Ambaka, amuua mama yake mzazi
MTU anayedhaniwa kuwa ni mgonjwa wa akili, amembaka na kumuua kwa kumpiga fimbo kichwani na usoni kisha kumnyonga shingo mama yake mzazi mwenye miaka 73, mkazi wa Kijiji cha Ibungila...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PIJUTubi-U8/Xr_LGTECp-I/AAAAAAAC5cA/aMOU_ZokYIYpwY00EUKo2EN8a4Ol7phuwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
AMUUA MAMA YAKE MZAZI KISHA KUINYWA DAMU YAKE
Na.Vero Ignatus Arusha.
Jeshi la Polisi la Mkoa wa Arusha linamshikilia Daniel Emmanuel (32) Mkazi wa Sakila wilayani Arumeru, kwa kukutwa akinywa damu ya mama yake Mzazi Eliyamulika Emmanuel Sarakikiya (79) kwenye kikombe, baada ya kumuua kwa shoka na kutenganisha shingo,mkono na mguu na kiwiliwili.
Akizungumza kwa masikitiko, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Jonathan Shana amesema mtuhumiwa huyo alifanya mauaji hayo Mei 15 mwaka huu, majira ya saa 9:00 mchana katika Kijiji cha Sakila...
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Amuua mama mzazi na kukata mwili vipande vidogo vidogo
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Erasto Lwiza (27) amemuua mama yake mzazi, Magreth Lwiza (50), kwa kumkatakata mapanga mwili wake na kuugawa vipande vidogo vidogo.
Tukio hilo limetokea juzi Mtaa wa Butiama, eneo la Vingunguti, ambapo mtuhumiwa ambaye ni marehemu kwa sasa alitekeleza unyama huo kabla hajauawa.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, kabla marehemu Erasto hajamuua mama yake alianza kumshambulia kwa visu na mapanga mwanamke aliyetambuliwa kwa...
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Tido afiwa na mama yake mzazi
10 years ago
Mwananchi20 Feb
Simulizi ya diwani aliyekeketwa na mama yake mzazi
10 years ago
Vijimambo19 Dec
Mtoto afanyiwa unyama na mama yake mzazi
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/mwaruanda-December19-2013.jpg)
Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita amefanyiwa visa vya kinyama na mama yake mzazi, ambaye anadaiwa kumjeruhi vibaya kwa kumchoma moto mikono yake na kisha kumfungia ndani kwa siku nne akiugulia majeraha bila kutibiwa wala kula chakula.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, mama aliyefanya ukatili huo (jina linahifadhiwa) ni mkazi wa mtaa wa Eden, Manispaa ya Sumbawanga, mkoani hapa.
Inadaiwa mama huyo...
9 years ago
Bongo505 Oct
Sheria Ngowi afiwa na mama yake mzazi
10 years ago
VijimamboUMATI MKUBWA WAMZIKA MAMA YAKE MZAZI KHAMIS MGEJA
baadhi ya umati wa kinamama waliofika nyumba kwa kwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa shinyanga baada ya kupata msiba wa kufiwa na mama yake mzazi marehemu bibi Halima Nchimika.