SHILOLE AACHA AIBU ULAYA!
![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiKitMIZupsxcpzpwPNPKf-pDmrb-cXX-DFg-JtYWv-IUxl-*MaAyf15QB3GKGURLbJXxLuzlLv1GR2HgFUiQaB3/GFGFFG.jpg)
Erick Evarist STAA wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameacha aibu ya aina yake barani Ulaya baada ya gauni lake kuvuka na kuacha ‘nido’ zake hadharani, Risasi Mchanganyiko lina stori kamili. Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiimba kwa hisia. Tukio hilo lililozua gumzo katika mitandao mbalimbali ya kijamii, lilijiri usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita katika Jiji la...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Shilole afanya pati ya aibu!
AMA kweli mapenzi yana sarakasi! Ndiyo kauli inayoweza kukuponyoka kufuatia tukio la staa anayebeba dhamana mbili katika sanaa ya Bongo, akitambulika kwenye uigizaji na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ambaye ameangusha bonge la pati ya aibu iliyojaa minong’ono kuwa ni sehemu ya furaha yake isiyo kifani ya kuachana na aliyekuwa mwandani wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, Amani lina kila kitu.
TUJIUNGE NYUMBANI KWA SHILOLE
Tukio hilo la aina yake lililohudhuriwa na baadhi ya mastaa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pUv0rT5h6PL6sx56p4-T0klZNAc0imcQ-Vdn*O0RoZ6zQW2d53BXgmIT2fcU6SzeoxhA1TL1J-a2Viid6fm18TfUZpgXbabw/SHILOLE.jpg)
SHILOLE ATIA AIBU MSIBA WA KOMBA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ov90wJC7zCwZzwgxzQQbKWhLw3Vn4TA5OBaTcM1tXcb257yl8-E60cN6nsikaE9cw7B*njn0pospUmcsI1YdHjHx1McesgP7/shilole.jpg)
SHILOLE: BILA KIUNO NISINGEFIKA ULAYA!
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...
10 years ago
Mwananchi18 Oct
Aibu yetu, aibu yao...
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...
10 years ago
Bongo Movies11 May
Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini
Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.
Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...
10 years ago
Bongo515 Dec
Shilole: Sio kwamba nimeacha kuigiza ila nafatutia timing, asema filamu ijayo itakuwa ni true story (Shilole In Dar)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/viirmOBcoEFeO7XL1OBSb0ekw8BoHwqnVzSsF5*71LkcMxprihDF*N0kB*Y7*IaYHI1ZkbVPAaiSLiazb-aQy2iYR673ek8z/Maureencropnew.jpg?width=650)
MAUREEN AACHA MKOROGO