VIWANJA 53 VYENYE HATI NA NYUMBA VINAUZWA.
1. Viko Mbweni usalama wa taifa, vina hati miliki, viko karibu na barabara ya lami na viko karibu na beach, vipo Sqm 600 – 1500, bei ni kuanzia milioni 35 mpaka 45.
2. Nyumba 3 zinauzwa, zipo Mwananyamala “A”, moja vyumba 12, nyingine vyumba 6 na nyingine vyumba 4. Zote zina leseni ya makazi, gari mpaka mlangoni, umeme upo. Kila moja bei milioni 65.
3. Nyumba yenye geti la gari, vyumba 4, kimoja master, umeme, sebule, dining, jiko, stoo, na hati...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx92AZdy-v67KjCiTuvfRiNCLBPYbfvXKC-zs5zgX3QXjq8gTCCw5o3brPE1h00KTvWeyUKKXjwuxmwrvr2pga5c/MBASHA.jpg)
EMMANUEL MBASHA ALIZWA HATI ZA NYUMBA, VIWANJA
11 years ago
Michuzi11 Jul
VIWANJA VINAUZWA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Ld0cFph-S64/VHbuxHDBqLI/AAAAAAACvbM/AzuG2wIouD0/s72-c/unnamed.jpgNN.jpg)
VIWANJA NA ENEO LA SHULE VINAUZWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ld0cFph-S64/VHbuxHDBqLI/AAAAAAACvbM/AzuG2wIouD0/s1600/unnamed.jpgNN.jpg)
VIWANJA HIVI VIPO KIGAMBONI,KATA YA PEMBA MNAZI,MTAA WA MUHIMBILI (TUNDWI CENTER),VIPO UMBALI WA MITA 600 - 700 KUTOKA BARABARA KUU,NI VIWANJA VILIVYOPIMWA.
ENEO LA SHULE NI KWA AJILI YA CHEKECHEA,PRIMARY PAMOJA NA SEKONDARI ,UKUBWA WA ENEO HILO NI 35,022 SQM.
KWA MAELEZO ZAIDI JUU YA VIWANJA HIVYO,WASILIANA NA NDG. JAMES MPAYO KWA NAMBA HIZO HAPO CHINI.0784 207877 NA 0754 780878PIA UNAWEZA KUMTUMIA EMAIL: JMPAYO@OVI.COM
11 years ago
Michuzi05 Feb
VIWANJA VILIVYO PIMWA VINAUZWA KIGAMBONI GEZAULOLE
10 years ago
Habarileo30 Mar
Ada ya ardhi, hati za viwanja kushuka
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema wizara yake inakusudia kupeleka katika Bunge lijalo la bajeti pendekezo la kupunguza viwango vya ada ya ardhi na malipo ya awali ya maandalizi ya hati kwa lengo kuhakikisha kila mwananchi anakuwa na uwezo wa kulipia na kumiliki hati ya ardhi.
10 years ago
Habarileo13 Jun
DC: Pelekeni hati za viwanja kwa watendaji
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amewataka wakazi wa wilaya hiyo kupeleka kivuli cha hati au nyaraka inayotoa uhalali wa umiliki wa ardhi, shamba ama kiwanja kwa watendaji wao wa kata, lengo likiwa ni kuzuia migogoro ya ardhi ambayo imekuwa kero kubwa katika wilaya hiyo.
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Viwanja 200 Moshi kufutiwa hati
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Dk. Mayunga: Viwanja 1200, 000 havina hati
NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Sellasie Mayunga amesema kati ya viwanja 1,816,009, vilivyopimwa kati ya hivyo vyenye hati ni 586,000 tu.
Akizungumza na waandishi wa habari, Dar es salaam jana kabla ya makabidhiano ya ofisi ya Naibu Katibu Mkuu mpya, Dk. Moses Kusiluka ambaye hata hivyo hakuhudhuria makabidhiano hayo, Dk. Mayunga alisema ufinyu wa bajeti katika wizara hiyo, unachangia kuzorota kwa baadhi ya kazi, ingawa kuna...
10 years ago
Dewji Blog20 May
Wateja wa viwanja Lindi waendelea kusaini hati jijini Dar e Salaam
Afisa Ardhi wa Lindi anayeshughulikia hati hizo jijini Dar es Salaam Mpoki Daimon (katikati), akimpa maelezo mmoja wa wateja waliofika kwenye ofisi za UTT-PID, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya zoezi hilo la saini. Kushoto kwake ni Afisa wa UTT-PID ambao ndio wawezeshaji wakuu wa mradi huo, Martin Mchanjila.
Na Mwandishi Wetu
Wateja wa mradi wa Viwanja vilivyopo Manispaa ya Lindi wameendelea kusaini hati zao jijini Dar es Salaam kwa uratibu wa Manispaa ya Lindi kwa ushirikiano na Taasisi...