Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPENDWA WETU EMMANUEL ELISA NYITI MWILI WAKE APUMZISHWA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE NYUMBANI KWAO KILUVYA

 Kabuli alikozikwa mpendwa wetu Emmanuel Nyiti likiwa limewekewa maua yaliyowekwa na ndugu wa marehemu kwenye mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu Kiluvya, Dar es Salaam  siku ya Jumapili July 5, 2015. Marehemu alifariki Kansas City jimbo la Missouri nchini Marekani June 20, 2015. Jeneza lililobeba mwili wa marehemu mpendwa wetu Emmanuel Nyiti likiandaliwa kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kabla ya kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele. Ndugu,jamaa na marafiki wakiwa nyumbani...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

EMMANUEL ELISA NYITI AAGWA KANSAS CITY JUMAPILI, MWILI KUSAFIRISHWA KESHO JUMATANO

Picha ni Emmanuel Elisa Nyiti enzi ya uhai wake.Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Emmanule Nyiti likishushwa kanisani kwa ajili ya ibada ya kumuaga mpendwa Emmanuel Nyiti siku ya Jumapili June 28, 2015 Kansas City jimbo la MissouriJeneza likiwa kanisani.Ndugu, jamaa na jamaa wakifuatilia ibada ya kumbukumbu na kuaga mwili wa mpendwa Emmanule Nyiti siku ya Jumapili June 28, 2015 Kansas City.

 

11 years ago

GPL

MZEE ARNOLD WIFRED NKHOMA APUMZISHWA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR

Baadhi ya waombolezaji waliofika kwenye msiba wa Mzee Arnold Nkhoma wakisaini kitabu cha maombelezo nyumbani kwa mmoja wa mabinti wa marehemu Prof. Alice Wamunza Nkhoma. Baadhi ya waombolezaji wakimfariji mmoja watoto wa marehemu Bi. Agnes Nkhoma Darch (katikati).…

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MSIBA NEW YORK NA TANZANIA, LEO NI SIKU YA MWISHO MWILI WA MAREHEMU UNAPUMZISHWA KWENYE NYUMBA YA MILELE HUKO TANZANIA, WATANZANI TUTAKUTANA NYUMBANI KWA DR TEMBA

FLAVIAN IS FLAVIAN TEMBA:   1950 -2015

Alizaliwa Uru Shimbwe na alikuwa Mwalimu  Lyamungu Secondary School, Moshi Kilimamjaro Tanzania.
 Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania kwa Masikitiko makubwa tunaungana na Mweka na Mweka Hazina wetu Dr.Temba kutangaza kifo cha Kaka yake mpenzi Mzee Flavian Temba kilichotokea ghafla usiku wa  June 10,2015 katika Hospitali ya Mawenzi Moshi Kilimanjaro, Tanzania. Kama ilivyo desturi yetu wanajumuiya tuungane na Dr.Temba...

 

10 years ago

CloudsFM

Kapt.John Komba awekwa kwenye nyumba yake ya milele

Makada wa chama cha Mapinduzi na baadhi ya wananchi wakiandaa makazi ya milele ya marehemu Kapt.John Komba kijijini kwao Lituhi,Nyasa,mkoani Ruvuma.

 

10 years ago

Michuzi

MWILI WA MPENDWA WETU SEBASTIAN MGIMBA WAPUMZISHWA KWA AMANI KATIKA MAKABURI YA KINONDONI

 Ndugu wa Marehemu Sebastian Mgimba Philipo Mgimba (katikati) akiwa amebeba msalaba huku pembeni ndugu mwingine akiwa pamoja na picha ya marehemu wakati wa misa fupi ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar Es Salaam leo.Dada wa Marehemu Sebastian Mgimba, Mariam akiwa na ndugu zake wakati wa sala ya mazishi iliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni leo Rafiki wa Marehemu akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Sebastian Mgimba mara baada ya sala fupi ya mazishi...

 

11 years ago

Michuzi

Mwili wa Marehemu Gebbo Peter waagwa leo nyumbani kwake Vingunguti,Kuzikwa kijijini kwao Kigurunyembe mkoani Morogoro

Sehemu ya wachezaji mpira wa sasa na wazamani wakiwa wamesimama pembeni ya Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mchezaji wa Timu ya Simba miaka ya nyuma,Marehemu Gebbo Peter aliefariki jana kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.hapa wakiwa nyumbani kwake Vingunguti tayari kwa safari ya kwenda kwenye maziko yake Kigurunyembe mkoani Morogoro (Picha na Evance Ng'ingo)
Wadau mbali mbali wa soka wakiwemo viongozi wa soka wakipita kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: JB Akiwa Nyumbani Kwao kwa Mzee Wake

Leo ikiwa ni siku ya Ijumaa kuu, Staa mkubwa kabisa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ame-share nasi picha hizi akiwa nyumbani kabisa  kwa mzee wake.

Katika maelezo yake JB amesema kuwa siku kama ya leo huwa wanautaratibu kama familia kwenda kanisani pamoja.

“Leo niko nyumbani kwa mzee, Ijumaa ya pasaka tuna utaratibu wa kwenda kanisani wote” JB aliandika mara baada ya kubandika picha huyo hap juu akiwa na mzee wake.

Picha huyo nyingine JB alieleza kuwa huyo ni mdogo wao wa mwisho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani