TWB kufungua vituo vidogo vijijini
BENKI ya Wanawake Tanzania (TWB), itaendelea kufungua vituo vidogo vya kutunzia fedha katika maeneo ya vijijini ili kuwawezesha wanawake kuondokana na kuacha kutunza fedha kizamani.Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Pindi Chana wakati akijibu swali la nyongeza la Roman Selasini (Rombo-Chadema).Selasini aliitaka serikali kuzungumza na benki ili zifungue vituo vidogo vya kutunzia fedha katika maeneo ya vijijini na hatimaye...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-B-pyvF1FWrs/VA7NQRaSoQI/AAAAAAAGiNU/97u3lEbyqVw/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
WAZIRI NAGU ATEMBELEA KIWANDA KINACHOTENGENEZA MITAMBO YA VIWANDA VIDOGO VIDOGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-B-pyvF1FWrs/VA7NQRaSoQI/AAAAAAAGiNU/97u3lEbyqVw/s1600/unnamed%2B(18).jpg)
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Amuua mama mzazi na kukata mwili vipande vidogo vidogo
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Erasto Lwiza (27) amemuua mama yake mzazi, Magreth Lwiza (50), kwa kumkatakata mapanga mwili wake na kuugawa vipande vidogo vidogo.
Tukio hilo limetokea juzi Mtaa wa Butiama, eneo la Vingunguti, ambapo mtuhumiwa ambaye ni marehemu kwa sasa alitekeleza unyama huo kabla hajauawa.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, kabla marehemu Erasto hajamuua mama yake alianza kumshambulia kwa visu na mapanga mwanamke aliyetambuliwa kwa...
9 years ago
MichuziSERIKALI YAHIMIZA UJENZI WA VIWANDA VIDOGO VIDOGO NCHINI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Seleman Jaffo alitoa kauli hiyo tarehe 22 Decemba, 2015 wakati alipotembelea taasisi zilizo chini ya Wizara yake ambazo LAPF, na Bodi ya Mikopo ya...
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
Mkuu wa Mkoa wa Arusha awataka wajasiriamali wa viwanda vidogo vidogo kutengeneze bidhaa zenye ubora
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Magessa Mulongo akiwa anaangalia bidhaa zinazotengenezwa na kabila la Wahabeshi katika uzinduzi wa maonyesho ya SIDO.
Baadhi ya bidhaa za Shanga zilizopo katika maonyesho ya SIDO.
Mkurugenzi wa Taha, Jacqueline Mkindi akiwa anaangalia na kufurahia bidhaa zinazotengenezwa na Shanga zilizopo katika viwanja vya Makumbusho katika maonyesho ya wajasiriamali toka viwanda vidogo vidogo.
Wahazabe wakiendelea kutengeneza Mikuki yao.
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Mkuu wa Wilaya awatoa hofu walimu wanaopangiwa vituo vya kazi vijijini
Mkuu wa Wilaya Sengerema Bi. Karen Yunus, akisaini kitabu cha wageni baada ya kukagua mradi wa Maji Wilayani Sengerema sambamba na kukagua maabara shule ya Sekondari Migukulama pamoja na Choo cha shule hiyo.(picha zote na Daniel Makaka-Sengerema).
Na Daniel Makaka wa MOblog, Sengerema
MKUU wa Wilaya ya Sengerema, Bi Karen Yunus amewatoa hofu walimu wanaopangiwa maeneo ya kazi vijijini kutoogopa vituo vyao vya kazi kwa kuwa serikali imejipanga vizuri kuwahudumia.
Hayo yamesemwa hivi...
11 years ago
Habarileo28 Apr
TWB kuwakopesha wanawake viwanja
BENKI ya Wanawake (TWB) imebuni mpango wa kuwainua wanawake wajasiriamli, kwa kuwapatia viwanja vilivyopimwa kisheria vyenye hati miliki ili kuwawezesha kukopesheka kirahisi.
11 years ago
Tanzania Daima12 May
TWB yakopesha wajasiriamali bil. 20/-
BENKI ya Wanawake Tanzania (TWB) imetoa zaidi sh bilioni 20 kwa wanawake wajasiriamali na vijana katika jitihada za kuwawezesha kukuza mitaji na kuimarisha biashara zao nchini. Mkurugenzi Mwendeshaji wa benki...
10 years ago
Tanzania Daima20 Nov
TWB yamponza Pindi Chana bungeni
NAIBU Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Pindi Chana, ameshambuliwa na wabunge kwa kitendo cha Benki ya Wanawake Tanzania, (TWB), kufungua vituo vya kutolea mikopo mikoa ya Nyanda...
9 years ago
TheCitizen16 Nov
Women entrepreneurs set to benefit from new TWB-Nida partnership