PICHA YA DIAMOND AKILA MISHIKAKI GUMZO
![](http://api.ning.com:80/files/NHPaItPS5Egf9zNTG8Y8oQToQgcDByx*6Iaw77Ajr-qp0JRIpWzRawOPIfLe0VihctkRhIcZHB88-*VacPyMP6n9eo0Y9L-P/Diamond.jpg?width=650)
Stori: Musa Mateja PICHA ya staa wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ inayomuonesha akila mishikika uswahilini imezua gumzo la aina yake mitandaoni. Staa wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akila mishikika uswahilini. Picha hiyo ambayo ilipigwa mwaka mmoja uliopita maeneo ya Tip Top, Manzese jijini Dar, imeibua mjadala mpya juzikati kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengine walimpongeza kwa kitendo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies06 Jan
Picha Hii ya Diamond na Mtoto wake Tiffah Yawa Gumzo
Picha hii ya mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akiwa amem-kiss mtoto wake Tiffah yazua mjadala kwenye mtandao wa instagram.
Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ ndiye aliyeiweka picha hiikwenye ukurasa wake mtandaoni humo na kuandika “Simply adorable”
Picha ambayo baadhi ya mashabiki walionyeshwa kutopendezewa nayo kwa madai kuwa kiss hilo limevuka mipaka na haipendezi kuwekwa mtandaoni huku wengine wakionekana kuona ipo sawa na inaonyesha ni kwajinsi gani Diamond anavyompenda motto wake...
10 years ago
Bongo Movies04 Feb
PICHA: Kitendo ya Dada yake Diamond Kudendeka na Wema Chawa Gumzo Mtandaoni
Siku za hivi karibuni kumeibuka na mtindo mpya wa watu kulishana keki wa kutumia mdomo yaani “Kudendeka”.
Picha ya mrembo na mwigizaji wa filamu Wema Sepetu akilishwa keki kwa mdomo na dada yake Diamond, Esma imeibua mjadala mtandaoni baada ya baadhi ya watu kudai kuwa Wema anataka kumrusha roho Zari ambae awari aliandika ujumbe mtandaoni na kumuita Esma WIFI. Huku wengine wakiona kama ni kawaida kwani kwa kiasi kikubwa Wema ndio aliewawezesha Esma na Petti Man wakafunga ndoa.
Tukio hilo...
10 years ago
Bongo522 Jun
Picha: Mariah Carey akila bata na bilionea aliyechukua nafasi ya Nick Cannon
10 years ago
Bongo Movies04 May
Picha za Wema na Idris Zawa Gumzo Mitandaoni
Picha za Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan wakiwa kwenye Instagram party jijini Mwanza zimezua mjadala na maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii juu ya ukaribu walionao kwa hivi sasa na picha zao wakiwa ‘batani’.
Kila mtu ana lake kuhusu picha hizi, wapo wanosema hawa ni marafiki tu, huku wengine wakisema Wema anataka kujiweka kwa Idris, wapo wanaosema Wema anafanya hivyo kumrusha roho ‘fulani’.
Lakini yote kwa yote wawili hawa ni marafiki tu , na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVmmzGjeaXixmD7PIV5H9U4EDRAPRkGTVAgPrJhU1CoN2HXp9Fa420*4xX*4YA2YfTGbJh8PbZhNO-*qFeHYpLrH/lulu.jpg)
LULU PICHA ZAKE GESTI ZAZUA GUMZO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j-DiiE-nbb8O*XoOmlpGa2CMKVjyRN0i1rx1mOURXc4wg-VWWppUddfelouteCydedla0tNv3iviuOE-5UjgeFKn81A8nuy0/dimond.jpg)
DIAMOND, ZARI GUMZO AIRPORT