TWB kuwakopesha wanawake viwanja
BENKI ya Wanawake (TWB) imebuni mpango wa kuwainua wanawake wajasiriamli, kwa kuwapatia viwanja vilivyopimwa kisheria vyenye hati miliki ili kuwawezesha kukopesheka kirahisi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBENKI YA WANAWAKE TANZANIA (TWB) YATOA HATI ZA VIWANJA KWA WATEJA WAKE
9 years ago
Dewji Blog19 Aug
PSPF, TPB na Property International Limited wazindua mpango wa kuwakopesha viwanja wanachama wa mfuko huo
WAZIRI wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, (anayeshughulikia masuala ya Muungano), Samia Suluhu Hassan,(wapili kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Sabasaba Moshingi, (wakwanza kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Property International Ltd, (PIL), Abdulkarim Haleem, (watatu kulia), na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji, Gabriel Silayo, (wane kulia), wakiwa wamekamata mwamvuli ikiwa ni ishara ya umoja, kwenye...
9 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA PSPF, TPB KWA KUSHIRIKIANA NA PROPERTY INTERNATIONAL LIMITED WAZINDUA MPANGO WA KUWAKOPESHA VIWANJA WANACHAMA WA MFUKO HUO
11 years ago
MichuziTWA NA BENKI YA WANAWAKE TANZANIA (TWB) WAFANYA MAFUNZO KITUO CHA KINAMAMA WENYE WATOTO WENYE UGONJWA WA MTINDIO WA UBONGO NA MGONGO WAZI CHAWAWAKI KIGAMBONI
10 years ago
VijimamboMAMA SALMA KIKWETE AONGOZA SIKU YA WANAWAKE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR LEO
9 years ago
Mwananchi31 Aug
Kanisa kuwakopesha vijana bodaboda
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Cam gas kuwakopesha wajasiriamali mitaji
KAMPUNI ya Camel Fuels Tanzania kupitia bidhaa yake ya Cam gas imekuja na mkakati mpya wa kuongeza ajira kwa kuwakopesha wajasiriamali mitaji ya bidhaa za gesi, ili wajiajiri na kuchangia...
11 years ago
Tanzania Daima12 May
TWB yakopesha wajasiriamali bil. 20/-
BENKI ya Wanawake Tanzania (TWB) imetoa zaidi sh bilioni 20 kwa wanawake wajasiriamali na vijana katika jitihada za kuwawezesha kukuza mitaji na kuimarisha biashara zao nchini. Mkurugenzi Mwendeshaji wa benki...
10 years ago
Uhuru Newspaper29 Jan
TWB kufungua vituo vidogo vijijini
BENKI ya Wanawake Tanzania (TWB), itaendelea kufungua vituo vidogo vya kutunzia fedha katika maeneo ya vijijini ili kuwawezesha wanawake kuondokana na kuacha kutunza fedha kizamani.Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Pindi Chana wakati akijibu swali la nyongeza la Roman Selasini (Rombo-Chadema).Selasini aliitaka serikali kuzungumza na benki ili zifungue vituo vidogo vya kutunzia fedha katika maeneo ya vijijini na hatimaye...