Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENKI YA WANAWAKE TANZANIA (TWB) YATOA HATI ZA VIWANJA KWA WATEJA WAKE

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki  ya Wanawake  Tanzania (TWB), Magareth Chacha  (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichai) wakati wa hafla ya kukabidhi hati za viwanja kwa wateja walionunua na waliomaliza kulipa mikopo yao, Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Masoko wa Benki hiyo, Aaron Nyanda na Mwanasheria wa Ardhi Plan Ltd, Musa Maghimbi. (Picha na Francis Dande)   Mkurugenzi Mtendaji wa Benki  ya Wanawake  Tanzania (TWB), Magareth Chacha  (wa pili kushoto) akimkabidhi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UTT-PID YATOA HATI YA VIWANJWA KWA WATEJA WAKE

NA  ANDREW CHALE, BAGAMOYO
NAIBU  Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, ametoa rai kwa Taasisi za Kiserikali na zisizo za Kiserikali kuona umuhimu wa kutoa elimu ya kutosha kwa wananchi katika shughuli za upimaji ardhi ili kuwaepusha na adha zinazoweza kuwapata pale yanapotokea maafa.
Hayo alisema mjini hapa siku Desemba 8, wakati wa ufunguzi wa mradi na ugawaji wa hati kwa wanunuzi wa  Viwanja katika Kijiji cha Mapinga- Bagamoyo ulioratibiwa na Taasisi ya Maendeleo ya Miundombinu chini ya Dhamana...

 

11 years ago

Habarileo

TWB kuwakopesha wanawake viwanja

BENKI ya Wanawake (TWB) imebuni mpango wa kuwainua wanawake wajasiriamli, kwa kuwapatia viwanja vilivyopimwa kisheria vyenye hati miliki ili kuwawezesha kukopesheka kirahisi.

 

10 years ago

Michuzi

ECOBANK TANZANIA YATOA ZAWADI KWA WATEJA WAKE SIKU YA WAPENDANAO

Mkuu wa Teller wa Benki ya Ecobank, Tawi la Mwenge, Tusekile Mwakyembe (kulia) akikabidhi zawadi Lucas Mosha siku ya wapendanao akiwa ni mmoja wa wateja wa mwanzo wa tawi hilo alipofika kupatiwa huduma jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Benki hiyo ilitoa zawadi kwa wateja wake wa mwanzo ikiwa ni jinsi ya kuwashukuru na kuonesha wanawajali wateja wake kwa zawadi maalum.Meneja wa Benki ya Ecobank, Tawi la Mwenge, Patrick Njole (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Brandoni Kimoi ya siku...

 

11 years ago

Michuzi

Benki ya Exim Tanzania yaandaa futari kwa wateja wake wa mkoani Tanga

 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Suleiman Lighuchu akizungumza wakati wa futari iliyoandaliwa na Benki ya Exim Tanzania kwa wateja wake wa mkoani Tanga hivi karibuni. Wa pili kushoto ni Meneja wa Benki ya Exim Tawi la Tanga, Deogratius Makwaia, Mgeni Rasmi Meya wa Jiji la Tanga, Mhe. Omary Uledi (Wa pili kulia)na Katibu wa Bakwata wa Mkoa, Bw. Mohamed Riami (wa kwanza kulia). Meya wa Jiji la Tanga, Mhe. Omary Uledi, ambaye pia ni mgeni rasmi (wapili kulia)  akizungumza wakati wa futari...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA BARCLAYS TANZANIA YAZINDUA KAMPENI YA MATUMIZI YA KADI ZA VISA KWA WATEJA WAKE.


Meneja wa bidhaa wa benki ya Barclays Tanzania, Valence Luteganya akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kuzindua kampeni ya matumizi ya Kadi za VISA za benki ya Barclays kwaajili ya wateja wake. Pia Lutenganya amesema kuwa kampeni hii itadumu kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Desemba 17 mwaka huu hadi Februari 28, 2016. Kampeni hii itamwezesha mteja kunufaika na mafao mbalimbali yanayohusiana na malipo kabla na baada ya kutumia kadi zao za Visa. Wateja wenye...

 

10 years ago

Dewji Blog

Zoezi la utiaji saini hati kwa wateja wa viwanja Lindi kwa Dar es Salaam lafikia tamati leo Mei 29

DSCN0345Afisa Ardhi wa Lindi, Mpoki Daimon (kushoto mwenhye t shit) akitoa maelezo kwa mteja aliyefika kutia saini hati ya katika zoezki hilo linalomalizika Ijumaa ya leo katika ofisi za UTT-PID, jijini Dar es Salaam.

Na Mwandishi Wetu 

Zoezi la utiaji saini hati kwa wateja wa viwanja Lindi kwa Dar es Salaam kwa  uratibu wa Manispaa ya Lindi  kwa ushirikiano na Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyo chini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID), ambao ndio wawezeshaji wakuu wa mradi huo Ijumaa ya...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM TANZANIA YAANDAA TENA FUTARI KWA AJILI YA WATEJA WAKE JIJINI DAR ES SALAAM.

Mkuu wa Matawi wa Benki ya Exim, Bi Elizabeth Mayengo (aliyesimama) akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam juzi.
 Mkuu wa Hazina Benki ya Exim Bank Tanzania, Bw. George Shumbusho akitoa neon la shukrani kwa wateja na wageni waalikwa wa benki hiyo waliohuzuria hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan jijini Dar es Salaam juzi.  Mkuu wa Huduma za rejareja kutoka benki ya...

 

11 years ago

Michuzi

TWA NA BENKI YA WANAWAKE TANZANIA (TWB) WAFANYA MAFUNZO KITUO CHA KINAMAMA WENYE WATOTO WENYE UGONJWA WA MTINDIO WA UBONGO NA MGONGO WAZI CHAWAWAKI KIGAMBONI

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) Bi. Margaret Chacha akizungumza na kikundi cha kinamama wenye watoto wenye ugonjwa wa mtindio wa ubongo na mgongo wazi kituo cha kigamboni(Chawawaki), wakati ya mafunzo ya ujasiriamali na kuwaelimisha juu ya fursa zinazotolewa na benki ya TWB, Mafunzo hayo yaliandaliwa na Taasisi ya Tanzania Women Of Achievement(TWA)  Mwenyekiti wa Tanzania Women Of Achievement(TWA) Bi.Sadaka Gandi akizungumza na kinamama wenye watoto wenye ugonjwa wa...

 

11 years ago

Michuzi

Benki ya FNB yakutana na wateja wake wa Tanzania

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya FNB,Dave Aitken akizungumza na wateja wa benki hiyo wakati wa mkutano kati ya wateja na benki hiyo kujadili kuhusiana na mwelekeo wa uchumi wa kimataifa wa hapa nchini. Baadhi ya washiriki wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa na mtoa mada katika mjadala huo. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya FNB Dave Aitken (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Nakuroei Investement Company LTD, Engineer Samwel Mollel. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya FNB...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani