Kapt.John Komba awekwa kwenye nyumba yake ya milele
Makada wa chama cha Mapinduzi na baadhi ya wananchi wakiandaa makazi ya milele ya marehemu Kapt.John Komba kijijini kwao Lituhi,Nyasa,mkoani Ruvuma.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM01 Apr
10 years ago
Habarileo01 Mar
Buriani Kapt John Komba
NI huzuni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jimbo la Mbinga Magharibi, Taifa, marafiki na familia, baada ya kufikwa na msiba mkubwa wa kiongozi, Mbunge, Kapteni wa Jeshi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na msanii mashuhuri wa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni John Komba.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIM5ZSWhuBYXuQS0FL5UF6wjxCUhu1U4qR9co3I9uPQWDNggTNFn4XYFplphhUWqwKPas-Y4Wk-PFb-SVQr1r9461vVD3mpi/FRONTRISASI.jpg?width=650)
KAPTENI JOHN KOMBA KIMYA MILELE
10 years ago
StarTV03 Mar
Mamia wajitokeza kuuaga mwili wa Kapt. John Komba.
Na Immaculate Kilulya,
Dar Es Salaam.
Mamia ya watanzania wamejitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi Capteni John Komba aliyefariki kutokana na ugonjwa wa kisukari na shinikizo la damu.
Capt. Komba alifariki Februari 28, mwaka huu katika hospitali ya TMJ jijini Dar Es Salaam ambapo mwili wake umesafirishwa kwenda Songea mjini kwa ajili ya misa ya kumuaga na baadaye mwili huo utasafirishwa kuelekea Mbinga kwa ajili ya kupumzishwa kwenye nyumba ya milele.
Mbali na...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/01/DSC_0001.jpg)
MZEE ARNOLD WIFRED NKHOMA APUMZISHWA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-sOr1Q5yTQXs/VZn2dCo18bI/AAAAAAADwvQ/Eu-aj-KhTu0/s72-c/1afac67fca3237d4d34a4432c8542400.jpg)
MPENDWA WETU EMMANUEL ELISA NYITI MWILI WAKE APUMZISHWA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE NYUMBANI KWAO KILUVYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-sOr1Q5yTQXs/VZn2dCo18bI/AAAAAAADwvQ/Eu-aj-KhTu0/s640/1afac67fca3237d4d34a4432c8542400.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-N8q5mmRi2Do/VZn2e9yZRZI/AAAAAAADwvc/yEDPElhVVdk/s640/3e98e5200209b976c92ff34ab56a30ef.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-0oH-yOYIozc/VZn2eTBjxSI/AAAAAAADwvY/7b9XqNjprPE/s640/6081eeb54b4e2a414b005b932d884721.jpg)
10 years ago
CloudsFM03 Mar
Marehemu Kapt. John Komba kuzikwa leo kijijini kwao Lituhi,Nyasa,Ruvuma
Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi na mjumbe wa NEC,Marehemu Kapt.John Komba unatarajiwa kuzikwa leo kijijini kwao Lituhi,Nyasa mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Mrisho Kikwete, akiongoza maelfu ya Watanzania kuuaga mwili wa Kapteni John Komba, katika viwanja vya Karimjee jana jijini Dar es Salaam.
10 years ago
CloudsFM02 Mar
marehemu Kapt.John Komba kuagwa leo katika viwanja vya karimjee ,Dar kuzikwa kwao kesho Nyasa