Mhe Pindi Chana atembelea kituo cha kulelea Watoto
![](http://2.bp.blogspot.com/-KDnL0S7_f9I/VUADwHsHhEI/AAAAAAAHT7w/1iAVy8xaIrA/s72-c/unnamed%2B(7).jpg)
Habari na picha na Hassan Mabuye Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana amefanya ziara ya kutembelea kituo cha kulelea Watoto Wilayani Kibaha mkoa wa Pwani kwa lengo la kuangalia maeneo ambayo yanahitaji maboresho pamoja na kujionea hali halisi ya uendeshaji wa vituo vya kulelea Watoto. Katika ziara hii Mheshimiwa Naibu Waziri alitembelea kituo cha Malezi na Makuzi ya watoto Kilichopo katika kata ya Mtambani Mlandizi jumatatu tarehe 27 Aprili 2015,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-pREo7TtBTpQ/VVbhAFDplCI/AAAAAAAHXg8/n1wdajA3j8I/s72-c/unnamed%2B(29).jpg)
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dk. Pindi H. Chana afungua kikao cha baraza la watoto dodoma
![](http://3.bp.blogspot.com/-pREo7TtBTpQ/VVbhAFDplCI/AAAAAAAHXg8/n1wdajA3j8I/s640/unnamed%2B(29).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-cDxvCexYvLU/VVbhARd65HI/AAAAAAAHXhA/qKOK5L8OPL8/s640/unnamed%2B(30).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-LrS4XjW6TLA/VVbhARfpdVI/AAAAAAAHXhI/UXEUZWO6CiE/s640/unnamed%2B(31).jpg)
9 years ago
Bongo Movies18 Nov
Picha: Wema Atembelea Kituo cha Kulelea Watoto Yatima Arusha
Mapema jana staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu aliwatembelea watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Good Hope Orphanage kilichopo maeneo ya Usa-River jijini Arusha ambapo staa huyo alitoa msaada wa chakula na vitu mbalimbali kwa watoto hao.
Hizi ni baadhi ya picha za tukio zima alizoziweka kwenye ukurasa wake intsgaram.
Mungu akuzidishie moyo wa huruma Wema Sepetu
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZNeozrYMldg/VFCv3CZKKGI/AAAAAAAGuA0/Aou03-5AWSw/s72-c/Untitledn1.png)
MH. PINDI CHANA ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI ARNAUTOGLU, DAR
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-WlUt5qgEefE/VFOlVf0WgtI/AAAAAAAGuZI/r-SIAZmG0AU/s72-c/New%2BPicture%2B(2).png)
MHE. PINDI CHANA AFUNGUA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA UMATI TAIFA
![](http://4.bp.blogspot.com/-WlUt5qgEefE/VFOlVf0WgtI/AAAAAAAGuZI/r-SIAZmG0AU/s1600/New%2BPicture%2B(2).png)
![](http://4.bp.blogspot.com/-NuLXtH_Ya84/VFOlXWZo5vI/AAAAAAAGuZQ/FN6AEd8FsFo/s1600/New%2BPicture%2B(1).png)
10 years ago
VijimamboNEPAD NI FAHARI YA AFRIKA-MHE: PINDI CHANA
![](http://1.bp.blogspot.com/-G12NsGBfHxQ/VEIOMWQo9_I/AAAAAAADJ_4/b28m-Vtnwzo/s1600/IMG-20141017-WA0008_resized%2B-%2BCopy.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-uRAxwV3AUGo/VEIOMapgPuI/AAAAAAADKAA/95vjKlyaSL4/s1600/IMG-20141017-WA0029%2B-%2BCopy.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-LexD8fAN5zk/VEH5aM9B_FI/AAAAAAAGrZU/5ic5QpPMgeg/s72-c/IMG-20141017-WA0008_resized%2B-%2BCopy.jpg)
NEPAD NI FAHARI YA AFRIKA - MHE: PINDI CHANA
![](http://4.bp.blogspot.com/-LexD8fAN5zk/VEH5aM9B_FI/AAAAAAAGrZU/5ic5QpPMgeg/s1600/IMG-20141017-WA0008_resized%2B-%2BCopy.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-igkoi-a6280/VEH5anxIyDI/AAAAAAAGrZY/jUlmW-oC57M/s1600/IMG-20141017-WA0029%2B-%2BCopy.jpg)
10 years ago
MichuziKITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA AMANI ORPHANAGE CENTER CHA POKEA ZAWADI NA MSAADA WA MAANDALIZI YA KRISMASI KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-R3zFIpey3ps/XrbS-zNaMyI/AAAAAAALpmw/-GZeZ0lszT83SIKQeMybc66coSqaqnh6wCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-09%2Bat%2B1.47.27%2BPM.jpeg)
TAASISI YA TUMAINI LA MTOTO YATOA ELIMU, MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHUKUWAMA
Akitoa elimu kwa watoto wa kituo hicho Mkurugenzi Taasisi ya Tumaini la Mtoto, Maziku Kuwandu amesema kuwa Watoto waliopo kwenye vituo vyao vya kulelewa wamekuwa hawapati elimu ya kujikinga na Virusi vya Corona (Covid 19) ndio maana wachukua fursa hiyo kuwapa elimu watoto hao.
"Taasisi ya Tumaini la Mtoto kupitia...