WAZIRI NAGU ATEMBELEA KIWANDA KINACHOTENGENEZA MITAMBO YA VIWANDA VIDOGO VIDOGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-B-pyvF1FWrs/VA7NQRaSoQI/AAAAAAAGiNU/97u3lEbyqVw/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Dr. Mary Michael Nagu akimsikiliza Meneja wa kiwanda cha kutengeza mitambo ya kutumika kwenye viwanda vidogo vya bia, maziwa ya kawaida na maziwa ya soya. Mitambo hii ni kwa ajili ya kuanzisha viwanda vidogo vidogo kwa nia ya kuwezesha watu kiuchumi, kutoa ajira kwa vijana na kuongeza thamani mazao ya kilimo. Serikali ya Ubelgiji inagharamia asilimia hamsini ya ununuzi wa mitambo hiyo. Mhe Nagu ametembelea kiwanda hicho leo Ghent Ubelgiji.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziSERIKALI YAHIMIZA UJENZI WA VIWANDA VIDOGO VIDOGO NCHINI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Seleman Jaffo alitoa kauli hiyo tarehe 22 Decemba, 2015 wakati alipotembelea taasisi zilizo chini ya Wizara yake ambazo LAPF, na Bodi ya Mikopo ya...
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
Mkuu wa Mkoa wa Arusha awataka wajasiriamali wa viwanda vidogo vidogo kutengeneze bidhaa zenye ubora
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Magessa Mulongo akiwa anaangalia bidhaa zinazotengenezwa na kabila la Wahabeshi katika uzinduzi wa maonyesho ya SIDO.
Baadhi ya bidhaa za Shanga zilizopo katika maonyesho ya SIDO.
Mkurugenzi wa Taha, Jacqueline Mkindi akiwa anaangalia na kufurahia bidhaa zinazotengenezwa na Shanga zilizopo katika viwanja vya Makumbusho katika maonyesho ya wajasiriamali toka viwanda vidogo vidogo.
Wahazabe wakiendelea kutengeneza Mikuki yao.
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Amuua mama mzazi na kukata mwili vipande vidogo vidogo
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Erasto Lwiza (27) amemuua mama yake mzazi, Magreth Lwiza (50), kwa kumkatakata mapanga mwili wake na kuugawa vipande vidogo vidogo.
Tukio hilo limetokea juzi Mtaa wa Butiama, eneo la Vingunguti, ambapo mtuhumiwa ambaye ni marehemu kwa sasa alitekeleza unyama huo kabla hajauawa.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, kabla marehemu Erasto hajamuua mama yake alianza kumshambulia kwa visu na mapanga mwanamke aliyetambuliwa kwa...
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Jafo ahimiza ujenzi wa viwanda vidogo
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Viwanda vidogo vipewe ruzuku ili kuviimarisha
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Vc83e0NCMuE/XlkdV_5NOQI/AAAAAAALf4Q/lWbv62vOGRA08zCFUyDAU6h-oatIYRFNQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-28%2Bat%2B4.41.31%2BPM.jpeg)
UWASWATA YADHAMIRIA KUJENGA VIWANDA VIDOGO NCHINI
Akizungumza na blogu ya jamii mara baada ya kuzindua umoja huo katibu mkuu wa umoja huo Maria Lucas amesema kuwa umoja huo una malengo ya kuwainua...
9 years ago
Dewji Blog23 Nov
UNIDO yapiga jeki viwanda vidogo vya mafuta ya alizeti Dodoma
Meneja Mkuu wa kiwanda cha kuzalisha mafuta ya alizeti cha Glory Farm & Agricultural Products, Justin Nyamoga akitoa maelezo jinsi kiwanda hicho kinavyofanya kazi zake kwa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) aliyeambatana na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Awa Dabo (kushoto), Mwakilishi Msaidizi wa Shirika la UNFPA, Dk. Hashina Begum (kulia) pamoja...
9 years ago
Michuzi23 Nov
UNIDO YAVIPIGA JEKI VIWANDA VIDOGO VYA MAFUTA YA ALIZETI MKOANI DODOMA
![IMG_2196](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/11/IMG_2196.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5KxBn45DbjY/XtN0SgSYYLI/AAAAAAALsGo/W05-OZvzmbMBAtQ-zpm7oMv4ZMmfuD_MQCLcBGAsYHQ/s72-c/AAAAA-768x432.jpg)
SERIKALI YATAKA MIKOPO YA TADB KUWA CHACHU KWA WAVUVI KUANZISHA VIWANDA VIDOGO
![](https://1.bp.blogspot.com/-5KxBn45DbjY/XtN0SgSYYLI/AAAAAAALsGo/W05-OZvzmbMBAtQ-zpm7oMv4ZMmfuD_MQCLcBGAsYHQ/s640/AAAAA-768x432.jpg)
Walioshika mfano wa hundi: Kutoka kushoto, Mkurugenzi Mkuu wa TADB Bw. Japhet Justine, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega, Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika Zilagula Bw. Joram Yuda na Mratibu wa Dawati la Sekta Binafsi Bw. Steven Michael
……………………………………………………………………………………..
Na. Edward Kondela
Serikali imesema inataka kuona uanzishwaji wa viwanda vidogo vidogo vya wafugaji na wavuvi kupitia mikopo inayotolewa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) ili kuyaongezea...