Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UMATI MKUBWA WAMZIKA MAMA YAKE MZAZI KHAMIS MGEJA


 baadhi ya umati wa kinamama waliofika nyumba kwa kwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa shinyanga baada ya kupata msiba wa kufiwa na mama yake mzazi  marehemu  bibi Halima Nchimika.

 Mwenye shati la kijani ni  mh mbunge wa kishapu serelemani nchambi  akiwa mchanga katika kaburi la mama yake mzazi marehemu bibi halima nchamika katika makabuli ya uwindini mjini kahama . Waziri mkuu mstafu Edward lowasa  akisalimiana na mama yake mzazi bibi halima nchimika wakati wa uhai wake mjini kahama wakati waziri...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

AMUUA MAMA YAKE MZAZI KISHA KUINYWA DAMU YAKE


Na.Vero Ignatus Arusha.
Jeshi la Polisi la Mkoa wa Arusha linamshikilia Daniel Emmanuel (32) Mkazi wa Sakila wilayani Arumeru,  kwa kukutwa akinywa damu ya mama yake Mzazi Eliyamulika Emmanuel Sarakikiya (79) kwenye kikombe, baada ya kumuua kwa shoka na kutenganisha shingo,mkono na mguu na kiwiliwili.

Akizungumza kwa masikitiko, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Jonathan Shana amesema mtuhumiwa huyo alifanya mauaji hayo Mei 15 mwaka huu, majira ya saa 9:00 mchana katika Kijiji cha Sakila...

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CCM SHINYANGA KHAMIS MGEJA AHAMIA CHADEMA

CCM sio baba yangu si mama yangu, Watanzania wanahitaji mabadiliko wasipo yapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM ndiyo maneno aliyoyatumia Khamis Mgeja alipokua kizungumuza na waandishi wa habari jijini Dar hivi punde alipotangaza uamuzi wake wa kukihama chama cha CCM na kujiunga na CHADEMA.
Khamis Mgeja alikua mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga leo ametangaza rasmi kujiunga na CHADEMA jijini Dar.

 

10 years ago

Michuzi

Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamisin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar


IMG_3895
MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo ambao hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui, na leo Jumatano ya Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.
Ratiba ya Kisomo:Leo Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo maalum kwa wanawake wote...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamsin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar

IMG_3895

Na Mwandishi Wetu

MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.

Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo  ambao  hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui,  na leo Jumatano ya  Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.

Ratiba ya Kisomo:

Leo  Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ambaka, amuua mama yake mzazi

MTU anayedhaniwa kuwa ni mgonjwa wa akili, amembaka na kumuua kwa kumpiga fimbo kichwani na usoni kisha kumnyonga shingo mama yake mzazi mwenye miaka 73, mkazi wa Kijiji cha Ibungila...

 

11 years ago

Mwananchi

Tido afiwa na mama yake mzazi

Mama mzazi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Tido Mhando, Jessie (85), amefariki dunia jana asubuhi Chang’ombe Dar es Salaam kwa ugonjwa wa moyo.

 

11 years ago

GPL

MZEE MALECELA, PAUL MAKONDA WAOMBE RADHI KWA VIONGOZI WA DINI - KHAMIS MGEJA

Mwenyekiti CCM Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
MZEE MALECELA NA PAUL MAKONDA WAOMBE RADHI KWA VIONGOZI WA DINI     0.1 Kitendo alichokifanya hivi karibuni Ndugu Paul Makonda Katibu wa Chipukizi na Uhamasishaji pale alipoongea na vyombo vya Habari pamoja na mambo mengi aliyoyaongea kubwa zaidi ni alipotamka wazi kwa kuwatuhumu baadhi ya Viongozi wa Dini kwa kutoa maneno ya kejeri na...

 

9 years ago

Bongo5

Sheria Ngowi afiwa na mama yake mzazi

Mbunifu wa mavazi wa kimataifa, Sheria Ngowi amefiwa na mama yake mzazi. “It is with deep sadness that I announce the passing of my beloved mother, Mary Thomas Ngowi,” ameandika Sheria. “She was an incredible soul who made countless sacrifices so that I could become the man – and now Sheria Ngowi– I am today,” […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani