Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Amuua mama mzazi na kukata mwili vipande vidogo vidogo

MuuajiNA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM

MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Erasto Lwiza (27) amemuua mama yake mzazi, Magreth Lwiza (50), kwa kumkatakata mapanga mwili wake na kuugawa vipande vidogo vidogo.

Tukio hilo limetokea juzi Mtaa wa Butiama, eneo la Vingunguti, ambapo mtuhumiwa ambaye ni marehemu kwa sasa alitekeleza unyama huo kabla hajauawa.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, kabla marehemu Erasto hajamuua mama yake alianza kumshambulia kwa visu na mapanga mwanamke aliyetambuliwa kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI NAGU ATEMBELEA KIWANDA KINACHOTENGENEZA MITAMBO YA VIWANDA VIDOGO VIDOGO

Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Dr. Mary Michael Nagu akimsikiliza Meneja wa kiwanda cha kutengeza mitambo ya kutumika kwenye viwanda vidogo vya bia, maziwa ya kawaida na maziwa ya soya. Mitambo hii ni kwa ajili ya kuanzisha viwanda vidogo vidogo kwa nia ya kuwezesha watu kiuchumi, kutoa ajira kwa vijana na kuongeza thamani mazao ya kilimo. Serikali ya Ubelgiji inagharamia asilimia hamsini ya ununuzi wa mitambo hiyo. Mhe Nagu ametembelea kiwanda hicho leo Ghent Ubelgiji.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAHIMIZA UJENZI WA VIWANDA VIDOGO VIDOGO NCHINI

Serikali imesema kuwa Tanzania haiwezi kubadirika ikiwa mawazo ya watu hayatabadirika katika ujenzi wa viwanda vidogo nchini kote na kuondoa mawazo ya kujenga viwanda vikubwa kama vya wafanyanyabiashara wakubwa, kwa kuwa vinahitaji mtaji mkubwa wakati ajira zake ni chache.
 Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Seleman Jaffo alitoa kauli hiyo tarehe 22 Decemba, 2015 wakati alipotembelea taasisi zilizo chini ya Wizara yake ambazo LAPF, na Bodi ya Mikopo ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mkuu wa Mkoa wa Arusha awataka wajasiriamali wa viwanda vidogo vidogo kutengeneze bidhaa zenye ubora

IMG-20140609-WA0055

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Magessa Mulongo akiwa anaangalia bidhaa zinazotengenezwa na kabila la Wahabeshi katika uzinduzi wa maonyesho ya  SIDO.

IMG-20140609-WA0058

 

IMG-20140609-WA0059

 

IMG-20140609-WA0025

 

IMG_7759

Baadhi ya bidhaa za Shanga zilizopo katika maonyesho ya SIDO.

IMG_7959

Mkurugenzi wa Taha, Jacqueline Mkindi akiwa anaangalia na kufurahia bidhaa zinazotengenezwa na Shanga zilizopo katika viwanja vya Makumbusho katika maonyesho ya wajasiriamali toka  viwanda vidogo vidogo.

IMG_8002

Wahazabe wakiendelea kutengeneza Mikuki yao.

IMG_8014

IMG_8133

Mkurugenzi wa Sido...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ambaka, amuua mama yake mzazi

MTU anayedhaniwa kuwa ni mgonjwa wa akili, amembaka na kumuua kwa kumpiga fimbo kichwani na usoni kisha kumnyonga shingo mama yake mzazi mwenye miaka 73, mkazi wa Kijiji cha Ibungila...

 

9 years ago

Raia Mwema

Vijipu vidogo havitumbuki kama visipolazimishwa

ASALAAM aleykum wasomaji wote wa safu hii.

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

TWB kufungua vituo vidogo vijijini


BENKI ya Wanawake Tanzania (TWB), itaendelea kufungua vituo vidogo  vya kutunzia fedha katika maeneo ya vijijini ili kuwawezesha wanawake kuondokana na kuacha kutunza fedha kizamani.Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Pindi Chana wakati akijibu swali la nyongeza la Roman Selasini (Rombo-Chadema).Selasini aliitaka serikali kuzungumza na benki ili zifungue vituo vidogo vya kutunzia fedha katika maeneo ya vijijini na hatimaye...

 

9 years ago

Mwananchi

Jafo ahimiza ujenzi wa viwanda vidogo

Tanzania haiwezi kubadilika ikiwa mawazo ya watu hayatabadilika kuhusu ujenzi wa viwanda vidogo nchini na kuondoa dhana ya kujenga viwanda vikubwa vinavyohitaji mtaji mkubwa wakati ajira zake ni chache.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli: Tumbueni vijipu vidogo, vipele

RAIS John Magufuli amesema wakati yeye akiendelea ‘kutumbua majipu makubwa’, Watanzania wamsaidie kutumbua ‘vijipu vidogo’ na ‘vipele’ kwa kuwa wahusika wanaishi katika jamii.

 

5 years ago

Michuzi

UWASWATA YADHAMIRIA KUJENGA VIWANDA VIDOGO NCHINI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVUMOJA wa wajasiriamali wanaojishughulisha na utengenezaji wa sabuni nchini, wamezindua rasmi umoja wao unaokwenda kwa jina la Umoja wa Watengenezaji Sabuni  wadogo Tanzania (UWASWATA) utakaokuwa unafanya kazi chini ya mwavuli wa Shirika linalosimamia viwanda vidogo vidogo (SIDO) na ofisi ya mkemia mkuu wa Serikali.
Akizungumza na blogu ya jamii mara baada ya kuzindua umoja huo katibu mkuu wa umoja huo Maria Lucas amesema kuwa umoja huo una malengo ya kuwainua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani