UWASWATA YADHAMIRIA KUJENGA VIWANDA VIDOGO NCHINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-Vc83e0NCMuE/XlkdV_5NOQI/AAAAAAALf4Q/lWbv62vOGRA08zCFUyDAU6h-oatIYRFNQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-28%2Bat%2B4.41.31%2BPM.jpeg)
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVUMOJA wa wajasiriamali wanaojishughulisha na utengenezaji wa sabuni nchini, wamezindua rasmi umoja wao unaokwenda kwa jina la Umoja wa Watengenezaji Sabuni wadogo Tanzania (UWASWATA) utakaokuwa unafanya kazi chini ya mwavuli wa Shirika linalosimamia viwanda vidogo vidogo (SIDO) na ofisi ya mkemia mkuu wa Serikali.
Akizungumza na blogu ya jamii mara baada ya kuzindua umoja huo katibu mkuu wa umoja huo Maria Lucas amesema kuwa umoja huo una malengo ya kuwainua...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziSERIKALI YAHIMIZA UJENZI WA VIWANDA VIDOGO VIDOGO NCHINI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Seleman Jaffo alitoa kauli hiyo tarehe 22 Decemba, 2015 wakati alipotembelea taasisi zilizo chini ya Wizara yake ambazo LAPF, na Bodi ya Mikopo ya...
9 years ago
Michuzimahafali ya 14 ya Mzumbe kampasi ya dar es salaam yafana, chuo chaazimia kujenga uwezo wa wajasiriamali wa viwanda vidogo
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-B-pyvF1FWrs/VA7NQRaSoQI/AAAAAAAGiNU/97u3lEbyqVw/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
WAZIRI NAGU ATEMBELEA KIWANDA KINACHOTENGENEZA MITAMBO YA VIWANDA VIDOGO VIDOGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-B-pyvF1FWrs/VA7NQRaSoQI/AAAAAAAGiNU/97u3lEbyqVw/s1600/unnamed%2B(18).jpg)
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
Mkuu wa Mkoa wa Arusha awataka wajasiriamali wa viwanda vidogo vidogo kutengeneze bidhaa zenye ubora
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Magessa Mulongo akiwa anaangalia bidhaa zinazotengenezwa na kabila la Wahabeshi katika uzinduzi wa maonyesho ya SIDO.
Baadhi ya bidhaa za Shanga zilizopo katika maonyesho ya SIDO.
Mkurugenzi wa Taha, Jacqueline Mkindi akiwa anaangalia na kufurahia bidhaa zinazotengenezwa na Shanga zilizopo katika viwanja vya Makumbusho katika maonyesho ya wajasiriamali toka viwanda vidogo vidogo.
Wahazabe wakiendelea kutengeneza Mikuki yao.
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Jafo ahimiza ujenzi wa viwanda vidogo
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Viwanda vidogo vipewe ruzuku ili kuviimarisha
9 years ago
Dewji Blog23 Nov
UNIDO yapiga jeki viwanda vidogo vya mafuta ya alizeti Dodoma
Meneja Mkuu wa kiwanda cha kuzalisha mafuta ya alizeti cha Glory Farm & Agricultural Products, Justin Nyamoga akitoa maelezo jinsi kiwanda hicho kinavyofanya kazi zake kwa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) aliyeambatana na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Awa Dabo (kushoto), Mwakilishi Msaidizi wa Shirika la UNFPA, Dk. Hashina Begum (kulia) pamoja...
9 years ago
Michuzi23 Nov
UNIDO YAVIPIGA JEKI VIWANDA VIDOGO VYA MAFUTA YA ALIZETI MKOANI DODOMA
![IMG_2196](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/11/IMG_2196.jpg)
10 years ago
MichuziKILELE CHA MAONESHO YA VIWANDA VIDOGO KANDA YA ZIWA (SIDO) YAFANYIKA MKOANI SHINYANGA
Kabla ya kufunga maonesho hayo ambayo yamefanyika mkoani Shinyanga,mkuu wa mkoa...