Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


snoop dogg aacha gumzo uingereza kwa kufikia hoteli ya kawaida ya bei poa

Na Sultani KipingoAnajulikana kwa kutumbua maraha na kuishi kifahari, lakini rapa milionea Snoop Dogg ameacha gumzo huko Uingereza kwa kukaa katika hoteli ya bei ya chini ya Holiday Inn Express wakati wa onesho lake katika kitongoji cha Devon, Exeter, wikiendi ilopita  Msanii huyu wa Marekani, ambaye alilipwa pauni za Uingereza 22,000 (sawa na 60,236,000/- za madafu) kwa onesho hilo la masa mawwili katiika ukumbi wa klabu ndogo ya usiku ya Timepiece, alikaa kwenye hoteli hiyo kwa bei ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Snoop Dogg aanzisha bidhaa za bangi ‘Leafs by Snoop’

leafs-by-snoop-2015-billboard-650

Snoop Dogg ameamua kuanzisha biashara kupitia kitu anachokipenda zaidi duniani – bangi.

leafs-by-snoop-2015-billboard-650

Rapper huyo ameanzisha bidhaa zitokanazo na majani hayo maarufu duniani kupitia chapa ya ‘Leafs by Snoop.’

Snoop amezindua mradi huo Jumatatu hii huko mbele ya waandishi wa habari na watu wengine.

“Since I’ve been at the forefront of this movement for over 20 years now, I’m a master of marijuana. So naturally, my people can trust that I picked out the finest, freshest products in the game. Let’s...

 

9 years ago

Mtanzania

Jua Cali huyoo kwa Snoop Dogg, Dr Dre

jua-kaliNAIROBI, KENYA

MKALI wa wimbo wa ‘Kwaheri’, Paul Nunda ‘Jua Cali’, anatarajia kusonga mbele kimataifa kutokana na mpango wake wa kufanya kazi na wasanii wakali duniani akiwemo, Snoop Dogg na Dr Dre.

Jua Cali hakutoa wimbo mpya tangu mwaka 2008 alipotoa wimbo wa ‘Kwa heri’ uliokuwa kwenye chati za juu Afrika Mashariki, lakini kwa sasa msanii huyo amewekeza muziki wake katika soko la kimataifa hasa kwa wasanii wa Marekani, Snoop na Dr. Dre.

“Ninaamini nina uwezo mkubwa kwa kuwa nilifanya...

 

10 years ago

Bongo5

Iggy Azalea amchana Snoop Dogg kwa kumtania Instagram kwa picha ya mwanamke albino

Iggy Azalea hajapendezwa na utani wa Snoop Dogg. Hivi karibuni, Snoop alipost picha ya utani (meme) kwenye ukurasa wake wa Instagram inayomuonesha mwanamke albino na kuandika: “Iggy Azalea No Make Up.” Iggy hajafurahishwa na utani huo na ametumia Twitter kumwambia ukweli. “Kwanini upost picha ya aina hiyo kwenye Insta wakati huwa unawatuma mabodyguard wako kuniomba […]

 

11 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Video: Christina Milian Ft. Snoop Dogg – Like Me

milian1

Christina Milian anaendelea kuachia single baada ya single hii ni video yake mpya ya wimbo unaitwa “Like Me” itakuwa inapatikana kwenye Extended Play (EP) yake, 4U… Baada ya kuachia ngoma na rapper Lil Wayne, time hii Christina amemshirikisha rapper Snoop Dogg.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Snoop Dogg – ‘I’m From Long Beach

snoop-long-beach

Snoop Dogg reps the 213 on his hometown anthem “I’m From Long Beach.” The Doggfather, who released his Pharrell-produced album Bush in May, takes it back to his roots on the West Coast jam.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Vijimambo

SNOOP DOGG SASA KUITWA BABU

Snoop Dogg mwenye umri wa miaka 43 sasa ni babu baada ya mtoto wake wa kiume Corde Broadus mwenye umri wa miaka 21 kupata kinda mwenzake siku ya tarehe 10, Mama wa mtoto huyo ni Jessica Kyzer mwenye umri wa miaka 23 na mwenye professional ya Modeling huko Anaheim, California.
Mama wa mtoto Zion ndo huyu.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais wa Ujerumani aacha gumzo,aenda Zanzibar kwa boti

>Ziara ya rais wa Shirikisho la Ujerumani, Joachim Gauck imeacha mjadala mzito kisiwani hapa kutokana na kitendo chake cha kutumia usafiri wa boti kuja Unguja na kutembea kwa miguu hadi Hoteli ya Serena ya Zanzibar.

 

9 years ago

Mtanzania

Snoop Dogg afungua mtandao wa watumiaji bangi

snoop-624-1368121236NEW YORK, MAREKANI

STAA wa muziki nchini Marekani, Snoop Dogg, amefungua mtandao wake mpya ambao utawahusisha watu wanaotumia bangi na vitu vya asili hiyo.

Mtandao huo ameupa jina la ‘Merry Jane’, huku akiwataka wanaotaka kujua zaidi kuhusu bangi wajiunge nao kwa ajili ya kufahamu zaidi, kingine kilichopo katika mtandao huo ni habari za biashara, siasa, utamaduni na afya.

Snoop Dogg amesema mtandao huo utafunguliwa rasmi Oktoba mwaka huu na tayari amefanya mazungumzo na baadhi ya watu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani