Mwili wa Marehemu Gebbo Peter waagwa leo nyumbani kwake Vingunguti,Kuzikwa kijijini kwao Kigurunyembe mkoani Morogoro
![](http://2.bp.blogspot.com/-_I19nvPA2_U/U5LWuwi80zI/AAAAAAAFoS8/CpX3WEU6W-Q/s72-c/Gebo+kuagwa+2.jpg)
Sehemu ya wachezaji mpira wa sasa na wazamani wakiwa wamesimama pembeni ya Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mchezaji wa Timu ya Simba miaka ya nyuma,Marehemu Gebbo Peter aliefariki jana kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.hapa wakiwa nyumbani kwake Vingunguti tayari kwa safari ya kwenda kwenye maziko yake Kigurunyembe mkoani Morogoro (Picha na Evance Ng'ingo)
Wadau mbali mbali wa soka wakiwemo viongozi wa soka wakipita kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMaendeleo ya Msiba wa Gebbo Peter nyumbani kwake Vingunguti,jijini Dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-QN6nBSdxRyw/U5HcnMOUNEI/AAAAAAAFoG0/ZfFwSiydJFc/s1600/Msiba+gebo+picha.jpg)
10 years ago
Dewji Blog12 Nov
Mwili wa marehemu Robert Lengeju waagwa Jijini Dar kuzikwa kesho Kipera Morogoro
Hili ndilo sanuku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa Demokrasia uliswaliwa katika Kanisa Katoliki M<simbazi Jijini Dar es Salaam leo.
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali, Wilaya...
10 years ago
Michuzi12 Nov
MWILI WA MAREHEMU ROBERT LENGEJU WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KESHO KIPERA MOROGORO.
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali,...
10 years ago
CloudsFM03 Mar
Marehemu Kapt. John Komba kuzikwa leo kijijini kwao Lituhi,Nyasa,Ruvuma
Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi na mjumbe wa NEC,Marehemu Kapt.John Komba unatarajiwa kuzikwa leo kijijini kwao Lituhi,Nyasa mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Mrisho Kikwete, akiongoza maelfu ya Watanzania kuuaga mwili wa Kapteni John Komba, katika viwanja vya Karimjee jana jijini Dar es Salaam.
9 years ago
GPLMWILI WA BABA YAKE MWANAHABARI, PETER AMBILIKILE WAAGWA JIJINI DAR, KUZIKWA MBEYA LEO
10 years ago
MichuziMWILI WA MKE WA MWANAHABARI THOBIAS MWANAKATWE WAAGWA LEO JIJINI DAR, KUZIKWA KARATU MKOANI MANYARA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-a-FzCyHE-DbRHUeyDftEMB1Ay*-sGdbjx-AgaPuLSfH9AKMjmBHvJqN4hyIJFC68dwrxX6N-1g2xHuxffdeGCyjANZFLRgW/sherrymagali.jpg?width=650)
MWILI WA SHERRY MAGALI WAAGWA NA KUZIKWA JANA MOROGORO
10 years ago
VijimamboMWILI WA MKE WA MWANAHABARI THOBIAS MWANAKATWE WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KARATU MKOANI ARUSHA
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-f5OD4F0fcaU/XkkFgZEs0cI/AAAAAAAAmuE/_67-noGjE6AmLIRzlx_8TbDBzOX7tu0JQCLcBGAsYHQ/s72-c/fe7cc182-8e9a-4938-a907-18314cfd9b19.jpg)
JAJI SEPETU WA MAHAKAMA KUU ZANZIBAR AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAO MBUZINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-f5OD4F0fcaU/XkkFgZEs0cI/AAAAAAAAmuE/_67-noGjE6AmLIRzlx_8TbDBzOX7tu0JQCLcBGAsYHQ/s640/fe7cc182-8e9a-4938-a907-18314cfd9b19.jpg)
NA ANDREW CHALE, UNGUJA,ZANZIBAR
JAJI wa Mahakama Kuu ya Zanzibar Mhe Mkusa Issack Sepetu amefariki Dunia asubuhi ya leo na mjini hapa.
Kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Habari wa Mahakama Kuu Zanzibar, asubuhi ya leo February 16, ilieleza taarifa juu ya kifo hicho.
Pia inaelezwa kuwa, maziko yanataraji kufanyika leo saa 10 Kijijini kwao Mbuzini.
Enzi za uhai wake amewahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwemo Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na baadae Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar.