BIBI KANUMBA AFARIKI DUNIA
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
BIBI wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Suzan Mtegoa amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa. Marehemu Suzan alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa miguu. Msiba upo nyumbani kwa Mama Kanumba, Flora Mtegoa ambapo mipango ya kuusafirisha kwenda Bukoba inafanyika. MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLBIBI AFARIKI, AACHA GUMZO
10 years ago
Bongo Movies25 Jan
Mama Kanumba:Nitaendeleza ndoto za Kanumba kupitia "Kanumba Foundation"
Mama wa aliyekuwa nyota wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema kuwa kupitia Kampuni ya Kanumba The Great Film inakamilisha uanzishaji wa taasisi itakayoitwa, Kanumba Foundation.
Pia, alikanusha uvumi kuwa kampuni ya Kanumba imekufa, akifafanua jambo hilo alisema kampuni hiyo inaendelea na shughuli zake. Alisema kutakuwapo Kanumba Foundation ili kusaidia jamii wakiwamo wasanii katika masuala mbalimbali.
Akizungumza na gazeti la Mwananchi, Flora alisema uamuzi...
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia
11 years ago
Mwananchi14 Apr
Gurumo afariki dunia
10 years ago
CloudsFM21 Oct
MSANII YP AFARIKI DUNIA
Msanii aliyekuwa mkali wa Bongo Fleva, YP kutoka kundi la wanaume Family amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Meneja wa kundi hilo Said Fella amethibitisha kutokea kwa msiba wa msanii huyo, aliyefariki kwa maradhi ya kifua katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
Y-P WA TMK AFARIKI DUNIA
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Mbunge afariki dunia
10 years ago
CloudsFM20 Feb
Mez B afariki Dunia
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Mwanakatwe afariki dunia
KATIBU Mkuu wa zamani wa Chama cha Soka Tanzania (FAT, sasa Shirikisho la Soka Tanzania – TFF), Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe amefariki dunia jana asubuhi katika Hospitali Kuu ya...