wa hati hizo wengi wao wamekuwa wakitoa taarifa za uongo ikiwa ni...

 

5 years ago

AnandTech

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19  AnandTechView Full coverage on Google News

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani