LULU PICHA ZAKE GESTI ZAZUA GUMZO
![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVmmzGjeaXixmD7PIV5H9U4EDRAPRkGTVAgPrJhU1CoN2HXp9Fa420*4xX*4YA2YfTGbJh8PbZhNO-*qFeHYpLrH/lulu.jpg)
UTATA! Picha zinazodaiwa ni za staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ zikimuonesha akiwa amelala gesti zimesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii na kuibua gumzo kubwa. Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa gesti. Ishu hiyo ili-happen wikiendi iliyopita ambapo picha hizo zinamwonesha Lulu akiwa katika chumba ambacho kinaonekana ni gesti kufuatia shuka jeupe kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gDF3S0THO9zxwm6MrbnBBPI909vwHiPji5HYBPSktbGnlReEnWf1*fIyLkzVwBxFcilIl6eAWrQuFRIpN0TbWSM656KSphNU/mai.jpg?width=650)
MAIMARTHA AMFUNDA AUNTY LULU KULALALA GESTI
10 years ago
CloudsFM11 Feb
Picha za mahaba za Nay Wa Mitego zazua balaa, ‘mkewe’ aondoka na mtoto nyumbani
Zile picha za mahaba za msanii wa Hip Hop Bongo,Nay Wa Mitego akiwa na msichana kitandani zimezua balaa kwa mama mtoto wake Siwema Edson ambaye baada ya kuziona aliamua kumchukua mtoto wake na kuondoka nyumbani kwa msanii huyo maeneo ya Kimara,jijini Dar.
Siwema akizungumza na Soudy Brown kupitia Uheard alisema kuwa alipata mshtuko mkubwa sana baada ya kuziona picha hizo ambapo aliamua kuondoka nyumbani na mtoto wake mdogo.
‘’Kiukweli zile picha zilinishtua sana nilimuuliza Nay akaniambia ni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bAnmdOW7NaiIeW8V2FT7C*e7OuU1BKb-p5WK53XxFA85X6Kb6GwgLmtvuJyMVbUklyJRtpinUAmVYtNB9FAssqTRTi72yTD6/wpidlulu.jpg?width=650)
PETE YA UCHUMBA YA LULU YAWA GUMZO
10 years ago
Bongo Movies19 Jan
PICHA:Kuwa Wakwanza Kuziona Picha za Kwanza za Lulu Kwa Mwaka Huu
Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizi mtandandaoni ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa mwaka huu kwa mwanadada huyu kufanya “Professional Photo Shoots” chini ya manifester brand.
Jionee hapo juu picha za mrembo huyu alizopigwa akiwa maendo ya gereji.
Wengi wamezipenda, wewe je?
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
PICHA: Tazama picha tano (5) kali sana za mwanadada Elizabeth Michael a.k.a LULU. Utazipenda.
Picha kwa hisani ya blog ya http://www.domozege.blogspot.com
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-Yq6IG-JtFwc/VNHNyyccGFI/AAAAAAAAnw0/pFauUWbc_bk/s72-c/kawa1.jpg)
Muonekano wa Lulu 2015 Wawa Gumzo, Midume yasema Anazidi Kuwa Mtamu Kama Mcharo
![](http://1.bp.blogspot.com/-Yq6IG-JtFwc/VNHNyyccGFI/AAAAAAAAnw0/pFauUWbc_bk/s640/kawa1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-gzrwf_SzcC4/VNHN1fucQLI/AAAAAAAAnxE/Edf0hiLARx8/s640/kawa3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-jMySnQLfSmM/VNHNzy1xPAI/AAAAAAAAnw8/jJ-SLe-Gw78/s640/kawa2.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NHPaItPS5Egf9zNTG8Y8oQToQgcDByx*6Iaw77Ajr-qp0JRIpWzRawOPIfLe0VihctkRhIcZHB88-*VacPyMP6n9eo0Y9L-P/Diamond.jpg?width=650)
PICHA YA DIAMOND AKILA MISHIKAKI GUMZO