Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TWB yamponza Pindi Chana bungeni

NAIBU Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Pindi Chana, ameshambuliwa na wabunge kwa kitendo cha Benki ya Wanawake Tanzania, (TWB), kufungua vituo vya kutolea mikopo mikoa ya Nyanda...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Vijimambo

NEPAD NI FAHARI YA AFRIKA-MHE: PINDI CHANA

Mhe. Pindi Chana ( Mb) Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akiwa na Naibu Muwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan MwinyiNaibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Pindi Chana ( Mb) akizungumza hapo siku ya Ijumaa wakati wa mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa uliokuwa ukihitimisha Wiki ya Afrika ambayo hufanyika kuanzia Octoba 13 na kuhitimishwa Octoba 17 ya kila mwaka. ni Wiki ambayo Afrika...

 

11 years ago

Michuzi

NEPAD NI FAHARI YA AFRIKA - MHE: PINDI CHANA

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Pindi Chana ( Mb) akizungumza hapo siku ya Ijumaa wakati wa mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa uliokuwa ukihitimisha Wiki ya Afrika ambayo hufanyika kuanzia Octoba 13 na kuhitimishwa Octoba 17 ya kila mwaka. ni Wiki ambayo Afrika kwa kushirikiana na Umoja wa Mataifa na washirika wengine wa Maendeleo huitumia kujadiliana, kubadilishana mawazo na uzoefu katika masuala muhimu ya kijamii, kiuchumi, kimaendeleo pamoja na ...

 

10 years ago

Vijimambo

Amani na uwezeshaji kiuchumi vitainua wanawake: Pindi Chana


Naibu waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto wa Tanzania Pindi Chana katika mahojiano na Joseph Msami.(Picha:Idhaa ya Kiswahili/video capture)Ulinzi kwa wanawake na uwezeshaji kuchumi ni muhimu katika ustawi wa wanawake amesema Naibu waziri wa  maendeleo ya jamii, jinsia na watoto wa Tanzania Pindi Chana katika mahojiano na Joseph Msami wa idhaa ya Kiswahili ya redio ya Umoja wa Mataifa  muda mfupi baada ya kuhutubia kikao cha baraza la usalama kilichojadili azimio namba 1325 kuhusu...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe Pindi Chana atembelea kituo cha kulelea Watoto

Habari na picha na Hassan Mabuye  Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana amefanya ziara ya kutembelea kituo cha kulelea Watoto Wilayani Kibaha mkoa wa Pwani kwa lengo la kuangalia maeneo ambayo yanahitaji maboresho pamoja na kujionea hali halisi ya uendeshaji wa vituo vya kulelea Watoto. Katika ziara hii Mheshimiwa Naibu Waziri alitembelea kituo cha Malezi na Makuzi ya watoto Kilichopo katika kata ya Mtambani Mlandizi jumatatu tarehe 27 Aprili 2015,...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDI CHANA AWANADI WAGOMBEA WA CCM KATIKA MKOA WA NJOMBE

Mheshimiwa Dkt Pindi Chana (Mb.), Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Tarehe 10-12/12/2014 alifanya ziara ya kikazi ya chama Mkoani Njombe kwa kushiriki katika kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Katika ziara hiyo pamoja na shughuli nyingine Mhe. Mbunge aliwanadi wagombea uongozi kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wa Mitaa, Vijiji na Vitongoji vya Mkoa wa Njombe. Kupitia mikutano hiyo ya...

 

11 years ago

Michuzi

MH. PINDI CHANA ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI ARNAUTOGLU, DAR

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb.), leo tarehe 28 Oktoba, 2014 amefanya ziara katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Arnautoglu – Ilala, Dar es salaam, kwa lengo la kukagua maendeleo ya utoaji wa mafunzo kwa wananchi. Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Arnautoglu hutoa mafunzo ya muda mrefu, muda mfupi na mafunzo nje ya chuo, ambayo yote yamelenga katika kutoa stadi na maarifa mbalimbali yanayowawezesha washiriki kupata ujuzi ili waweze kujiajiri...

 

10 years ago

Vijimambo

BARAZA KUU LA USALAMA LAJADILI NAFASI YA MWANAMKE: PINDI CHANA AZUNGUMZA

Taswira ya Ukumbi wa Baraza Kuu la Usalama ulivyosheheni wajumbe na Washiriki wa Majadiliano kuhusu Azimio la Wanawake, Usalama na Amani, majadiliano ambayo pia yalihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon na wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali.Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Pindi Chana akizungumza mbele ya Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa, wakati Baraza hilo lilipokutana kwa siku zima ya Jumanne kujadili Azimio 1325, Azimio ...

 

10 years ago

Michuzi

PINDI CHANA AMKABIDHI RAIS WA BARAZA KUU LA UN TAMKO LA KUTOKOMEZA NDOA ZA UTOTONI

 Mwenyekiti wa Mtandao wa Kimataifa wa Wabunge  (PGA) Mhe.  Pindi Chana ( MB) akimkabidhi Rais wa Baraza Kuu la 70 la Umoja wa Mataifa,  Bw.Mogens Lykketoft,Tamko la  wabunge lenye sahihi 607 za wabunge kutoka mataifa 70 la  kutokomeza ndo za utotoni na za kulazimisha katika hafla fupi iliyofanyika  Umoja wa Mataifa siku ya Jumatatu. Mwakilishi wa Kudumu wa Zambia katika  Umoja wa Mataifa, Balozi Dr. Mwaba Kasese-Bota akizungumza wakati wa hafla hiyo ambapo alianisha mipango mbalimbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani